Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Mwalimu,Mwinyi na Mkapa walikuwa na uwezo tu wakulivuruga hili taifa katika misingi ya kidini.Lakini walitumia muda wao mwingi kujenga utengamano wa kidini ndani ya jamii yetu.Leo anatokea mpumbavu fulani ambaye amevimbiwa madaraka,anatuletea mambo ya kipumbavu.Huu ni ushenzi mtupu.Mahakama ya kadhi ihudumiwe na kodi za wakristo na wapagani.Hili aliwezekani.Wachange funds zao wenyewe katika misikiti yao,hili kuziendesha hizo mahakama.Chondechonde kilwete.Historia itakuhukumu kwa hili.Mwalimu indeed aliona kitu kwako na lowassa.Mna element za kuingiza udini katika siasa.
 
mbona mkataba wa MOU unawapa fursa wakristo kupewa pesa kuchangia maendeleo yao kama AFYA ,ELIMU KUKOPESHANA kushamiri kwa makanisa hata kama sehemu hakuna wakiristo.pesa za MOU mnazopewa kodi mnalipa peke yenu?

Mou ni udhaifu wa serikali katika kutoa huduma kwa watu wake. Kuna wilaya nyingi tu hapa Tanzania ambapo hakuna hospitali ya wilaya ya serikali,bali kuna hospitali za kidini. Sasa serikali kuona kuwa haina hospitali ndiyo ikaingia mkataba na hospitali hizo ili baadhi ya huduma zitolewe bure kama vile kliniki ya watoto. Kama serikali ingejenga hospital wilaya zote haya ya Mou usingeyaskia. Kwa maana hiyo kanisa halikuilazimisha serikali kuingia mkata nalo. Ni serikali ndiyo imeenda kupanga kwenye vituo vya afya vya dini ili baadhi ya huduma kwa watu wake zitolrwe bure.
 
Cabinet iliyoongozwa na baba wa taifa katika kutafakari ni jinsi gani ya kuunda taifa la umoja ni ya kuheshimiwa sana hiki kipengele cha kinachosema "serikali haina dini " waliona mbali na nitazidi kumuheshimu maisha yangu yote

Google2014,
Nilikujibu kwenye uzi mwingine kuwa serikali ya Tanzania ina dini.

Nikaeleza kuwa haiwezekani Kanisa likawa na mawakala wake katika kila
idara ya serikali na likawa na udhibiti hata wa Bunge na Mahakama halafu
serikali hiyo ikawa haina dini.

Mawakala hawa wamehujumu juhdi nyingi za Waislam katika kujiletea
maendeleo.

Haya yote nimeeleza hapa JF kwa kirefu sana na kwa hakika nina paper
na kitabu kizima nimeandika kuhusu uwanja huu.
 
Hayo mawazo mfu ndiyo yanayowaangusha na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Poleni sana.
 
Mwalimu,Mwinyi na Mkapa walikuwa na uwezo tu wakulivuruga hili taifa katika misingi ya kidini.Lakini walitumia muda wao mwingi kujenga utengamano wa kidini ndani ya jamii yetu.Leo anatokea mpumbavu fulani ambaye amevimbiwa madaraka,anatuletea mambo ya kipumbavu.Huu ni ushenzi mtupu.Mahakama ya kadhi ihudumiwe na kodi za wakristo na wapagani.Hili aliwezekani.Wachange funds zao wenyewe katika misikiti yao,hili kuziendesha hizo mahakama.Chondechonde kilwete.Historia itakuhukumu kwa hili.Mwalimu indeed aliona kitu kwako na lowassa.Mna element za kuingiza udini katika siasa.

Van Persie,
Usimlete Nyerere katika historia ya udini wa Tanzania.
Utafungua Pandora's box.

Nakushauri usome historia ya uhuru wa Tanganyika utajiweka katika uelewa
mzuri wa kujadili mada kama hizi.
 
Google2014,
Nilikujibu kwenye uzi mwingine kuwa serikali ya Tanzania ina dini.

Nikaeleza kuwa haiwezekani Kanisa likawa na mawakala wake katika kila
idara ya serikali na likawa na udhibiti hata wa Bunge na Mahakama halafu
serikali hiyo ikawa haina dini.

Mawakala hawa wamehujumu juhdi nyingi za Waislam katika kujiletea
maendeleo.

