Sio kwa ubaya lakini hii inayoitwa kazi ya kuendesha boda ni mojawapo ya kazi kama uhalifu tu, asilimia 90 ya hawa wapuuzi ni wezi, wanyanganyi au vibaka baadhi kweli ni wastaarabu ila wengi ni wapuuzi.
Hii ni kazi inayofanywa na watu waliojikatia tamaa wengi ni walevi wavuta bangi and a like. Baba /mama kijana wako akimaliza shule chuo au 4m 4 kuliko aannze kuendesha boda bora aende veta hii kazi ni ya laana kweli.
Naamini huku hamna mtu ambaye hajawahi kupata sekeseke la boda kama sio kuumia au kufiwa na ndugu kwa sababu ya boda bc we ni malaika. Binafsi ningekua na uwezo hii kazi ningeipiga marufuku. Mwanzo nilikua sijali hata wakipiga mizinga kutokana na upuuzi wao lakini sa iv nafurahia kabisa.
NB: Kama unamiliki gari kwa tahadhari miliki na bastola kama Janjaro ili siku wakijichanganya upite na mguu wa mmoja.