Muwe mnafanya utafiti kabla ya kuandika. Nani kasema dreamliner ilienda Dubai? Acha upotoshaji wenu. Nyama ya mbuzi ilikuwa mzigo kama mizigo mingine GENTAMYCINESio lazima uanze routes ndio ujue kama ndege ulizonazo zitatumika to full capacity; kuna wataalam wanafanya kazi yao na kujua demand ya seats za kila route. Mpaka sasa hizo safari na routes unazosema compétition ni very fierce mpaka hiyo DREAMLINER imeishia kubeba MBUZI kwenda Dubai. Hizo safari za India na China mpaka leo ni ndoto; kwani hata wakienda wana uhakika gani kuwa watakuwa na passengers na cargo ya kutosha wakati wa return leg!
Kuhusu kuziuza hizo ndege you will be better off kuziuza pale unapopata bei nzuri kuliko kuzifuga bila matumizi!! Locally mpaka sasa zile Bombardier na Airbus zinatosha kabisa na hata kuwa na excess capacity so the only rational decision ni kuuza hizo ndege za serikali kwa mbei nzuri.