Sirro: Marufuku bodaboda baada ya saa 6 usiku

Sirro: Marufuku bodaboda baada ya saa 6 usiku

Wenzetu huko dunia ya kwanza pamoja na maendeleo yoote.., Wanafanya kazi mchana na usiku.

Hapa TANZANIA Bw.Sirro anakataza watu kufanya kazi kwa sababu za kiusalama.

[HASHTAG]#TANZANIA[/HASHTAG]yaVi-wonder

Sasahivi hata hoja za maana hamna
mmebakia vibendera wote
kesho sirro akisema Ruksa usiku
mtaanza kumpinga!!!
Kuwa mfuasi wa cdm lazima Ujitoe ufahamu!!
 
Nasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza
Kigali ni sawa na wilaya ya kinondoni.
Tanzania kijiografia ni kubwa sana. Kwa iyo changamoto zake ni kubwa sana
Tanzania ukubwa wake ni mjumuiko wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na zinabaki kilometers za mraba 66,000
Kwa iyo izi nchi nyingine ni ndogo sana na changamoto zake ni ndogo pia
 
Tatizo ni kubishia kila kitu
bila kutumia akili
 
Awamu hii kila mtu anatamka anvyojisikia ili siku ziende.

Hawa bodaboda wamekuwa wanasaidia sana watu nyakati za usiku.

kwa hiyo watu watembee kwa mguu! maana hapa Dar saa saba usiku wapo wanaorudi makazini na wale wanaoenda mfano machinjioni kuchukua nyama za supu na kuuza kesho yake, Hamuoni mtakuwa mmewapa wakati mgumu watu kama hawa. We kujibu ndio bila kubalance, hii haitazuia uharifu, sana sana itaongeza rushwa mana sasa polisi watazunguka mitaani kuwabugudhi bodaboda wawape chochote au kuwakamata.
Serikali iwekezekwa polisi kukabiliana na changamoto hii na wala sio kuwazuia bodaboda usiku, wanatusaidia sana sie wa mtaani tusikabwe ovyo. Hapa kipaumbele unachosema hakizingatiwa
 
Back
Top Bottom