chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,183
- 25,426
anataka kutuongezea vibaka mtaani
boda boda zimetupunguzia vibaka mtaani
boda boda zimetupunguzia vibaka mtaani
sasa nchi ndogo kuliko mkoa wa kilimanjaro kwanini usisindikizwe hadi kwenu?Nasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza
Ndipo tunapoelekea hukoHuo usalama anaoutaka asipoupata atapiga marufu watu kutembea usiku
Huyu jamaa kichekesho ameshindwa kulinda vituo vidogo vya polisi ataweza nini,labda kukamata mateja
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
Umenena vyema.Anakwepa majukumu yake, maana kazi lake ni kulinda raia na Mali zao...sasa anajipunguzia kazi!!!
Mkuu kimsingi marufuku ya kamanda siro itaongeza kudorora kwa usalama, maana ukiacha wanaotoka kazini kuna wasafiri wanaotegemea usafiri wa bodaboda.sasa tunaandaa kabali za mbao na kina Dada kubakwa.kwa hiyo watu watembee kwa mguu! maana hapa Dar saa saba usiku wapo wanaorudi makazini na wale wanaoenda mfano machinjioni kuchukua nyama za supu na kuuza kesho yake, Hamuoni mtakuwa mmewapa wakati mgumu watu kama hawa. We kujibu ndio bila kubalance, hii haitazuia uharifu, sana sana itaongeza rushwa mana sasa polisi watazunguka mitaani kuwabugudhi bodaboda wawape chochote au kuwakamata.
Serikali iwekezekwa polisi kukabiliana na changamoto hii na wala sio kuwazuia bodaboda usiku, wanatusaidia sana sie wa mtaani tusikabwe ovyo. Hapa kipaumbele unachosema hakizingatiwa
Panya road,kiboko msheri na magenge yote ya vibaka yataanza upya kusumbua dar. labda na vibaka wapigwe marufuku kuzurula usiku!Ili usikabwe mtaani unapanda bodaboda. Sasa zikipigwa marufuku si tutakabwa mpk basi
Mi mwenyewe naona hivo ni bora sirro agizo lienda sambamba na vibaka kutukaba usiku.Panya road,kiboko msheri na magenge yote ya vibaka yataanza upya kusumbua dar. labda na vibaka wapigwe marufuku kuzurula usiku!