Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Khaa!! Lazima mpagawe na mchinjane kwa ujinga wenu wa kitumwa. Kama tungeendelea kuabudi miungu yetu tungekuwa mbali sana na upuuzi huu usingekuwepo na pia wapenda vya bure wangekuwa wachache sana.
 
Nshaanza kuhisi harufu ya damu! Kwa dalili hizi, lazima dam imwagike. Visu, panga, shoka, nyundo na some vtapanda bei.
 
Nshaanza kuhisi harufu ya damu! Kwa dalili hizi, lazima dam imwagike. Visu, panga, shoka, nyundo na sime vtapanda bei.
 
Wakipewa watadai pia hao kadhi walipwe kama mahakimu na majaji ...........!!
 
Mauaji yanatoke pale unapodharau kuwa hoja za wenzio unapoziita makelele ,ata kama kwao ni hoja za kipumbvu.
Kwamba kina fulani hamjielewi wakati uo uo hujue lugha uliyotumia kwa je inafaa kuelimisha kuwa muislamu sio kwamba unajua sana mambo ya kiislamu na kuwa mkiristo sio kwamba unajua mambo ya kikiristo. Kwa iyo unapotoa uzi muhimu lazima uwe na vigezo kwa unaweza kuelimisha alikuwa muislamu na aliye kuwa mkiristo
Husidharau hoja ya mwenzio ata kama itakuwa ya kipuuzi
 
Ehee yesu kristo taifa ili lako linafanywa kuwa taifa lenye mikakati ya islamic state
 
Utangulizi:

Kwa muda mrefu sasa, “wenzetu katika imani” wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs).

Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu ‘Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichuka’ ili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.

Siri ya Mahakama ya Kadhi:

1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco – Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Tanzania.

2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea ‘Elimu Ahera’), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa ‘wenzetu katika imani’ wataajiriwa.

3. Kwamba utafika wakati ambapo ‘wenzetu katika imani’ wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni “Mahakama za Makafri”) au kwenye Mahakama za Kadhi.

4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya ‘TANZANIA ISIYO NA DINI’.

5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) – kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

HITIMISHO:

1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa ‘MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI’, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa ‘Ushauri wangu haukueleweka vizuri’.

Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakishaanza Tanzania.

2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.

3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.

Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi.

Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.

Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la “Sharia za Kiislamu kwenye Katiba” litamuangukia rais wa Awamu ipi.

Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake.

Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.

bogus va faire te fautre
 
Maelezo marefu ila UJINGA tuu ulioandika!
Serikali haina dini vp mbona wasile kiapo kimya kimya wakiteuliwa kwenye nyadhifa mpya? Hujui hata kuwa UPAGANI nao ni Dini?

Serikali inaongoza nchi na serekali inatumia katiba kuongoza nchi. Unapoambiwa serikali haina dini inamaanisha KATIBA inayotumiwa na serikali kuongoza nchi haina dini. ila haimaanishi wananchi wake hawana dini swala lakupishwa halibadilishi maana kuwa serikali haina dini.

SERIKALI ingekuwa na DINI wote wangeapishwa na mfumo mmoja wa Dini fulani.
 
Ulichokiandika sio tu hukifaham, bali ukielewi kabisa. Huna tofauti na mpiga ramri ambaye siku zote haeshimiki.
 
ndo kete ya mh pinda hiyo uchaguzi mkuu 2015. ngoja tusubiri upofu au busara za bunge letu.
 
Ukisoma ktk dini mahakama ya kadhi ni ibada kamili kiislam, hivyo si vyema dini mo1 kudominate imani ya inchi.
Ukiwa msomaji mzuri wa biblia utamuana mtu m1 alifanya kazi kubwa sana yakuestablishi kanisa anaitwa Mtume Paulo, yeye kati nyaraka zake ktk wakorintho wa ii anasema waziwazi kuhusu maakama za kanisa (wakristo).
Hivyo kuanzishwa kwa maakama ya kislam tz lazima wagalatia nao watadai maakama yao nahuo ni mwanzo wa kupoteza umoja wetu kama taifa. Mm nafikiri kilamtu anajua kuwa nchi hii ni ya wakiristo na waislam hivyo hizo maakama zifanyike kama katiba ilivyo ruhusu kilamtu anahaki ya kuabudu.
wagalatia wakiitilafiana waende kwa padri au mchungaji wamalizane huka na waislam pia waende al masjid kwa masheh wamalizane huko, na ikishindikana basi warudi serikalini na watamkuta pilato wa kitaifa atawaamua tu.
 
Utangulizi:

Kwa muda mrefu sasa, “wenzetu katika imani” wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs).

Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu ‘Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichuka’ ili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.

Siri ya Mahakama ya Kadhi:

1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco – Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Tanzania.

2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea ‘Elimu Ahera’), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa ‘wenzetu katika imani’ wataajiriwa.

3. Kwamba utafika wakati ambapo ‘wenzetu katika imani’ wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni “Mahakama za Makafri”) au kwenye Mahakama za Kadhi.

4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya ‘TANZANIA ISIYO NA DINI’.

5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) – kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

HITIMISHO:

1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa ‘MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI’, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa ‘Ushauri wangu haukueleweka vizuri’.

Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakishaanza Tanzania.

2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.

3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.

Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi.

Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.

Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la “Sharia za Kiislamu kwenye Katiba” litamuangukia rais wa Awamu ipi.

Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake.

Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.
Ushauri wangu kwa wabunge wa vyama va upinzani, msipige kelele sana juu ya mahakama ya khadhi maana CCM wamewawekeeni mtego ili mjichonganishe na jamii ya kundi moja halafu iwe ndo mtaji wao kwa mwaka huu 2015. Afadhali mtoke nje au msilijadili maana CCM wamepaona na kama wakipitisha watapata kura za upande mmoja na wasipopitisha watapata kura za upande sijui upi wanajua wao...ninyi kaeni kimyaaaaa kama maji mtungini tuone itakuwaje.
 
CCM imetuweka Rehani. Naona Tanzania ikiingia kwenye machafuko.
Saikolojia ndogo tuisome humu watu wanavyojibizana. Tutafyekana mapang balaaaaaaaa. Naomba Huu ----- usijadiliwe bungeni utatuunguza na kututeketeza.
 
Pumba.. Pumba ....pumba..... Umendika pumba...tupu!
Unavyodhani wewe kuitwa chuo cha waislamu ndio wanaosoma pale wote ni waislamu?
Huna hata haya.....fanya utafiti kidogo ndio uandike
eti umwagaji damu, kwa taarifa yako nyie ndio mtaanza kumwaga damu, usidanganye watu hapa!
Tafuta kitu kingine waacheni waislamu na mambo yao, kama nao walivyowaachia mambo yenu ya escrow...!
Kwani nanyi mmezuiwa kuanzisha mahakama zenu? Acha wivu...........!
 
Back
Top Bottom