NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
Lakini ukiwafuatilia kwa karibu hawa jamaa utangundua kuwa most of them if not all wana elements za uwehu.
WHY;BAKWATA imewagawa kisa eti chombo cha kidini kitaasisiwaje na serikali?
Wengine wanahoji kwa nini serikali ikaunda chombo cha kuwa-monitor waislamu tu na si dini zingine kama sio kuwakandamiza waislamu ni nini?
Halafu hao hao wanaitaka serikali hiyohiyo ijihusishe na kadhi ambayo ni mambo yaleyale.
Acheni unafiki.