Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Hii si nchi ya waarabu na si nchi ya kuendeshwa kwa imani Fulani.Ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu apewe Mungu.Hizi ndio indicator za udini sasa.

maCCM yanakaribia kabisa kuitumbukiza nchi hii kwenye mtifuano wa kidini. historia itakuja kuwahukumu hawa mafisadi na wachumia tumbo wakubwa! tamaa ya madaraka ndiyo inawasukuma kungangania mahakama ya kadhi.
 
Uislamu Ni Very Unstable,duniani Kote Ni Madai Na Malalamiko Hata Kama Wako Peke Yao.Falsafa Ya Ubinafsi,chuki,chokochoko Na Machafuko.NdioMaana Wajerumani,wafaransa,Australia Hawawataki.Wamekaribishwa Wanaleta Vurugu Zao Za Kujilipua.Ni Watata Daima!
 
Nazan waislam awajawapa watu wa dini nyingine na wasio na dini elimu juu ya maakama ya khadhi, maana wanao ipinga awajui ni kwann wanaipinga ma wanao iunga mkono wapo ambao awajui vema.
 
Utangulizi:

Kwa muda mrefu sasa, “wenzetu katika imani” wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs).

Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu ‘Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichuka’ ili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.

Siri ya Mahakama ya Kadhi:

1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco – Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Tanzania.

2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea ‘Elimu Ahera’), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa ‘wenzetu katika imani’ wataajiriwa.

3. Kwamba utafika wakati ambapo ‘wenzetu katika imani’ wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni “Mahakama za Makafri”) au kwenye Mahakama za Kadhi.

4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya ‘TANZANIA ISIYO NA DINI’.

5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) – kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

HITIMISHO:

1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa ‘MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI’, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa ‘Ushauri wangu haukueleweka vizuri’.

Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakishaanza Tanzania.

2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.

3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.

Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi.

Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.

Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la “Sharia za Kiislamu kwenye Katiba” litamuangukia rais wa Awamu ipi.

Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake.

Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.
dada ma wewe kwa kulalamika!!!!
sijui ukiwa na mumeo kitandani inakuwaje, si mpaka majirani watasikia jinsi unavyo..... na mumeo.
kama hakuna ujuacho ni bora ukanyamaza kimya maana mihemko ni dalili ya mwanamke aliye katika joto(HEAT)
 
Hivi kwa sasa kesi za ndoa& Talaka pamoja na Kesi za Mirathi zinasikilizwa na mahakama gani? Na kwa sheria zipi? Hivi wanao zisikiliza kesi hizo wanalipwa na nani?? Na zikiondolewa(kutenganishwa) kutoka ktk mahakama hizo au zikisikilizwa na mtalaamu mwengine ni makosa kulipwa na Serikali??? Hivi sheria zilizopo zina tambua ndoa za aina ngapi???

Mahakama zote Tanzania zina co-cocurrent jurisdiction kwenye maswala ya ndoa, na sheria ya ndoa LMA (law of marriage Act) imeweka taritibu za kiislam katika sheria! Mambo ya mirathi inategema na MTU mwenyewe kama Ni muislam sheria inayotumika ni sheria ya kiislam, na mahakama inayohusika Ni mahakama ya mwanzo,,,
Sheria zinazotumika kwenye maswala ya mirathi Ni customary local declaration order, Islamic reestatement act na Indian succession act (to mention the few)

Sheria zilizopo zinatambua aina moja tu ya ndoa ambayo Ni "ndoa inayotumbika katika LMA" lakini ndoa hii inaweza kusheherkewa katika njia kuu NNE 1. Kimila, 2. Kiislam 3.kicivil 4. Kikristo.

NB: Tatizo kubwa kisheria linalosababisha kutokuwepo kwa kadhi court, Ni swala moja kubwa sana, ambalo waislamu wote wanatakiwa kuliangalia kwa maini sana.
Kama kutakuwepo na kadhi court,,,.. Quran takatifu itaingia kwenye moja ya sheria Tanzania. Hii itaifanya Quran kuwa chini ya katiba,. Na kama ikiwa chini ya katiba kuna hatari mtu akaenda mahakama kuu kuchallenge constutionality of the Quran, hasa kwenye maswala ya mirathi., na hili likitokea mahakama italazimisha kuideclare Quran unconstitutional,, kitu ambocho itafanya Quran inoperative, something undesired..

Open to criticism...
 
Ndugu Proisra (Mleta mada), kwa haraka haraka nakuona ni kiumbe mwenye, hofu, uliyejaa woga juu ya imani ya

uislamu, usiejiamini, mkosa uvumilivu na usiyesoma mazingira. Kwa ufupi umeandika upuuzi unaohitaji kupuuzwa.

