Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Waislam waichangie mahakama yao, ila mm mkristo sipo tyr kuichangia
 
Ushauri wangu kwa wabunge wa vyama va upinzani, msipige kelele sana juu ya mahakama ya khadhi maana CCM wamewawekeeni mtego ili mjichonganishe na jamii ya kundi moja halafu iwe ndo mtaji wao kwa mwaka huu 2015. Afadhali mtoke nje au msilijadili maana CCM wamepaona na kama wakipitisha watapata kura za upande mmoja na wasipopitisha watapata kura za upande sijui upi wanajua wao...ninyi kaeni kimyaaaaa kama maji mtungini tuone itakuwaje.

Huo sasa ndiyo utakuwa unafiki wa kupindukia, ni heri upinzani tukose kura na nchi iwe chini ya CCM kuliko kuleta unafiki kwenye jambo linalogusa maslai ya nchi kama hili. MAHAKMA YA KADHI NI IBADA HIVYO SI VYEMA SERKALI KUGHARAMIA IBADA YA DINI.
 
sio serikali tatu tena sasa ivi mahakama ya kadhi! shame on this country
 
Dunia nzima inajua Waislamu Tanzania wamepewa Majengo Tanesco Morogoro..Usitake kupotosha watu kwamba mlibadilishana maana tungejua mapema maana kulopoka tu waislamu Hawajambo m..bwa nyie!!!


Waislamu hatujafundishwa kutukana watu, ukiona mtu anatukana jua ameishiwa hoja! tumefunzwa adabu na kuheshimu watu! Mwenye ez Mungu akuongoze na ausafishe mdomo wako ! Amin
 
Waislamu hatujafundishwa kutukana watu, ukiona mtu anatukana jua ameishiwa hoja! tumefunzwa adabu na kuheshimu watu! Mwenye ez Mungu akuongoze na ausafishe mdomo wako ! Amin
Hamtukani???? Hammwagi damu zisizokuwa na hatia kwa kisingizio cha kueneza dini? Hamchomi makanisa ili kuchochea uhasama? Hamwuui mapadri zanzibar na kusingizia ugaidi? Acheni unafiki.
 
Pumba.. Pumba ....pumba..... Umendika pumba...tupu!
Unavyodhani wewe kuitwa chuo cha waislamu ndio wanaosoma pale wote ni waislamu?
Huna hata haya.....fanya utafiti kidogo ndio uandike
eti umwagaji damu, kwa taarifa yako nyie ndio mtaanza kumwaga damu, usidanganye watu hapa!
Tafuta kitu kingine waacheni waislamu na mambo yao, kama nao walivyowaachia mambo yenu ya escrow...!
Kwani nanyi mmezuiwa kuanzisha mahakama zenu? Acha wivu...........!

Wezi wakuu kwenye escrow ni waislam
Mahakama ya kadhi kama mnaiitaji ianzshen huko misktni kwanini hamuishi chokochoko nyie waislam au mnataka wakrsto wawaachie nchi wahame
 
Back
Top Bottom