Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.[/QUOTE]
Hata isianzihwe kabisa maana hawa watu Mbongo zao wamewekza kwenye elimu ahera tuu.....TANZANIA NI NCHI ISIYO NA DINI
 
Kwa kifupi na ukweli waislamu mmezidi kudeka na kutaka kufanyiwa favor, mnadeka kama nyau? Inabidi ifike mahali mkae mjiulize; why always YOU? Kila kona duniani! Mnatia aibu sana jamani, kaeni lakini mlifikirie na hilo!

Hata lukuvi kule kanisani alisema ana hofu kuiacha zanzibar kwenye muungano eti kwa sababu ni waislamu,huyo ni waziri wa serekali,makafiri wengi wana hofu sana na uislam na ndio maana mfumo kristo unatawala zanzibar kupitia muungano.
 
Kwani hao si Watanzania???kwani hawalipi Kodi?? Kwani kila kitu tunacholipia Kodi lazima tufaidi sote?? Kwani ni lazima sote tufuate sheria za mahakama hiyo?? Je kuna Nchi ambazo zina mahakama za aina hiyo??je kuna matatizo yemejitokeza??je kuna utafiti umefanyika Juu ya suala hili????

Ha ha ha naona umekuja na nitoke vipi
Hakuna mahakama ya kadhi Tz ikitokea najirusha ghorofani
 
mbona mkataba wa MOU unawapa fursa wakristo kupewa pesa kuchangia maendeleo yao kama AFYA ,ELIMU KUKOPESHANA kushamiri kwa makanisa hata kama sehemu hakuna wakiristo.pesa za MOU mnazopewa kodi mnalipa peke yenu?

Waambie hao na huo ujumbe wao wa propaganda, mnapata 10% MOU je sio Pesa za walipa kodi wengine
 
Kama Mkristo Mkatoliki mwenye uelewa wa kutosha sina tatizo na kile wenzetu wanakitaka hata kama naelewa ni kinyume na katiba! Acha tukinywe hiki kikombe kwasababu tumezidisha ujinga na kutojali na kuachia watu wajinga mstakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu!

Jamii inapo zidisha ujinga na kukosa hekima na busara huwa inaletewa misiba kama hii. Wengine mmechangia kwa kuiba kura na kuwashashi ndugu na marafiki kuchagua watu wajinga wakawaongeze. Tulieni sasa mkinywe kikombe! Baadhi ya Wakristo wenzangu kila siku ni tambo za usomi,ingekuwa kweli tuna wasomi tungekuwa ktk mazingira haya? Baada ya kizazi cha akina Nyerere,Cardinal Rugambwa,Bishop Kibira,nk tumebakia kuongozwa na makanjanja!
 
Hata lukuvi kule kanisani alisema ana hofu kuiacha zanzibar kwenye muungano eti kwa sababu ni waislamu,huyo ni waziri wa serekali,makafiri wengi wana hofu sana na uislam na ndio maana mfumo kristo unatawala zanzibar kupitia muungano.

Nani kafiri ? Kafiri ni ww na wazazi wako Hakuna mwenye hofu na Uisilam na Hakuna mfumo kristo Tanganyika wala kwenye Muungano , Wewe utakuwa mwisilamu kanzu,pilau na jina Masikitini hupajui,, Udini wenu wa kuitaka serikali iwalipie mishahara kwenye Mahakama yenu Binafsi nani atakubali ? Pesa za Hazina ni pesa za Wananchi wenye imani mbali mbali hawawezi kukubali pesa zao kuihudumia Dini moja pekee Wakati madhehebu mengine hayana Mahakama zao.
 
Ivi kwani watanzania wote wafanyabiashara? Mbona zpo mahakama za usuruishi wa biashara, zpo za ardhi. Ila hii ya kadhi ndo inakua issue sana!!!

Hizo ni division, hivi ninyi jamaa hata shule amewaipita mbali
 
Huna chochote ila chuki binafsi.Unajaribu kutaka kupotosha umma kwa kutumia mdomo wako.Tutajie hayo matatizo yaliyopo katika nchi zenye Mahakama ya Kadhi, usitafute umaarufu kwa kutumia dini,kuna siku utajuta!!!