Mkoloni mwenyewe - mkristo alitambua umuhimu wa kuweka mahakama hizi, leo anakuja mzalendo mwenzetu

anasema hazifai?! Ndio maana tunasema bora mkoloni mkristo kuliko mzalendo mkristo. Nyinyi hamuwezi kusema

mnataka mahakama za kikristo kwa sababu mfumo uliopo hivi sasa ni wa kikristo ndio tunaoita mfumo kristo.

Unaopendelea ukristo kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mahakama iliopo ipo kigalatia zaidi. Waislamu ni sehemu ya

wananchi wa taifa hili je hawastahiki kupata huduma za mahakama za kadhi wakati wao ndio wachangiaji wakubwa wa

kodi ya serikali? Nyie mnapatiwa mabilioni ya MoU toka mwaka 1992 na tushapiga kelele sana msipewe lakini

mnapewa je hayo mabilioni si pesa za umma zinazowanufaisha wakristo peke yao?. Hata CAG haruhusiwi kukagua

mabilioni haya. mnagawana wenyewe wakristo watupu kama mlivyofanya kwenye ESCROW.

Hata kukujibu naona ntapoteza muda wangu tu.
 
Maelezo marefu ila UJINGA tuu ulioandika!
Serikali haina dini vp mbona wasile kiapo kimya kimya wakiteuliwa kwenye nyadhifa mpya? Hujui hata kuwa UPAGANI nao ni Dini?

Acha kutumia akili ndogo, hawa jamaa kila kikicha wanalilia tu kwa matakwa yanayoashiria kuibomoa nchi
 
Kodi yangu haiwezi kutumika kufadhili ibada ya mtu,tena bora ingekuwa dini nyingine hawa jamaa much knowers mno kila siku wanatutusi humu.

Wachangishane wenyewe kwa wenyewe hata leo waanzishe hizo kadhi.eboo

Wanataka hela ya kugharamia makundi yao haram......! Kwani nani asiejua alshabab na bokoharam???!!!
 
Utangulizi:

Kwa muda mrefu sasa, “wenzetu katika imani” wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs).

Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu ‘Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichuka’ ili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.

Siri ya Mahakama ya Kadhi:

1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco – Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Tanzania.

2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea ‘Elimu Ahera’), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa ‘wenzetu katika imani’ wataajiriwa.

3. Kwamba utafika wakati ambapo ‘wenzetu katika imani’ wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni “Mahakama za Makafri”) au kwenye Mahakama za Kadhi.

4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya ‘TANZANIA ISIYO NA DINI’.

5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) – kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

HITIMISHO:

1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa ‘MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI’, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa ‘Ushauri wangu haukueleweka vizuri’.

Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakishaanza Tanzania.

2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.

3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.

Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi.

Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.

Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la “Sharia za Kiislamu kwenye Katiba” litamuangukia rais wa Awamu ipi.

Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake.

Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.

Nimefurahi kwa uchambuzi wako wa kina.Naona watu wanaichezea sana amani hii.Yanayotokea Somalia,Ethiopia,Eritrea,Sudan,Kenya,Nigeria ni kwa sababu ya chokochoko hizi za kidini zinazoanzishwa na vikundi vya dini hii.Ni dhahiri sio waislam wote ni wapenda shari haswa wqle wakioelimika .Wanajua na vyema madhara na hivyi wengi hawakbalini na mufti na mrengo wake.Mungu atusaidie,tunataabika na mengi Tanzania hili la dini lisiwe kaburi letu
 
dini za kuletwa zinapowakosanisha watanzania na kuleta uadui,aibu sana
 
Hapo penye wekundu, una uhakika na unachokisema? Msiwe mnapenda kuwaza na kusema msivovijua? hebu nenda Mtaa wa Bibi Titi pale karibu na shule ya Mnazi Mmoja , angalia kuna mitambo ya Tanesco imejengwa pale! uliza kile kiwanja kilikuwa cha nani? ukipata jibu njoo uhororoje hapa!

Kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Ardhi, Na. 4 ya mwaka 1999 kinasema kwamba Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma! Kwa hiyo kama Serikali imejenga mitambo ya TANESCO imejenga kwenye kiwanja chake!
 
Nazan waislam awajawapa watu wa dini nyingine na wasio na dini elimu juu ya maakama ya khadhi, maana wanao ipinga awajui ni kwann wanaipinga ma wanao iunga mkono wapo ambao awajui vema.

