Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Nina uhakika siku hii issue itakapoekwa kwenye katiba ndo Tanzania itaingia kwenye machafuko rasmi...na kama nchi nyingine zote (somalia,nigeria,libya,syria,iraq) nasi tutakua miongoni mwao..

my take: ukiona hii issue imekubaliwa..tafuta visa kwenye kwingine angalau rwanda hapo.
 
aliyepost hana akili yaani amepost uchafu katika uchafu, ata moderator mwenyewe anajua, sema anakuacha kwa sababu tu.kama nchi ya TANGANYIKA-ZANZIBAR haina udini kwanini wakiristo mna siku mbili za kumpuzika yaani jumamosi mnafuwa nguo suti zenu na vinepi cku ya jumapili yaani siku ya jua waabudu jua duniani kote SUN-DAY.wakati WAISLAMU hawana siku ya mapumziko nakufunya IBADA ZETU NUSU SAA NAKUINUKA KWENDA KAZINI inamaana unafua ijumaa hyo hyo.wakat wakricto wanaxema mnaonewa kwa lipi? wakat hii nchi mapadri walihucka na ESCROW wakat MASHEKHE WETU WAKO KWENYE NYUMBA TAKATIFU (THE HOLLY MOSQUE) wakiwafundisha watoto wetu MAADILI MEMA.

Huijui vizuri hata dini yako, hakuna sehemu au haya ndani ya Quran inayomwambia Mwislam apumzike siku ya Ijumaa, nenda kwenye ibada kisha endelea na kazi. Wakristo wameamrishwa kupumzika usione wivu.
 
Nisipochangia watasema cc. RICARDO KAKA nikichangia watasema anaunga mkono kwa vile yeye ni mkristo.
 
Maelezo marefu ila UJINGA tuu ulioandika!
Serikali haina dini vp mbona wasile kiapo kimya kimya wakiteuliwa kwenye nyadhifa mpya? Hujui hata kuwa UPAGANI nao ni Dini?
Hoja hapa ni je, ni sahihi kodi zisizo za waislam kutumika kugharimia mahakama za kiislam?!
 
Hivi kwa sasa kesi za ndoa& Talaka pamoja na Kesi za Mirathi zinasikilizwa na mahakama gani? Na kwa sheria zipi? Hivi wanao zisikiliza kesi hizo wanalipwa na nani?? Na zikiondolewa(kutenganishwa) kutoka ktk mahakama hizo au zikisikilizwa na mtalaamu mwengine ni makosa kulipwa na Serikali??? Hivi sheria zilizopo zina tambua ndoa za aina ngapi???
 
Maelezo marefu ila UJINGA tuu ulioandika!
Serikali haina dini vp mbona wasile kiapo kimya kimya wakiteuliwa kwenye nyadhifa mpya? Hujui hata kuwa UPAGANI nao ni Dini?

Hii nchi haina dini ila wananchi wake ndio wenye dini ndio maana mtu anapokula kiapo anaambiwa ashike kitabu cha dini cha imani yake ili aweze kuapa
 
Maelezo marefu ila UJINGA tuu ulioandika!Serikali haina dini vp mbona wasile kiapo kimya kimya wakiteuliwa kwenye nyadhifa mpya? Hujui hata kuwa UPAGANI nao ni Dini?
wee ndio zoba ati! Mbona unaapa mahakamani na kesi inaendelea licha ya kiapo chako!0†7 Unaulizwa jee umeiba? Unajibu hapana! Mbona huchwi huru kwa sababu umeapa? Hata allah anasema hatawashika kwa viapo vyenu vya upuuzi! Viapo ni usanii na upuuzi mtupu. Haya serkali ina deen gani! Au yenyewe ndio deen? Halafu sikioni kilicho kujaza povu! Mtoa uzi kaleta angalizo lenye nukta safi sana! Huwezi ukachukua pesa ya wauza nguruwe iongoze ibada yako, halafu ni dhulma na ufisadi mkubwa. Wazimu ni fani eeh
 
Mkuu hapo umepotoka. Maelezo hayo hayana ujinga wowote bali ni tahadhari kwa tunakoelekea. Serikali haina dini ila inatambua wananchi wake wana dini zao hivyo kuapa kwa kutumia vitabu vya dini hizo ni kumheshimu Mungu anayeabudiwa na watu hao. Kazi ya serikali sio kutukuza dini moja dhidi ya nyingine bali kuhakikisha kuwa kila muunini anajihusisha na dini yake bila kubughudhiwa au kumbughudhi mwingine.
 
Kumbe kuwa na University nyingi sio kuwa na maarifa munazidi kuawa na chuki katika nafsi zenu,uislam uyakuja kusima na kuwa dola,hii ni ahadi ua Allah hilo halina ubishi,ulimwengu lazima urudi katika asili yake
 
Ni kwa nini unawaza hivyo wakati umesema kila mtu akipewa madaraka huapa kwa dini yake? Au labda wote huapa kwa Kikristo? Kwanza nani alikuambia kwenye Ukristo kuna kuapa?


Niya dini ya kikiristo hilo halihitaji hata kufunga dish
 
Mkuu hapo umepotoka. Maelezo hayo hayana ujinga wowote bali ni tahadhari kwa tunakoelekea. Serikali haina dini ila inatambua wananchi wake wana dini zao hivyo kuapa kwa kutumia vitabu vya dini hizo ni kumheshimu Mungu anayeabudiwa na watu hao. Kazi ya serikali sio kutukuza dini moja dhidi ya nyingine bali kuhakikisha kuwa kila muunini anajihusisha na dini yake bila kubughudhiwa au kumbughudhi mwingine.

Acha ujinga unatumia akili.au matope kama kazi ya serikali ni kusimamia haki ya kila mwananchi iweje ibague haki ya mwananchi mwingine,serikali hii ni ya dini ya kikiristo na inaongozwa hivo ndio mana imetufikisha hapa tulipo masikini wakutupwa wakati rasilimali tunazo kila siku kukicha ufisadi hadi viongozi wa dini nibmafisadi sijii nyie waumini muyakuwa katika hali gani
 
Waache wadai mahakama wenzao wanaongeza vyuo viwanda mahospitali za kuambiwa changanya na za mbayuwayu changanya na viroba
 
Ivi kwani watanzania wote wafanyabiashara? Mbona zpo mahakama za usuruishi wa biashara, zpo za ardhi. Ila hii ya kadhi ndo inakua issue sana!!!
 
Ndoto za waislamu mahakamani ya kadhi kukubaliwa Tanzania wasahau kabisa kwenye ndoto zao
 
Huna chochote ila chuki binafsi.Unajaribu kutaka kupotosha umma kwa kutumia mdomo wako.Tutajie hayo matatizo yaliyopo katika nchi zenye Mahakama ya Kadhi, usitafute umaarufu kwa kutumia dini,kuna siku utajuta!!!
 
Back
Top Bottom