Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Ivi kwani watanzania wote wafanyabiashara? Mbona zpo mahakama za usuruishi wa biashara, zpo za ardhi. Ila hii ya kadhi ndo inakua issue sana!!!
Hakuna haja ya kuwa na mahakamani za kadhi kama unataka kuwahukumu waislamu wenzetu labda mfanye huko misikitini kwenu
 
Mbona hospital za Makannisa madaktari wanalipwa mshahara na serkali waislam tumenyamaza kwani siyo kodi zetu pia?
 
Inamaana, sisi tunywe konyagi, beer, na vinywaji vingine na pia kule kwenye kitimoto itolewe kodi ndiyo ije wakapewe waendeshee mahakama yao??

kwa kodi ya kitimoto, na beer, na kama wata rasimisha wale wenzetu kulipia kodi biashara ya kuuza miili yao??

Mbona vyanzo vya mapato vko ving tu mbali na vivo ulivotaja kamanda
 
kikwete amefanya mambo mengi mabaya lakini mwisho anataka kutuingiza kwenye vita vya kidini ingawa alishaanzisha kisirisiri huu mjadala utakapofika bungeni ndio mtaona mgawanyiko wazi kwa mara ya kwanza wabunge wa upinzani na ccm watagawanyika kwa misingi ya dini
 
Ina maana sisi tule kitimoto na beer na konyagi ili kodi yetu ije ilipie mahakama ya kadhi?
Kama hujaelewa tukuwekee na picha kabisa?

Na mnaolipa kodi ni nyinyi tu? kwanza nyinyi ndiyo wezi wakubwa Serikalini, mmejazana huko miaka na miaka mnaididimiza tu nchi. Huyaoni?
 
mi ni muslim ila kwa hili suala la mahakama ya kadhi ilipwe na serikali sioni kama ni sahihi.

Wote tunafahamu pesa ya serikali inapotoka ni pamoja na kukusanya kodi za beer, kumbi za statehe na mambo mengine ambayo dini/ Quran hairidhii yaani pesa zake zinatokana na haramu.

Mi nachoona hapa muslims tuache kutafuta manufaa yetu ya kidunia kwa mlango wa dini( uislamu), ambapo tunajua fika kuwa dini inakataa!!

Yaani pesa za beer au pesa za haram zimlipe sheikh kisha sheikh aende kuhukumu kwa kutumia Quran/hadith?! kweli???hebu tufikirie tena jamani isije ikawa tunapalilia dunia na kujichochelea kuni akhera.

Ni hayo tu.
 
Acha ujinga unatumia akili.au matope kama kazi ya serikali ni kusimamia haki ya kila mwananchi iweje ibague haki ya mwananchi mwingine,serikali hii ni ya dini ya kikiristo na inaongozwa hivo ndio mana imetufikisha hapa tulipo masikini wakutupwa wakati rasilimali tunazo kila siku kukicha ufisadi hadi viongozi wa dini nibmafisadi sijii nyie waumini muyakuwa katika hali gani

Unatapatapa hata uelewek unachoongea, anzia juu kiongoz wa nch din gan?
 
Mahakama za kadhi zpo Kenya, Uganda, mbona hzo nchi hazijawa na utawala wa sharia..usiwe na mawazo mgando mtoa mada


Nothing personal
 
Mahakama ya kadhi si jukumu la serkali kuihudumia, Wanafunzi vyuo vikuu hawana mikopo sasa bora fedha za kuigharamia mahakama ya kadhi wapewe mikopo wanafunzi.
Siku serkali na wabunge watakaopitisha ujinga huu lazima tuwawajibishe no matter wametokea chama gani. Tanzania haina dini, Tanzania ni moja na hakyna Tanzania nyingine zaidi ya hii.

NCHI KWANZA, KADHI BADAE.
 
Acheni kubwabwaja nchi hii inaongozwa kwa kwa misingi ya kanisa ndio mana munakuwa na chuki kwenye nyoyo zenu,mwenyezi mungu atatupa nusra in sha allah.mutabaki na ufirmasoni wenu

pole sana mkuu.
 
Kodi yangu haiwezi kutumika kufadhili ibada ya mtu,tena bora ingekuwa dini nyingine hawa jamaa much knowers mno kila siku wanatutusi humu.

Wachangishane wenyewe kwa wenyewe hata leo waanzishe hizo kadhi.eboo
 
Mbona hospital za Makannisa madaktari wanalipwa mshahara na serkali waislam tumenyamaza kwani siyo kodi zetu pia?

Hakuna aliyezuia waislamu kuanzisha hospital na kuomba serikali iwalipe madaktari kwa kuwa wanatoa huduma kwa yeyote. Hili la mahakama ya kadhi tuslichanganye na huduma za hospital ambazo zipo wazi kwa dini zote. Je hizo huduma zimeingizwa kwenye sheria za nchi au makubaliano tu ambayo yanaweza kufutwa muda wowote?

Hili jambo lifanyike kwa umakini maana mwaka huu ni wa uchaguzi. ccm wanaweza kuingiza kwenye sheria ili wapate kura za waislamu lakini kama kawaida yao wasitimize hata moja. Je baadae wakisema mahakama itaanza serikali ikiwa na uwezo wa kifedha itakuwaje? Angalieni wamerudisha JKT imewashinda japo ilikuwa muda mfupi wa mafunzo na kwa vijana wachache.
 
proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Inatoa huduma kwa wananchi wa dini ipi?kwani kuna mtu anazuia kuanzishwa kwake kama watajigharamia wenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Kwani hao si Watanzania???kwani hawalipi Kodi?? Kwani kila kitu tunacholipia Kodi lazima tufaidi sote?? Kwani ni lazima sote tufuate sheria za mahakama hiyo?? Je kuna Nchi ambazo zina mahakama za aina hiyo??je kuna matatizo yemejitokeza??je kuna utafiti umefanyika Juu ya suala hili????

Issue ni kwamba serikali haina dini,full stop!
 
Back
Top Bottom