Mahakama za Kadhi matunda yake yanaonekana Somalia, Nigeria, Iraq, nk wala haihitaji elimu ya darasa la kwanza kuelewa hili! Kwa ujumla dunia haina amani kwa sababu ya dini moja tu ya Muhammad ya UISLAMU!!
 
Na mnaolipa kodi ni nyinyi tu? kwanza nyinyi ndiyo wezi wakubwa Serikalini, mmejazana huko miaka na miaka mnaididimiza tu nchi. Huyaoni?
Inakera sana linasimama Liaskofu alafu anamlaumu Jk kwa ufisadi Serikalini,ilihali karibu Majizi yote waumini wao,lkn hawakatai mabilioni wanayo changiwa Makanisani.Mawaziri wote watano Ikulu ni Wakristo na pale ndio jikoni lkn mnasema Jk mdini,na kurugenzi 98%Ikulu ndio haohao.
 
Uislamu Ni Very Unstable,duniani Kote Ni Madai Na Malalamiko Hata Kama Wako Peke Yao.Falsafa Ya Ubinafsi,chuki,chokochoko Na Machafuko.NdioMaana Wajerumani,wafaransa,Australia Hawawataki.Wamekaribishwa Wanaleta Vurugu Zao Za Kujilipua.Ni Watata Daima!

Thousands attend anti-Islam rally in Dresden, Germany
Dresden, Germany (CNN)

Anti-Islam protesters gathered Monday in the German city of Dresden, with some carrying banners with the names of those killed in the Charlie Hebdo attack in Paris.

It is the 12th march in Dresden called by the protest group Patriotic Europeans against the Islamization of the West, or PEGIDA, since October. Dresden police say the number of people attending these rallies has increased from an estimated 350 protesters on October 20 to 18,000 on January 5 and 25,000 people on Monday.
The PEGIDA movement emerged last year in the eastern German city. About 2% of Dresden's inhabitants are foreigners.
150112144756-dresden-march-numbers-graphic-large-169.jpg

EXPAND IMAGE

On its Facebook page, PEGIDA says citizens should "wake from their slumber" and recognize the "danger in the Islamic ideology." "Stop the radical Salfists' Islamization," it urges. "As a society, we should give people the chance to integrate, but we should not allow ourselves to be Islamized thereby losing our freedom and democracy!"
The group claims to have supporters in more than 30 German cities and 18 countries in Europe. A PEGIDA group in Norway has also called for demonstrators to gather outside the Town Hall in the capital, Oslo, to show support for the French and demonstrate opposition to what it calls the "Islamification of Norway."

In Dresden, organizers earlier announced that Monday's rally would commemorate the victims of last week's attacks in Paris.
150105130033-cologne-cathedral-with-bridge-story-top.png

  • [h=2][/h][h=3][/h]

German church protests anti-Muslim movement 01:27
PLAY VIDEO

Critics, however, say that protesters are taking advantage of the attacks to attract supporters and incite hatred against refugees and foreigners.
[h=3]Request to cancel march denied[/h]German Justice Minister Heiko Maas called upon the organizers to cancel the protests. In an interview with German newspaper Bild, he said, "The victims do not deserve to be abused by such agitators."
The head of Germany's CSU party, Horst Seehofer, told ARD Television: "I want to request those responsible ... that they cancel their demonstrations for the foreseeable future, especially at a time when the whole world is shocked about the events in Paris."
German Chancellor Angela Merkel, who has repeatedly voiced her disagreement with the PEGIDA movement in recent weeks, made similar demands.
A representative for PEGIDA in Dresden told CNN that the march would not be canceled.
"They are putting us on the same level as radical extremists," said Kathrin Oertel, one of PEGIDA's leaders. "We have the right to express our condolences to the victims of Friday's terror attack."
Oertel added: "We all think we are being neglected by our politicians."
She later told CNN that she does not want to be perceived as racist.
"Muslims are only a tiny fraction of the population, but they're so dominant in pushing for their demands that German culture is being pushed back," said Oertel. "We want to live peacefully with all immigrants here in Germany, but we as Germans demand that they assimilate themselves into our culture and that they live in accordance with our laws and don't build up parallel societies."
At a planned protest in nearby Leipzig -- organized by a group similar to PEGIDA -- protest organizers had agreed to a city ban on showing anti-Mohammed cartoons, but city authorities revoked their ban Monday following criticism that it limited free speech.
According to German wire service Deutsche Presse-Agentur, Leipzig city officials originally made the decision to ensure that the protests would remain peaceful. "After Paris, one must assume that Mohammed cartoons are meant to be a provocation," DPA quoted a city representative before the ban was revoked.
French cartoonists reacted to the German PEGIDA marches by publishing caricatures in which they ridiculed the protesters.
On Saturday, 35,000 people assembled in front of Dresden's landmark site, the Frauenkirche, to advocate for tolerance. Local politicians emphasized that they were open for a dialogue with PEGIDA protesters.
[h=3]Counterprotests planned across Germany[/h]Counterprotests against anti-Islam demonstrators were planned in Hanover, Düsseldorf, Hamburg, Munich, Dresden, Leipzig and Berlin.
On its Facebook page, the leftist group Dresden Nazifrei (Dresden free of Nazis) called upon its supporters to protest against the anti-Muslim demonstrators. The Dresden Nazifrei organizers wrote: "It is your decision to decide whether there will only be protests in hearing range and sight distance or whether we will try to do more."
Large numbers of police officers will try to keep anti-Muslim protesters and their opponents from clashing, with a heavier presence because of the Paris attacks.
"We have slightly increased the number of police officers involved," a police representative told CNN on Monday, refusing to give specific numbers ahead of the demonstration.
Later, police said that around 1,600 officers were involved on Monday. Some 8,700 people protested against PEGIDA in Dresden, according to police.
A poll by German newspaper Der Spiegel in December found that 34% of respondents believed their country was becoming "increasingly Islamicized."
150105203735-protest-pegida-germany-story-top.jpg

