Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Yaani anataka ziuzwe halafu eti hela iende ikaendeleze kilimo!. Hela za kuendeleza kilimo zina bajeti yake, zina vyanzo vyake.

Hizi ndege huwa muda mwingi zinasubiri wa kuzikodi au zinafanya kazi kwa mfano ya kuipeleka taifa stars ugenini na masuala ya aina hiyo.

Kuziweka kwenye schedule ya ATCL zikapangiwa safari ni jambo la maana kiuchumi.

Chunga sana mkuu Frey huyu jamaa hakawi kukuita Popoma.
Hahahaha watu kama kule China wananyongwa mtu amejaa kiburi mpk anamdhiaki Mkuu wa nchi akidhani anatumia jina bandia hawezi kufahamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha watu kama kule China wananyongwa mtu amejaa kiburi mpk anamdhiaki Mkuu wa nchi akidhani anatumia jina bandia hawezi kufahamika

Sent using Jamii Forums mobile app
Asichokijua ni kuwa uamuzi ule wa Rais umefikiwa na kutamkwa hadharani baada ya rais kupewa paper ya kitaalam yenye kuonyesha faida za ndege zile kufanya biashara.

Sio uamuzi wa rais tena wa jukwaani kama anavyotuongopea huyu member mwenzetu, ni uamuzi ambao rais ameufikia baada ya kujiridhisha kwanza.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Ngonjera zote ulizoandika hapa huna pointi ya kitaalamu hata moja uuliyoiweka kwa nini isitumike
 
Wakitafutwa watu wanaofikiri kwa kutumia makalio wewe ni mojawapo. Nilitarajia uje hapa hoja ni kwanini hizo zisitumike labda hoja ya kiusalama au gharama.
Hizi ndege zimenunuliwa kwa kodi za Wananchi kwani Wananchi wakitumia Mali yao shida iko wapi? Hoja kuwa ziuzwe halafu pesa zipelekwe kwenda sekta ya kilimo hiyo haina mashiko kwasababu hata zikitumika kibiashara bado pesa hizo zitachangia sekta ya kilimo na sekta zingine
Hoja kuwa kwa kufanya ivyo amewadharau Marais Waastafu hayana mashiko hata kidogo.
Mara nyingi watu wenye roho mbaya kama nyie Ndiyo wachawi na walogi wa Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mtoa Mada huwa anajiona smart Sana wakati ukisoma between lines huoni cha maana na hana Hoja zaidi ya kusema ni dharau kwa marais wastaafu. Zipo nchi nyingi ambazo ndege za marais hutumika kibiashara eg. China. Pia zipo nchi ambazo Rais hana ndege maalum kwa kuwa hutumia ndege za airline ya nchi yake, issue ni kuwa Rais akiihitaji hukaguliwa na kuondolewa Baadhi ya viti ili ifae kwa Rais

Hawa mawakala wa Mabeberu wanahumia sana kuona Mh Rais wa JMT Dr John Pombe Magufuli anavyochapa kazi.
Wamekosa agenda kabisa.
Hata agenda ya katiba mpya imewadodea.
Tusubiri 2021 tunakuja na agenda mpya mtahamia wote Belgium

Mabeberu Ndo maana wanamtumia kwenye Major project kama msukule.reli,ndege,stigglers,wanajuA tuu hana kipau mbele. Anaumiza wananchi buuree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuleta maelezo meengi bila tech justification,hata kama una wazo zuri tusaidie basi tujue hoja yako ni ipi.

Tuambie tatizo ni lipi hazina tech specs za kubeba abiria au economic rationale ya kurusha (cost benefit analysis) hiyo ya kudhalilisha ni mapokeo yako kama vile walivyokuwa watu hawataki hela za kulipana perdiem siku ya uhuru zikajenge barabara ya morocco mwenge.

Muda wa kufanya mambo kwa hisia au mazoea haupo, tuambie unadhani si sawa zikiwa branded na kusaidia kubeba abiria kwa sababu abc.

Moja ya sababu baadhi ya watu hawawezi kushauri wengine ni kutokua na uwezo kufanya lobbying kwa facts rather than sweeping statements mfano: unajua hatujazoea...or aibu or what.Leta facts mkuu utaisaidia wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege 3 za Rais zote hizo za nini? zilipelekwe ATCL zikafanye kazi hata kwa route za karibu DAR Tanga, abiria hamsini ni wengi zikifanya trip mara tatu kwa siku zinaingiza pesa, Rais ndege moja tu inatosha, kwa sasa hivi kuna ATCL Rais anaweza akawa anatumia ATCL tu inatosha.
 
Al
Inasikitisha sana...

Vitu vya serikali na viheshimiwe jamani... hizo ndege zilikuwepo kwa ajili ya waliyopita na zinatakiwa ziendelee kuwepo kwa ajili ya atakayokuja...

Tusipoangalia tutaanza kupangisha mpaka jumba jeupe...

Cc: mahondaw
Alisema akihamia dom linapigwa bei
 
Ndege 3 za Rais zote hizo za nini? zilipelekwe ATCL zikafanye kazi hata kwa route za karibu DAR Tanga, abiria hamsini ni wengi zikifanya trip mara tatu kwa siku zinaingiza pesa, Rais ndege moja tu inatosha, kwa sasa hivi kuna ATCL Rais anaweza akawa anatumia ATCL tu inatosha.
Very theoretical analysis....
 
Naona unalaumu tu uamuzi wake, hujafafanua athari zake ni zipi endapo zitatumika kibiashara.
Wengi wao hawajaelewa mantiki yake, wale VIP ndiyo fursa ya ATCL kupiga pesa kwenye hizo ndege 2...
Rais, Makamu na Waziri Mkuu hakuna ubaya tukibanana nawo kwenye Dreamliner, watu wakumbuke tu, GDP yetu kwa mwaka ni $910!
Sasa kwanini tujikakamuwe wakati ni nchi maskini?!
 
Niliamuaga kuachana /kusikiliza kelele za wa tz mda mref sana.sabab wabongo/wana harakat/..weng wase.nge sana...hawana jema kwa nchi hii ku.*****

Nyi ni kukosoa tuuu,..wa.senge sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Mkuu Gentamycene have you pondered what is the market value of these planes ? Nadhani cost benefit analysis imefanyika kufikia maamuzi hayo. Anyway I don't know.
 
Back
Top Bottom