Kwa hyo ww hata vita za boko haram na vijana(alshabab) huoni?
 
Serikali haina hata huo upagani

Rais, makamu wake, mkuu wa Usalama , Jaji mkuu, katibu Mkuu wa ccm, Asst IGP na wengineo kibao wote ni waislamu , Hakuna wa kuhoji juu ya hilo maana Watanzania wanaamini Tz huwa Serikali haina Dini watu wao huru kuabudu kokote pasipo kuvunja Sheria , Serikali haina Dini .
 
Tatizo la hawa Makafir hata tukisema tulipe kwa kodi zetu lazima waikatae tu Mahakama ya kadhi.
 
Duuuhh JF tuwe 2napima akili za members kabla ya usajili cz mleta maada amekurupuka+chuki ya udini+kichwa maji
 
Nani kafiri ? Kafiri ni ww na wazazi wako Hakuna mwenye hofu na Uisilam na Hakuna mfumo kristo Tanganyika wala kwenye Muungano , Wewe utakuwa mwisilamu kanzu,pilau na jina Masikitini hupajui,, Udini wenu wa kuitaka serikali iwalipie mishahara kwenye Mahakama yenu Binafsi nani atakubali ? Pesa za Hazina ni pesa za Wananchi wenye imani mbali mbali hawawezi kukubali pesa zao kuihudumia Dini moja pekee Wakati madhehebu mengine hayana Mahakama zao.

Muislam haogopi kudai haki yake popote maana hakubali kudhulumiwa,sasa kama hayo madhehebu yapo kimya ulitaka waislam wawasemee?mahakama ya kadhi ni kwa waislam sio kwa makafiri.
 
Rais, makamu wake, mkuu wa Usalama , Jaji mkuu, katibu Mkuu wa ccm, Asst IGP na wengineo kibao wote ni waislamu , Hakuna wa kuhoji juu ya hilo maana Watanzania wanaamini Tz huwa Serikali haina Dini watu wao huru kuabudu kokote pasipo kuvunja Sheria , Serikali haina Dini .

Uislam sio jina la mtu,unajua maana ya mfumo kristo?hujiulizi kwa nini nyerere alipanik alipoona zanzibar imeingia OIC?hujiulizi kwa nini makafiri wapo kimya juu ya MOU?mlitumia nguvu nyingi kuzuia na kuviza nguvu za waislam ila kwa sasa hamtoweza tena hata mtumie vifaru,kilichobaki mfumo kristo lazima udondoke.
 
Kwa kifupi na ukweli waislamu mmezidi kudeka na kutaka kufanyiwa favor, mnadeka kama nyau? Inabidi ifike mahali mkae mjiulize; why always YOU? Kila kona duniani! Mnatia aibu sana jamani, kaeni lakini mlifikirie na hilo!

Nakumbuka g bush aliwaambia ni uncivilized religion,aisee walikuja juu hao
 
Hakuna madhara ya kuanzisha mahakama ya kadhi..hii ni hofu ya wakristo ambayo hata hivyo hizi kadhi haziwahusu.ni chuki tu
 
Uislam sio jina la mtu,unajua maana ya mfumo kristo?hujiulizi kwa nini nyerere alipanik alipoona zanzibar imeingia OIC?hujiulizi kwa nini makafiri wapo kimya juu ya MOU?mlitumia nguvu nyingi kuzuia na kuviza nguvu za waislam ila kwa sasa hamtoweza tena hata mtumie vifaru,kilichobaki mfumo kristo lazima udondoke.

Hakuna kitu mtaishia apa apa hamuendi popote makafiri nyie...
 
Hii ni Nchi ya kudai Dai , wakiruhusu Mahakama ya kadhi ujue kila Mtanzania atadai Mahakama ya Kabla lake, Dini yake mpaka Mahakama ya Ukoo.
Funza ndio gharama za demokrasia hizo. Kama wabunge wasipoliona hilo watakuwa wamefungua boksi la pandora. Na wengine wote watakuwa na haki ya kudai na kupewa mahakama zao na kutambuliwa kwa mila na desturi zao kama itakavyokuwa kwa hizi za waarabu na wazungu.
 
Back
Top Bottom