Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Mapovu kwa kwenda mbele. Mkuu unakuwa na akili za kidikteta, unafanana na wale wanaodai demokrasia hapa nchini halafu ni wa kwanza kuwa-block wale wenye mawazo tofauti na wao. You are not God, you are just a human being. Usilazimishe mawazo yako wewe yawe ndio sheria, vinginevyo hili sio jukwaa huru.

Nimefanya Kosa Kukumbusha kuwa umwambie huyo Jamaa anaporudi Kwako kuonana nawe abebe na ' Condom ' kwa ajili ya matumizi yenu ya Kibaiolojia?
 
Kimsingi mheahimiwa rais kakosea Sana kutoa hiyo kauli. Kwa mfano makamu wake rais je atasafiria Nini?
Kesho akiachia madaraka hizo ndege zinarudi Tena kwa rais Kama second hand?

Sababu ya yeye kutokutumia ndge isimfanye akaonekana Kama joka la mdimu. Ndimu halili na hata mwenzie naye asikule.

Halafu nafikir mheshimiwa Ben MKapa aliposema rais aache kauli za kusema "Mimi, Mimi au serikali yangu, serikal yangu" bado hakumuelewesha vzr mheshimiwa rais.

Kama serikal ninya CCM Basi lazima serikal hii ijue Mali za rais siyo Mali za mtu bali ni za taifa. Any change of use lazima ifwate process na siyo kauli tuu ya mtu mmoja
Huna HOJA mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewwi wanaosifia kama ni umbea au !zoba humu Jamvini kuna mahaziamenukuliwa kusema wanaume waoe wake zaidi ya mmoja. utaona hata wale wenye imani zao wakisifia mh!! sipati picha! hii pinga, sifia; pinga sifia itatufikisha wapi. washauri wanafanya nini?
 
Wanaokupa shangwe ni wenzio wanaopenda kuchukulia mambo juu juu tu kishabiki kama wewe mtusi feki,

Rais kaamua kuzitoa hizo ndege zitumiwe na ATCL kibiashara kwa sababu mda mwingi zimepaki tu, wewe unakuja kukosoa bila kumpinga rais kwa hoja aliyoitoa.

Toa mbadala wako sasa ili ueleweke kuwa wewe ni mwenye maono ya mbali,

Hizo ndege ni kodi ya Watanzania na zimepaki hazina kazi ya msingi, kwanini zisitumike kwa local routes? toa athari yoyote ya msingi ukiondoa ushabiki wa kutafuta likes za mabandit wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa rais wa nchi ya wajinga kama tz utapata tabu sana mkuu!

Hizo ndege nakumbuka zilipingwa sana, leo tena unapingwa uamzi uleule uliokuwa unaliliwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anapanic mapema mno.

Umeshawahi kuona GENTAMYCINE ' anapanikishwa ' hovyo na ' Wapumbavu ' wachache wa mfano wako? Ni mara ngapi mnanishambulia humu kwa umoja na uwingi wenu ila huwa nawamudu, nawashinda na mnalikimbia hili Jamvi / Jukwaa? Sijawahi Kushindwa Vita na haitotokea hata Siku moja nikashindwa Vita. Najiamini kwa Kitu ninachokiweza.

Usisahau kumwambia Saguda47 abebe ' Condoms ' nyingi leo na akija hapo Kwako hakikisha Kwanza unamkagua kabla ya Mechi / Mtanange wenu wa Kibaiolojia.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Na wewe umelalamika sana ndege zisitumike kibiashara ila hujatoa sababu yoyote kwa nini hizi mali za wananchi wa Tanzania ziendelee kulala viwanja vya ndege bila kutumiwa na wananchi wa nchi yetu
 
Kabeba ' Condoms ' za aina gani? Hebu mkague Kwanza tafadhali!
Uzi wa kwako mwenye halafu unakosa nguvu ya hoja ya kuutetea unaishia kutukana hovyo kama mtoto mdogo.

Rudi kwenye mada na ujibu hoja za watu sio kujishaua na kuandika ujinga. Rais kasema yeye ndege moja inatosha kwani haendi nje mara kwa mara, hizo nyingine zikabebe abiria ili zizalishe. Wewe unakuja na hoja za kibishi ambazo huwezi kuzitetea.
 
Umeshawahi kuona GENTAMYCINE ' anapanikishwa ' hovyo na ' Wapumbavu ' wachache wa mfano wako? Ni mara ngapi mnanishambulia humu kwa umoja na uwingi wenu ila huwa nawamudu, nawashinda na mnalikimbia hili Jamvi / Jukwaa? Sijawahi Kushindwa Vita na haitotokea hata Siku moja nikashindwa Vita. Najiamini kwa Kitu ninachokiweza.

Usisahau kumwambia Saguda47 abebe ' Condoms ' nyingi leo na akija hapo Kwako hakikisha Kwanza unamkagua kabla ya Mechi / Mtanange wenu wa Kibaiolojia.
Mwenye akili timamu huwa haoni ufahari kugombana na watu, huona fahari kuwa na marafiki wengi. Rudi kwenye mada achana na huu upuuzi uliouanzisha.
 
Nonsense, THINK TANK ya JF hii.

Nonsense halafu hapo hapo bado tena unamfuatilia huyo huyo mwenye nonsense. Sasa hapa kati yangu na wewe nani ndiyo Rais / Kiongozi wa hiyo ' Nonsense ' yako?
 
Kama tuna mtu mmoja mbaye kila anachoamuye yeye tu ni sahihii basi na tumuombe Mungu ili aishi milele tuspate shida. la sivo basi tutengeneze utaratibu ambao kwao ndo mwongozo ambao kila ajaye ataufuata!
 
Back
Top Bottom