mnyalukolokwetu
Senior Member
- Jan 10, 2016
- 156
- 40
HaaaaaaaaNa itakuwa inagongwa kengele ya kwenda kulala ifikapo saa sita kamili!
HaaaaaaaaNa itakuwa inagongwa kengele ya kwenda kulala ifikapo saa sita kamili!
Ndipo uone utofauti wa askari wa kulinda raia na mali zao wa bongo na nchi za wenzetu katika kutimiza majukumu yao. May be wasipopeleka watu vituoni wanaonekana hawafanyi kazi which is stupid.wkt bongo askari akikukuta usiku anakukamata na kukupeleka sero et mzururaji dah!
Jana kwenye mechi ya watani ndo nimegundua kuwa kuna askari wengi dar wa kutoshaHuo usalama anaoutaka asipoupata atapiga marufu watu kutembea usiku
Huyu jamaa kichekesho ameshindwa kulinda vituo vidogo vya polisi ataweza nini,labda kukamata mateja
Ekizakitili saa/madamuNasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza
kamatembo naomba nikuite kwa kirefu kamanda tembo. SIKUBALIANI NA HOJA YAKO. Hivi hizi degree zenu kamanda mnazitumiaje. Hapa kitengo cha polisi jamii kime-fail. Haya muombe basi apunguze muda iwe mwisho saa nne ili kuwaokoa hao majority wenu. Baada ya hapo ndio utajua mie nina damu nzuri au ya kiharifu. kazi njema.Tunaangalia majority sio minority,wanaoathirika na uhalifu unaohusisha bodaboda kutembea night kali ni wengi zaidi kuliko wanaofaidika na hilo nadhani utakuwa umenipata fresh....nadhani pia kamanda angesema mwisho uwe ni saa nne sio saa sita,
Kuhusu polisi kuchukua rushwa kwa bodaboda nikujibu hivi
"Wewe utakuwa una damu ya kihalifu tu ebu jitathmini vizuri mwenyewe nyendo zako,kwanini udhani polisi watawasumbua bodaboda na usione kuwa hadi ufikie huko kusumbuliwa ni kuwa ulikiuka hili agizo la kamanda la kuzurura baada ya saa sita,unategemea nn???
Hii ilinikuta mkuu, niliingia Dar saa sita usiku. Nikachukua bodaboda ikanifikisha ninapoenda,sasa zisingekuwepo sijui ningefikaje huko.Hapo anaatarisha usalama wa raia km mama ntilie wanaojidamka asubh kufat mahitaji na wauza samaki.... Wasafiri ambao huchelewa kuingia dar kwa sababu mbalimbali... Yaan sasa panya road kazini kivamia
Ni kweli, askari kule wapo kila kona ya mtaa kwa ajili kulinda usalama wa uraia masaa 24 na boda boda wanapiga kazi kama kawaidaNasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza
Ndio mwanzo huo, wewe mgeni nini hapa TZ na utawala wetu. Subiri wale wakuu waongezee hapo. Na hii inawezekana ikapigwa marufuku wadau tusipopiga mayowe. Umesahau Makamba enzi zake za ukuu wa mkoa wa Dar, alivyosikia kuna vibaka wanaiba kwenye madaladala akaja na amri yake ya LEVEL SITI, sijui kama ile amri bado ipo.Jamani hajapiga marufuku. Ametoa ushauri tu.
Mbona watu mnayabeba mambo juu juu?? Yeye hajapiga marufuku..
Yes hiyo ndio itaenda sambamba na ule msemo unaofifia sasa wa "HAPA KAZI TU" Mwananchi hata nikiamua kutoka saa nane niende kazini sina woga najua ulinzi upo. Watu watapiga kazi usiku/mchana na ndio sifa ya nchi inayoelekea ulimwengu wa viwanda. Huku kwetu polisi huwa wanapitaga doria uskiku na tupo shwari tu. Cha msingi nyie mnaojenga huko kusikopimwa zingatieni utaratibu wa kuweka mitaa ya barabara ili wapite kwa urahisi na kuzunguka eneo kubwa bila usumbufu.Huwezi kukataza watu eti kutembea usiku kuna haja wanajeshi JWTZ washike doria kila kona. Hatuna vita wanakaa tu? Walime na wengine watulinde barabarani na mjini
Ooh sikujijua kama mimi zombie.. asante kwa kunijuza. Ila nikujuze na wewe ambacho hujijui akili zako ni zakuvalia chupi tu... hufikirii wala huwazi zero!Acha ujinga zombie wewe[emoji83]
Hebu kaendeshe saa7 afu ukutane na POLICCM kama watakutizama tu
Sasa huoni huo ni udhaifu wa jeshi la Polisi?Nipo segerea saa tatu tu boda boda wawili wamemkata mtu mapanga na kumuibia bado mapema sasa hamuoni madhala yake
Teh teh teh teh...Mda huo wanaopaswa kuhakikisha kuna usalama(polisi wake) wanaota ndoto za kipuuzi na wengine wamelala na machangu
...mbaffff kabsaa kwendraaaa[emoji196] [emoji204] [emoji90] weeeOoh sikujijua kama mimi zombie.. asante kwa kunijuza. Ila nikujuze na wewe ambacho hujijui akili zako ni zakuvalia chupi tu... hufikirii wala huwazi zero!
Inawezekana maeneo ya mijini Kuna mizunguko saa 24, lakini kwa abiria Si salama kukodi bodaboda yoyote Na bodaboda Si salama kukodiwa Na abiria yoyote!, kwa wenye mizunguko usiku mnene Ni vema kuwa Na namba za wasafirishaji/wasafiri maalumu kwa ajili ya usalama wa pande zote, hapa haihitajiki shahada ya medani kujua jinsi ya kujihami.Kwahiyo wateja wa ucku ni walevi tu au