  • [h=2][/h][h=3][/h]

German Minister: don't overestimate 'PEGIDA' movement09:17
PLAY VIDEO

German Interior Minister Thomas de Maiziere told CNN's Christiane Amanpour last week that he was "worried by this tendency" but that the significance of the protests should not be overestimated.
"It's new, it's concerning, but we should not be dominated by PEGIDA when we discuss our political agenda," he said.
On the other hand, he said protesters posed some questions that needed to be answered. "They ask: 'Is there an end of asylum seekers, how dangerous is Islam for our society, what about the fight against IS (ISIS) -- can this be successful?' These critical questions have to be faced, have to be answered," de Maziere said.
But he said he did not fear a rise of ugly nationalism in Germany again.
[h=3]'We learned our lessons from the Nazi years'[/h]"I'm confident we are strong," he said. "We learned our lessons from the Nazi years, and you can see it's very interesting that the organizations of PEGIDA; they know exactly where the red line is which they should not cross -- this makes me more skeptical but they know where the taboos are in Germany so I don't see a renewal of the NPD (the far-right National Democratic Party) -- it's less than in other European countries. And we are very well aware of it, and we will fight against every tendency."
Joerg Forbrig, a European analyst with the German Marshall Fund of the United States, told CNN that the PEGIDA movement had really only gained traction in the Dresden area, where its ideas had fallen on "particularly fertile soil."
"These protests are not so much fueled by fear of Islam and fear of Islamist attacks, but by frustration at the cost of reunification -- about the way they are being integrated and represented since the fall of the Berlin Wall," Forbrig said.
Dresden already had a well-established network of right-wing extremists before PEGIDA's emergence, he said.
"It's more a case of East Germans not entirely feeling at home in Germany," Forbrig said. "There is a feeling of second-class citizenship, and in order to be heard, many East Germans take to radical measures."
The movement was "basically a plea for more attention more than anything else," he said. "I think this movement has peaked -- I don't think that there is much more of a local and regional potential that this movement can exploit."
Forbrig stressed that there was a substantial counterprotest movement, with those protesters outnumbering PEGIDA supporters last week in Cologne by 10-to-1.
In fact, across Germany on Monday, more than 80,000 people protested against PEGIDA, according to the news agency DPA.
In her New Year's speech, Merkel addressed the issue of xenophobia, saying such demonstrations encourage the exclusion of people because of their skin color or religion.
Merkel urged people not to attend such rallies, where people have "hatred in their hearts," she said.
"We know the value of unity in our country," she said. "It is the foundation of our success."

Source: CNN
 
Mahakama za Kadhi matunda yake yanaonekana Somalia, Nigeria, Iraq, nk wala haihitaji elimu ya darasa la kwanza kuelewa hili! Kwa ujumla dunia haina amani kwa sababu ya dini moja tu ya Muhammad ya UISLAMU!!

Wacha uongo wewe. Unajuwa sana kuwa makafiri kama wewe ndiyo wanaoziharibu hizo nchi kwa roho mbaya tu ya kuona zimefanikiwa.

Na mtafanya kila njia lakini Uislam utaendelea kukuwa kwa kasi duniani. Na mahakama ya kadhi tutaipata tu Tanzania hii, hata mfanye nini.
 
Back
Top Bottom