Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Kama inatoa huduma kwa wananchi basi hao wananchi ndio waigharamie na sio serekali ihusike kuwawekea taratibu za kugharamia mahakama isiyo hudumia zaidi ya nusu ya watanzania. Jiulize raisi mkristo ataisimamiaje mahakama ya kadhi wakati yeye sio muislam?
 
Najivua rasmi UCCM kama fedha za serikali zitatumika kuendesha mahakama za kadhi, this is purely personal.
 
Wacha uongo wewe. Unajuwa sana kuwa makafiri kama wewe ndiyo wanaoziharibu hizo nchi kwa roho mbaya tu ya kuona zimefanikiwa.

Na mtafanya kila njia lakini Uislam utaendelea kukuwa kwa kasi duniani. Na mahakama ya kadhi tutaipata tu Tanzania hii, hata mfanye nini.

Okay, nimekuelewa. Makafiri kama vile BOKO HARAM, ISLAMIC STATE, AL QAEDA, AL SHABAAB, pamoja na makafiri wenzao ndio wanaoziharibu hizo nchi kwa ROHO ZAO "NZURI!" Tumeona kweli SOMALIA iko "mbali" sana kimaendeleo baada ya AL SHABAAB ku-terorize na kuua watu wasiokuwa na hatia. Kukua kwa UISLAM hakumaanishi USAHIHI wake! Kidonda kinaweza kukua, lakini mwenye kidonda anaweza asikifurahie!

Hiyo Mahakama ya KADHI kuipata sio hoja, hoja ni uendeshaji wake! Ianzishwe na waislamu wenyewe na waiendeshe wenyewe kwa faida ya hao WAISLAMU, as simple as that! Au hata wale unaowaita "makafiri" wanaruhusiwa kuanzisha chombo cha makafiri wenyewe?
 
mabilioni haya. mnagawana wenyewe wakristo watupu kama mlivyofanya kwenye ESCROW.

Hata kukujibu naona ntapoteza muda wangu tu.

Mkuu,
ESCROW ni mradi wa JK, wewe endelea kudanganyika!
 
haiwezekani bajeti inayochangiwa na wanywa bia ikaendeshe mahakama inayoona pombe ni haram.
Hawa watu wana matatizo sana! Yaani wanadai kuwa wenzao ni "makafiri" lakini wanawalilia wawaanzishie mahakama zao na kuwasaidia kuziendesha!! Ni sawa na mtu akijidai kwamba hali nyama ya kitimoto kisha anakunywa mchuzi wake!
 
" Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini."

Hii para ndiyo yenye mtizamo halisi, usiozaa ukinzani na tunaomba iwe ndio mhimili wa hoja na sio kugombania chuki na sanaa nyingine za kifikra. Bila ukweli, kesho tutajakimbiana kwa majanga! Taifa halina dini, Serikali haina dini, na hivyo kwa jinsi isivyogharamia masuala ya dini nyingine ikiwepo wakristo, na hivyo hakuna logic ya kugharamia au kusimamia gharama za mahakama ya kadhi hata kama itakubalika kuanzishwa..very simple logic!
 
proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Wananchi inaowatolea huduma ndio waigharamie. Wasiwe waktisto ama wapagani. Nafikiri hapo umeelewa. Sidhani kama zile sharia zitawasaidia napadre, wachungaji na waumini wao wala wapagani na mizimu yao. Over.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu wana matatizo sana! Yaani wanadai kuwa wenzao ni "makafiri" lakini wanawalilia wawaanzishie mahakama zao na kuwasaidia kuziendesha!! Ni sawa na mtu akijidai kwamba hali nyama ya kitimoto kisha anakunywa mchuzi wake!

si vibaya ndugu zetu katika imani wakajijadili hoja na mitazamo yao kabla ya kutaka makafiri tuwachangie, haileti maana, fedha haramu kufanyia jambo halali.
 
" Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini."

