Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,732
- 99,594
Hahahaha, mpe somo Kisha achague kufanya au laKwahiyo hutaki kujifunza kuhusu kioo na ubatili wake???😂
Hahahaha, mpe somo Kisha achague kufanya au laKwahiyo hutaki kujifunza kuhusu kioo na ubatili wake???😂
Hahahahaaaa MUNGU hataki uchawi, sasa inategemeana na hayo maelezekezo unayafanya kwa mtazamo upi mkuuKwahiyo hutaki kujifunza kuhusu kioo na ubatili wake???
Hahahaha,huo mtego hawezi kubali kufanya,ila mpe maelekezo kwa faida yaleYeye si kasema kioo ni ubatili? Sasa nataka nimpe zoezi alifanye Leo usiku akikubali tu Nampa maelekezo😳
Hahahaaaa mbona wa kitazama kibanzi katika jicho la nduguyo ? mkuuHahahaha,huo mtego hawezi kubali kufanya,ila mpe maelekezo kwa faida yale
Kioo ni portal kilichovunjika wanasema ni kibaya viumbe na vitu visionekana hupenda kujitazama piaKwanini ni vibaya kujiangalia kwenye kioo kichovunjika?
Asante sana hata kwa huo ufafanuzi mdogo na upo direct.Kioo ni portal kilichovunjika wanasema ni kibaya viumbe na vitu visionekana hupenda kujitazama pia
Sina hakika sana lkn tusubir wanaofaham zaidi
Sasa huo ubaya ndiyo naitaji maelezo fanya kufafanua mkuu.Ni vibaya sana tena usijekujaribu.
Naunga mkono hoja. Akina Tomaso tupo wengiSasa huo ubaya ndiyo naitaji maelezo fanya kufafanua mkuu.