Haya yote nimeeleza hapa JF kwa kirefu sana na kwa hakika nina paper
na kitabu kizima nimeandika kuhusu uwanja huu.

Mmeongoza nchi mara 2 mmeshindwa nini kuuondoa huo udini.
 
Hayo mawazo mfu ndiyo yanayowaangusha na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Poleni sana.

Kingcobra,
Napokea pole yako.

Usipuuze haya ninayokwambia.

Watu werevu na mabingwa katika haya hivi sasa wanafanya tafiti katika
haya ambayo mimi nimeandika kiasi miaka 30 iliyopita na wakati huo mimi
nilikuwa kijana.

Unaposikia mfumokristo nk. nk. na maneno kuwa kuna majina ya waliopata
kuwa viongozi wapenzi yakitajwa Waislam wanalani si mzaha ni kweli.

Mimi sina sababu ya kuleta porojo hapa naandika kutoka ndani ya nafsi yangu.

Nchi yetu imekumbwa na tatizo kubwa la udini na hili kama hatukuwa makini
litatuangamiza.

Kingcobra,
Nisome ikiwa kweli una nia ya kujua ukweli na wala usinichukulie kimzaha.
Ninayajua haya mambo kwa undani kabisa.
 
proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Msituletee propaganda za kidini nyie watu... Kodi zenyewe nyie mnaoongea sana hamlipi kazi kukaa vibarazani, then leo watu wanaolipa kodi wahudumie vitu ambavyo havina mantiki wala maana kwenye maisha yao. Waislamu wanaolipa kodi nene na wenye upeo wa juu hawako bize kubishania sijui kadhi na ujinga mwingine wa kidini humu nchini..

Mmefanya fitna na kuanza kupanga kikosi kazi ambacho kinafanya mpango maalumu wa kuingiza hoja za ajabu ajabu.. Mungu awaone na kuwawezesha kuwa na hekima muachane na mipango ya ajabu ya kutaka kuichafua hii nchi...
 
Umenena Ukweli Mtupu wale Waisilamu wenye pesa zao na wasomi hawana Mda wa kujadili Udini wala Mahakama ya Kadhi , na kama wangeitaka wangeipangia bajeti huko huko misikitini wasingetaka Pesa za Pombe na kitimoto zitumike kuwalipa mishahara, Huu Udini unaoanza kuenea tusipoukemea mapema utatugharimu huko mbeleni.
 
Mmeongoza nchi mara 2 mmeshindwa nini kuuondoa huo udini.

Molembe,
Sijui kwa nini unasema "tumeongoza mara mbili..."

Ukiweka mawazo kama hayo ya Uislam na Ukristo katika matatizo ya nchi
yetu hulisaidii taifa bali unapanda mbegu za kuliangamiza.

Tatizo hili la udini linashindwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu waliokuwa
madarakani linawatisha sana.

Hakuna kiongozi ambae yuko tayari kuliweka katika agenda likazungumzwa.
Lakini viongozi hawa hawa ndani ya nafsi zao wanajua kuwa lipo tatizo.

Benjamin Mkapa alipopokea malalamiko ya Waislam kuhusu kubaguliwa yeye
aliomba ushahidi.

Hapo ndipo alipopelekewa ushahidi na Prof. Mustafa Hamza Njozi kupitia
kitabu, "Mwembechai Killings..."

Serikali ilikipiga marufuku.
Mkapa alitishika na aliyoyasoma katika kitabu kile.

Ningeweza kuandika mengi lakini na tuishie hapa.
 
Makafiri Kuzuia mahakama ya kadhi ni sawa na kuzuia upepo kwa mikono

Makafiri ni Al Qaeda, Al Shabaab, Boko Haram, Islamic State, Hamas, Islamic Jihad, nk! Au hao ni "waja wa Allah" pamoja na ujambazi wanaofanya?
 
Umenena Ukweli Mtupu wale Waisilamu wenye pesa zao na wasomi hawana Mda wa kujadili Udini wala Mahakama ya Kadhi , na kama wangeitaka wangeipangia bajeti huko huko misikitini wasingetaka Pesa za Pombe na kitimoto zitumike kuwalipa mishahara, Huu Udini unaoanza kuenea tusipoukemea mapema utatugharimu huko mbeleni.