Hii para ndiyo yenye mtizamo halisi, usiozaa ukinzani na tunaomba iwe ndio mhimili wa hoja na sio kugombania chuki na sanaa nyingine za kifikra. Bila ukweli, kesho tutajakimbiana kwa majanga! Taifa halina dini, Serikali haina dini, na hivyo kwa jinsi isivyogharamia masuala ya dini nyingine ikiwepo wakristo, na hivyo hakuna logic ya kugharamia au kusimamia gharama za mahakama ya kadhi hata kama itakubalika kuanzishwa..very simple logic!
Mimi nadhani serikali ijikite kwenye kuitambua kisheria lakini kuiendesha wapewe jukumu wenyewe.
 
dada ma wewe kwa kulalamika!!!!
sijui ukiwa na mumeo kitandani inakuwaje, si mpaka majirani watasikia jinsi unavyo..... na mumeo.
kama hakuna ujuacho ni bora ukanyamaza kimya maana mihemko ni dalili ya mwanamke aliye katika joto(HEAT)

Waislamu wanadai mahakama za kadhi zitashughulikia kesi za mirathi, ndoa, migogoro (kugombea) watoto na kuna kitu wachangiaji flani wamekiita "wakfu"......sawa;

Lakini mimi ningependa kufahamu toka kwa ndugu zetu waislamu juu ya dai lao la "kadhi courts" kutambuliwa kikatiba, kwamba;

Katiba na sheria zilizopo katika maeneo wanayodai kuwa ndiyo mahakama hizi zita - deal nayo kwa maana ya mirathi, ndoa, watoto, wakfu nk hazitoi haki kwa waislamu hawa? Zinawabagua labda na kuwapendelea wa imani tofauti na uislamu? Kama siyo, what is the motive behind their demand?

Mimi binafsi sina tatizo na waislamu kabisa kudai haki zao za kikatiba, lakini hili lenye mtazamo wa kidini wala si haki bali ninaachokiona kutoka kwa baadhi ya waislamu ni vurugu tu na wamefanikiwa kui - confuse serikali ya CCM na imechanganyikiwa kisawasawa!!

Ngoja tusubiri tuone mwisho wao!!

1000 digits
waislam wanadai serikali tangu uhuru wameporwa haki zao.
tatizo waislam wanapoidai serikali haki hizo, wasio waislam tena wa vyama pinzani husimama dhidi yao! hili ni tatizo kubwa. hii huwafanya waislam kufikiri mara 2 mkipewa nchi mtawapimia waislam kipimo kile kile au chini ya hapo?

Wanasema ukitaka kuachana na lindo la shamba la mahindi inabidi umuue tumbili anayekufanya ukeshe ukilinda.Usipomuua utaendelea kulinda.

Dawa ya huu mpasuko unaolinyemelea taifa ni serikali kukubali mapendekezo ya waislam na kukutana na jopo la wanazuoni wa kiislam ili watoe mapendekezo yao kuhusu yanayotakiwa kuwekwa kwenye mahakama ya kadhi na namna ya kuyatekeleza. Totauti na hapo ni kujidanganya kuwa nchi inaamani huku watu wa kundi moja wakiendelea kulalamika kuwa kuna kundi linalotumika kuwahujuma .
 
Kwa hili la mahakama ya kadhi hapana.....Hata kama unudhaifu wa hizi mahakama zilizopo sio kwa waislamu tu pia hata kwa wakristo na wapagani huo udhaifu unawaathiri. Serikali yetu inategemea wahisani ku finance budget kwa zaidi ya 30%. Sasa unapokuja kuleta suala la gharama za mahakama kwa maana ya operations costs na wafadhili washasitisha kutoa fedha unategemea nini? Waislamu tulieni na kutoa mapovu....hili suala hatulitaki kama nchi....anzisheni kwenye dini yetu iwe sehemu ya uislam na sio iwekwe kwenye katiba ya nchi.
 
Mbona hospital za Makannisa madaktari wanalipwa mshahara na serkali waislam tumenyamaza kwani siyo kodi zetu pia?

ila siku ukienda hospitali ya kanisa huulizwi kama wewe muislam au mkristo...unatibiwa kwa gharama nafuu na unaondoka kama mtanzania mwengine....au kama vipi serikali iuwe mahakama zake ziundwe za kadhi kwaajili ya waislam tuu, za kanisa kwaajili ya wakristo tuu na za wapagani kwaajili ya wapagani tuu...na kila moja ijiendeshe kwa gharama zao.

hapo vipi?

arghhh...2015 i do care.
 
