Bodaboda za usiku ndio usafiri mkuu wa ma Bar maid wote wa mijini, unakuta mtu anatoka Waungwana Bar na anaishi Kimara, saa saba usafiri ni Bodaboda tu,Hapa mzee sirro hakufikiri kwa kina, mtaongeza umasikini kwa watanzania


Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
Mda huo wanaopaswa kuhakikisha kuna usalama(polisi wake) wanaota ndoto za kipuuzi na wengine wamelala na machanguWenzetu huko dunia ya kwanza pamoja na maendeleo yoote.., Wanafanya kazi mchana na usiku.
Hapa TANZANIA Bw.Sirro anakataza watu kufanya kazi kwa sababu za kiusalama.
[HASHTAG]#TANZANIA[/HASHTAG]yaVi-wonder
Hiyo ni hatua moja ya kwenda mbele. Kinachofuata ni amri mkuu. Tuache kwanza tuujadili ushauri wakeSiyo marufuku anawashauri maana kwa kuongeza chumvi ndo wenyewe
Unayeongea naye anakula kwa shemeji yake. Hajui kuwa kuna watu saa kumi alfajiri kwenda feri kuchukua samakikwa hiyo watu watembee kwa mguu! maana hapa Dar saa saba usiku wapo wanaorudi makazini na wale wanaoenda mfano machinjioni kuchukua nyama za supu na kuuza kesho yake, Hamuoni mtakuwa mmewapa wakati mgumu watu kama hawa. We kujibu ndio bila kubalance, hii haitazuia uharifu, sana sana itaongeza rushwa mana sasa polisi watazunguka mitaani kuwabugudhi bodaboda wawape chochote au kuwakamata.
Serikali iwekezekwa polisi kukabiliana na changamoto hii na wala sio kuwazuia bodaboda usiku, wanatusaidia sana sie wa mtaani tusikabwe ovyo. Hapa kipaumbele unachosema hakizingatiwa
Kama unaona kashauri subiri utekelezajiSiyo marufuku anawashauri maana kwa kuongeza chumvi ndo wenyewe
Mtoto wa mama utaongea nini zaidi ya kunawishwaUsalama kwa Watanzania ni kipaumbele nambari moja. Safi sana.
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama

Twende kigaliNasikia Kigali ukiwa unatembea usiku askari anakusindikiza