Dj mat
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 747
- 476
Ikiwa kitu akimuhusu mkiristu basi Muislaam hana haki ya kufanya. !?
Afanye kwa utashi wake na kwa gharama zake mwenyewe na sio kutaka kubebwa!
Ikiwa kitu akimuhusu mkiristu basi Muislaam hana haki ya kufanya. !?
proisra
Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.
yaani [size=+2]sijawahi kuona watu wanafki kama waislam, wanaitaka sharia kishabiki tu ila kiuhalisia hawawezi kuishi maisha chini ya sharia,[/size] kila siku tunabanana nao kwenye vijiwe vya kitimoto na pombe lakini wakija hapa ndio wako mstari wa mbele kushabikia mahakama. Ahahahahaaa duuuh
Hospital zinaendeshwa kibiashara Seliani Hospital Arusha, kitanda ni Tsh 80,000 bila chakula! gharama za operation ni bora kwenda India!
Mahakama ya Kadhi haiwezi kutugawa kama tunatumia akili na Busara na sio bendera Fuata upepo. Zanzibar ipo mbona haijawagawa na wakristo wapo. Serikali iwarudishie mahakama yao haina madhara tena umoja wetu utaimarika na ndugu zetu waislam. Jamani kumbukeni kwa Muislam mahakama ya kadhi ni moja ya nguzo ya imani, wakristo hatuna mahakama ya kikristo hatufungwi kiimani.
Munachonifurahisha ndugu zangu wa upande wa pili ni waoga sana, sikilizeni niwaambieni ndugu zangu.
1. Hii Mahakama ya kadhi haitawahukumu nyinyi musiokuwa waislam na pia haita deal na criminal cases kama munavyozusha baadhi yenu eti watu watakatwa mikono.etc.
2. Kesi zinazohusu maswala ya mirathi, talaka na ndoa, umiliki wa watoto, na wakf, ndizo pekee zitakazosikilizwa katika mahakama ya kadhi.
3. Kesi hizo hizo za mirathi, ndoa na talaka, umiliki wa watoto na wakf hivi sasa zinasikilizwa na mahakimu na majaji ambao bila shaka wengi wao hawana ujuzi nao wa kutosha, hivyo basi ili kuwarahisishia na kinachoitwa mlundiko wa kesi mahakamani serikali ibadilishe tu mahakimu na kuwachagua makadhi ambao watakuwa specific na utaalamu wa kesi hizo, hivyo swala gharama halipo sababu kesi hizo pia sasa hivi zinasikilizwa.
Napenda kuwaambia ndugu zangu wa upande wa pili sisi hatuna nia mbaya yoyote na wala musiogope, Mahakama ya kadhi ni kitengo tofauti cha mahakama kama ilivyo Mahakama ya ardhi, mahakama ya kazi, na mahakama ya biashara, je hizo nazo zinasababisha gharama kwa serikali?
Naamini tutakuwa pamoja katika hili..thanks.
Mleta uzi uko sahihi kimantiki! Labda tu nijuzwe wale wahitimu wa pale Morogoro ajira zao kwa sasa wanazipata wapi?
Mkuu kuna kitu kinaitwa TAQUIYA kwenye uislam unakifahamu? Binafsi nahisi kuna kitu kama hicho hapo kwenye post yako.Samahani lakini....
Sikifahamu naomba unifahamishe.
Kwa maneno rahisi TAQUIYA ni UONGO MTAKATIFU ( sacred lie) ni moja ya mbinu za watu wa imani fulani (na nasikia inaruhusiwa kwenye dini yao sijui kama ni kweli) kuwahadaa wengine na kuwaingiza mtegoni ili kufikia malengo yao ya kidini. Umeelewa eeh?
Kweli kabisa hujakosea walitumia sana wamissionary ili kutimiza malengo yao.
Kweli kabisa hujakosea walitumia sana wamissionary ili kutimiza malengo yao.