Kwa hili CCM inakosa kura yangu
 
Hapo penye wekundu, una uhakika na unachokisema? Msiwe mnapenda kuwaza na kusema msivovijua? hebu nenda Mtaa wa Bibi Titi pale karibu na shule ya Mnazi Mmoja , angalia kuna mitambo ya Tanesco imejengwa pale! uliza kile kiwanja kilikuwa cha nani? ukipata jibu njoo uhororoje hapa!
Dunia nzima inajua Waislamu Tanzania wamepewa Majengo Tanesco Morogoro..Usitake kupotosha watu kwamba mlibadilishana maana tungejua mapema maana kulopoka tu waislamu Hawajambo m..bwa nyie!!!
 
Najivua rasmi UCCM kama fedha za serikali zitatumika kuendesha mahakama za kadhi, this is purely personal.

Ndugu nakusalimu. Hakuna haja ya kujivua uccm wakati hii mbegu mliipandikiza siku za nyumba ili mpate kura. Hakuna jinsi inabidi mvune mlichopanda, kwani mlipokuwa mnamwaga sumu ya udini sijui mtaongozwaje na padri na upuuzi kama huo hamkujua impact yake mbeleni? Nadhani sasa waislamu hawataki chochote wanataka mahakama yao ya kadhi ndio kila kitu kiendelee vinginevyo itakuja kuwa mbaya huko tuendako.

Na hilo ni fundisho moja tu, mengine bado yanakuja. Kwa mfano huku kutumia polisi ni lazimi itawagharimu kwani kwa sasa jeshi la polisi limegeuka kuwa la wala rushwa na serekali ya ccm inalifumbia macho kwani wanajua watalitumia wakati wa kupata ushindi wa hila. Mjue kwamba wananchi wengi sasa hawana imani na jeshi hilo kutokana na kuegemea upande wa ccm hata kwa mambo yaliyodhahiri. Si rahisi tena kukuta jeshi la polisi likitoa amri ikatekelezwa kwani watu wanataswira mbaya ya kuhujumiwa na polisi.
 
proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Wewe ndio mwenye akili ndogo.itagharamiwa vp na wananchi wakati itawahusu waislam wenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Okay, nimekuelewa. Makafiri kama vile BOKO HARAM, ISLAMIC STATE, AL QAEDA, AL SHABAAB, pamoja na makafiri wenzao ndio wanaoziharibu hizo nchi kwa ROHO ZAO "NZURI!" Tumeona kweli SOMALIA iko "mbali" sana kimaendeleo baada ya AL SHABAAB ku-terorize na kuua watu wasiokuwa na hatia. Kukua kwa UISLAM hakumaanishi USAHIHI wake! Kidonda kinaweza kukua, lakini mwenye kidonda anaweza asikifurahie!

Hiyo Mahakama ya KADHI kuipata sio hoja, hoja ni uendeshaji wake! Ianzishwe na waislamu wenyewe na waiendeshe wenyewe kwa faida ya hao WAISLAMU, as simple as that! Au hata wale unaowaita "makafiri" wanaruhusiwa kuanzisha chombo cha makafiri wenyewe?

Umenena vizuri sana mkuu, hii point ndo izingatiwe kwa kweli
 
Hapo penye wekundu, una uhakika na unachokisema? Msiwe mnapenda kuwaza na kusema msivovijua? hebu nenda Mtaa wa Bibi Titi pale karibu na shule ya Mnazi Mmoja , angalia kuna mitambo ya Tanesco imejengwa pale! uliza kile kiwanja kilikuwa cha nani? ukipata jibu njoo uhororoje hapa!

Soma Land Act ya 1999, ardhi kwa muibu wa shule iko chini ya nani, na ni nani anaewza kubatilisha umiliki, fikri na tumia elimu yako kujua jinsi ww unavyomiliki hiyo ardhi ni mali yako au, kumbuka Public right of Land in maana gani then njoo na hii hija ya kijinga
 
Back
Top Bottom