Yaani I wish hawa watu wangetumia akili kidogo tu na kutambua kuwa nchi hii ina majanga mengi achilia mbali hizo propaganda zao za kidini. Eti wanaonewa na kubaguliwa au kunyimwa nafasi, then ukiangalia Raisi muislamu, makamu muislamu, mwanasheria mkuu muislamu, CAG muislamu, mawaziri waislamu wako wa kutosha, ukiingia agencies za serikali kama NSSF na PSPF waislamu kibao, then leo mtu anakalia upuuzi wa kubaguliwa na kutaka kadhi na vipaumbele vya kidini viwe vipaumbele vya nchi masikini kama Tanzania.

Hapa mahospitalini hakuna dawa, mashuleni hakuna vitabu, waalimu hawana madawati; yaani wangepiga kelele elimu iendelezwe ili nao wasome na kupata positions zaidi ningewaona wana hekima sana.. Sio kukalia mahakama ya kadhi...

Tusianze kuhesabiana kuwa wewe una kile yule ana kile mimi sina kile, tukianza hivyo tutawaletea data mkimbie humu ndani.. Tuungane kama watanzania na kuikwamua hii nchi kwenye matatizo lukuki tuliyonayo na sio kukalia agenda za kidini... If they can understand this simple logic itakuwa vema sana kwa nchi hii..
 
Mahakama ya Kadhi haiwezi kutugawa kama tunatumia akili na Busara na sio bendera Fuata upepo. Zanzibar ipo mbona haijawagawa na wakristo wapo. Serikali iwarudishie mahakama yao haina madhara tena umoja wetu utaimarika na ndugu zetu waislam. Jamani kumbukeni kwa Muislam mahakama ya kadhi ni moja ya nguzo ya imani, wakristo hatuna mahakama ya kikristo hatufungwi kiimani.

Zanzibar waislam ni 99% huko sawa lakini bara ni tofauti.
 
Utangulizi:

Kwa muda mrefu sasa, “wenzetu katika imani” wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs).

Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu ‘Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichuka’ ili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.

Siri ya Mahakama ya Kadhi:

1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco – Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Tanzania.

2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea ‘Elimu Ahera’), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa ‘wenzetu katika imani’ wataajiriwa.

3. Kwamba utafika wakati ambapo ‘wenzetu katika imani’ wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni “Mahakama za Makafri”) au kwenye Mahakama za Kadhi.

4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya ‘TANZANIA ISIYO NA DINI’.

5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) – kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

HITIMISHO:

1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa ‘MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI’, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa ‘Ushauri wangu haukueleweka vizuri’.

Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakishaanza Tanzania.

2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.

3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.

Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi.

Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.

Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la “Sharia za Kiislamu kwenye Katiba” litamuangukia rais wa Awamu ipi.

Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake.

Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.

Kama Mkristo Mkatoliki mwenye uelewa wa kutosha sina tatizo na kile wenzetu wanakitaka hata kama naelewa ni kinyume na katiba! Acha tukinywe hiki kikombe kwasababu tumezidisha ujinga na kutojali na kuachia watu wajinga mstakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu!
 
Nchi zote za kiislam ni vurugu tu hakuna Amani, na mahakamani za kadhi zipo, angalia sudani, Somalia, Afghanistan etc, hiyo za mahakamani za kadhi zimeshindwa kusuluhishwa matatizo huko sembuse hapa BOngo, waislamu ndg zangu, concentrate Kwenye mambo ya kiuchumi, mate cha kuwasaidia wengine acheni vurugu, manat aka mahakama coz hamuaminiani, na hampendani wenyewe kwa wenyewe, turitarajia nchi zenye waislamu zingekuwa mfano lakini ndio hazitawaliki.
 
Kwa kifupi na ukweli waislamu mmezidi kudeka na kutaka kufanyiwa favor, mnadeka kama nyau? Inabidi ifike mahali mkae mjiulize; why always YOU? Kila kona duniani! Mnatia aibu sana jamani, kaeni lakini mlifikirie na hilo!
 
Hahahaha kazeni buti....roll up your sleeves fanyeni kazi....hongera kwa mleta mada well said
 
Mbona umeandika kama vile ulikua na MHEMKO..!! Punguzeni mihemko kwenye vitu vilivyoletwa na meli..!! Wachina na Wahindi waliyakataa haya mapema ndo maana kila siku wanaendelea, nyie mmebaki tu kubishania upuuzi..!!
 
Back
Top Bottom