MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
Nnawasiwasi huenda ananusa ile kitu[emoji90]Hapa mzee sirro hakufikiri kwa kina, mtaongeza umasikini kwa watanzania
Nnawasiwasi huenda ananusa ile kitu[emoji90]Hapa mzee sirro hakufikiri kwa kina, mtaongeza umasikini kwa watanzania
Hebu tutolee uzombi wako[emoji83]Jamani hajapiga marufuku. Ametoa ushauri tu.
Mbona watu mnayabeba mambo juu juu?? Yeye hajapiga marufuku..
Acha ujinga zombie wewe[emoji83]Lakini ukisikiliza hajasema ni marufuku, alichosema anawashauri kutokufanya biashara hiyo baada ya saa sita kwa usalama wao
Tuweke hapa[emoji115]
Kwahiyo wateja wa ucku ni walevi tu auMbona mnapenda kuwawekea watu maneno mdomoni?, Na kwa namna wadau wanavyo comment inaonekana hawajajisumbua kupoteza mb zao kumsikiliza Siro!. Kamanda hajapiga marufuku, ameshauri, ndio maana amehusisha Na muda wa kufunga bar, kwa maana baada ya hapo hakuna wateja salama Sana. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hii mifisiem shida sanaMbona mnapenda kuwawekea watu maneno mdomoni?, Na kwa namna wadau wanavyo comment inaonekana hawajajisumbua kupoteza mb zao kumsikiliza Siro!. Kamanda hajapiga marufuku, ameshauri, ndio maana amehusisha Na muda wa kufunga bar, kwa maana baada ya hapo hakuna wateja salama Sana. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ningekupa [emoji106] lkn ulichosema hapa hata sikulewi sijui ni kikabila gani nikupe hii[emoji107] [emoji117]This Is too much, poor decision kbs
Mbululazz[emoji83] [emoji90] [emoji90] [emoji196]Mbona huyo bwana katoa ushauri alafu wewe unasema kapiga marufuku?
Ushauri sio lazima upokelewe.. Ni wewe mwenyewe kuangalia usalama wako, ila mwanausalama ndio kashauri hivyo!
Tunaangalia majority sio minority,wanaoathirika na uhalifu unaohusisha bodaboda kutembea night kali ni wengi zaidi kuliko wanaofaidika na hilo nadhani utakuwa umenipata fresh....nadhani pia kamanda angesema mwisho uwe ni saa nne sio saa sita,kwa hiyo watu watembee kwa mguu! maana hapa Dar saa saba usiku wapo wanaorudi makazini na wale wanaoenda mfano machinjioni kuchukua nyama za supu na kuuza kesho yake, Hamuoni mtakuwa mmewapa wakati mgumu watu kama hawa. We kujibu ndio bila kubalance, hii haitazuia uharifu, sana sana itaongeza rushwa mana sasa polisi watazunguka mitaani kuwabugudhi bodaboda wawape chochote au kuwakamata.
Serikali iwekezekwa polisi kukabiliana na changamoto hii na wala sio kuwazuia bodaboda usiku, wanatusaidia sana sie wa mtaani tusikabwe ovyo. Hapa kipaumbele unachosema hakizingatiwa
Nipo segerea saa tatu tu boda boda wawili wamemkata mtu mapanga na kumuibia bado mapema sasa hamuoni madhala yakeWenzetu huko dunia ya kwanza pamoja na maendeleo yoote.., Wanafanya kazi mchana na usiku.
Hapa TANZANIA Bw.Sirro anakataza watu kufanya kazi kwa sababu za kiusalama.
[HASHTAG]#TANZANIA[/HASHTAG]yaVi-wonder
Ni kweli kabisa mmkuu wanajali sana ila hapa kwetu ndo kwanza unaweza ukaenda kulala selloNasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza
wkt bongo askari akikukuta usiku anakukamata na kukupeleka sero et mzururaji dah!Sio kigali tu bali miji mingi tu Ulaya askari akikukuta njiani usiku basi ujue unasindikizwa hadi kwenye apartment yako ukishafungua mlango tu mnaagana