Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Watanzania sijui tuna matatizo gani, kuna watu kutwa wanashinda wakimlaumu Rais kuwa hataki mawazo mbadala (tofauti na yake) lakini cha ajabu hao hao wakiongea pia mawazo yao humu mwingine akapinga anaambulia matusi, jamani tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine pia!!!
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.

Kama ulimsikiliza vizuri hizi ndege hajazihamisha kutoka ofisi yake kwenda ATCL, hapana. Hizi ndege zitaendelea kuwa za Rais isipokuwa inabdidi zipakwe rangi ya Air Tanzania ili ziweze kuwa multi-purpose, kwamba pale inapotokea kuna hitaji kule ATCL, na wakati ofisini kwake hakuna hitaji hilo, basi ziweze kusave the purpose.

By the way, huko nyuma wewe ulikuwa unajua kuwa tuna ndege za aina hii tatu? Unadhani mahitaji yetu na uchumi wetu ulikuwa kweli unaruhusu tuwe na ndege tatu? I personally could buy the idea of having two but not three or more!
 
Fokker moja inatakiwa ikawekwe Butiama nyingine ikawekwe Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA) kama kumbukumbu ziwe vivutio, ndege za zamani sana hizo kuendelea kizirusha au kuzifanyia ukarabati ni usumbufu na kutumia fedha bila kujali mabadiliko! Anayezifahamau aje atupatie Fuel Consumption Rate,Speed,na mambo wengine kama ubora wa Engine
 
Fokker moja inatakiwa ikawekwe Butiama nyingine ikawekwe Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA) kama kumbukumbu ziwe vivutio, ndege za zamani sana hizo kuendelea kizirusha au kuzifanyia ukarabati ni usumbufu na kutumia fedha Bila kujali mabadiliko! Anayezifahamau aje atupatie Fuel Consumption Rate,Speed,na mambo wengine kama ubora wa Engine

hizi ndege si za zamani kiasi hicho, mmesahau ni juzi juzi tulipoambiwa tule nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe, kama sio kipindi cha kikwete mwanzoni ni kipindi cha mkapa moja wapo ndo ilinunuliwa na Bwana Basil Pesambili Mramba akiwa waziri wa fedha!!!
 
Fokker 50 inapiga kelele sana hii ipelekwe Butiama Makumbusho,ile ya Mkapa inabidi iuzwe tu!
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Hata China, ndege ya rais uwa inabadilishwa kuwa ya abiria, sembuse hizi zetu, acha uzezeta
 
Back
Top Bottom