Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

Hapa kuna masuala kadhaa ya kuangalia:
1. Gharama - waislamu wagharamie wenyewe kesi na mahakama zao
2. Appeals - Wafungue pia Court of appeals ili rufaa isikilizwe na mahakama za kiislamu.
3. Execution - Waislamu wawe na jeshi lao la polisi kwa ajili ya kutekeleza amri za mahakama ya kiislamu.
4. Kusiwe na uwezekano wa kuirudisha kesi kwenye mahakama ya makafiri
5. Tafsiri za sheria - tafsiri za sheria zinapohitajika zitolewe Maka- Saudia au Magomeni kwa Sheikh Ponda
6. Utekelezaji wa sheria usihojiwe na mtu au kundi lolote ambalo halipendezwi na hukumu za mahakama.
7. Bakwata wasisikilizwe na kundi lolote la kiislamu sababu ya historia yao ya kutokutakia mema waislamu.
 
katika nchi hii kati ya matajiri 10 wa juu
9 na hakika ni waislam.lakin michango yao kwenye elimu ni hafifu mnoo
kutoa zaka bado waislam wanatoa mia mia
ubinafsi umewazidi vyuo vile vya makanisa waislam wana misikiti yao wamejengewa.thubutu uone kanisa ndani ya chuo cha uislam
bora gym ya karate
hata saudi arabia huruhusiwi kujenga kanisa ila kokote ulaya na marekan miskiti inajengwa
 
Tanzania haina dini watu wake wana dini....hiyo mahakama ya kadhi waanzishe waislam ndani ya jumuiya zao.
 
Hivi nyinyi wagalatia nani ka wadanganya kua yake majengo ya muslim univasity mkapa kayatoa bure

Amini nawaambia ukweli wa jambo hili ni serikali ya irani na serikali hii ndio wanatambuaa

Mkiaambia hayo majengo ililipa madeni

Acha ndoto za mchana weweee! Una hakika sio serikali ya Libya ilitoa pesa??
 
mbona mkataba wa MOU unawapa fursa wakristo kupewa pesa kuchangia maendeleo yao kama AFYA ,ELIMU KUKOPESHANA kushamiri kwa makanisa hata kama sehemu hakuna wakiristo.pesa za MOU mnazopewa kodi mnalipa peke yenu?

hizo shule waislam hawasomi?
hivo vyuo waislam.hawaspmi?
hizo hospitali hazitibu waislami?
je mahakama ha kadhi itahudumia na wakristu?
 
Huku kwetu sijawahi kuona gari la msikiti fulani.

Kuna tatizo gani na dini hii. Nafikiri tatizo kwao ni vipaumbele.
 
Naomba nimwambie kikwete. "Ulianzisha udini katika kampeni zako za uraisi watu wakaapuuza na kidogo hiyo hali ilishaanza kupotea mioyoni mwa watu. Sasa unaondoka ukiwa unatuachia mpasuko mkubwa wa udini kwa kuruhusu mijadala ya kihuni ya udini nchini mwetu. Leo hii suala la kadhi lipite ama lisipite bungeni litaleta mpasuko ambao haukuwahi kutokea nchini mwetu. Eeeh mwenyezi Mungu tuepushie mbali na hii dhamb ya kubaguana inayotunyelemea ikiwa inashupaliwa na viongozi tuliowapa dhamana" ni hayo tu.
 
Siku nyingine muwapime wagombea urais kama wanaweza heshimu katiba.
 
Nakumbuka enzi za mwalimu alishawahi kutuhasa mambo ya udini,alisema kama maimamu/maaskofu wanataka kwenye sensa tuweke swali la dini ya mtu ili kujua idadi ya waislamu au wakristu basi wafanye huko kwao lakini serikali haipo interested kujua ina idadi ya waislam/wakristo wangapi,na hivyo hivyo i-apply katika swala la kadhi wakaanzishe hizo mahakama kwenye misikiti na mabalaza yao na wajigharamikie wao wenyewe.
 
mahakama ya kadhi ndo nini huo utumbo?hatutaki huo uchafu katika taifa lisilo na dini.
 
Makafiri Kuzuia mahakama ya kadhi ni sawa na kuzuia upepo kwa mikono
 
Nakumbuka enzi za mwalimu alishawahi kutuhasa mambo ya udini,alisema kama maimamu/maaskofu wanataka kwenye sensa tuweke swali la dini ya mtu ili kujua idadi ya waislamu au wakristu basi wafanye huko kwao lakini serikali haipo interested kujua ina idadi ya waislam/wakristo wangapi,na hivyo hivyo i-apply katika swala la kadhi wakaanzishe hizo mahakama kwenye misikiti na mabalaza yao na wajigharamikie wao wenyewe.

eti wakagomea sensa?These guys are unreasonable,serikali inapanga mikakati kulingana na idadi ya watu kwa ujumla,sasa wenyewe wakataka wasaidiwe kufanyiwa sensa ya watu wao,nonsense!Mtu akija na mambo ya kijinga mara ya kwanza,hata wakati mwingine akionesha sura tu unajua tayari majanga!hata mood ya kumsikiliza inapotea kabisa.
 
Makafiri Kuzuia mahakama ya kadhi ni sawa na kuzuia upepo kwa mikono

Kuzuia pesa za kitimoto na Pombe kuijadili Mahakama ya kadhi ni sawa na kuzuia Upepo na mikono , Pesa za kuwalipa hamna Ngoja waje kula Rushwa za pesa za Pombe na kitimoto kisha muone Hiyo Mahakama itafanya kazi .
 
proisra

Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.

Kwann atozwe kodi mpagani alaf hela yake ikamhudumie muislam?...maana ukisema mahakama ya kadhii inahudumia wananchi unakosea,sema inahudumia wananchi wa kiislam....sada hapo huoni kama mpagani ananyonywa???
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka enzi za mwalimu alishawahi kutuhasa mambo ya udini,alisema kama maimamu/maaskofu wanataka kwenye sensa tuweke swali la dini ya mtu ili kujua idadi ya waislamu au wakristu basi wafanye huko kwao lakini serikali haipo interested kujua ina idadi ya waislam/wakristo wangapi,na hivyo hivyo i-apply katika swala la kadhi wakaanzishe hizo mahakama kwenye misikiti na mabalaza yao na wajigharamikie wao wenyewe.

Kingo KongIII,
Katika matatizo ya udini wala usimtaje Nyerere...
Utalifungua sanduku la Pandora.

Mambo haya si mepesi kama unavyodhani.
 
Huku kwetu sijawahi kuona gari la msikiti fulani.

Kuna tatizo gani na dini hii. Nafikiri tatizo kwao ni vipaumbele.

Tatizo wao Kwa wao hawapendani , hawana Ujanja wa kununua Gari la shehe wala viongozi wao , wanachojua ni uchochezi na Fitna za hapa na pale na kuwabagua wafuasi wa madhehebu mengine.
 
Naomba nimwambie kikwete. "Ulianzisha udini katika kampeni zako za uraisi watu wakaapuuza na kidogo hiyo hali ilishaanza kupotea mioyoni mwa watu. Sasa unaondoka ukiwa unatuachia mpasuko mkubwa wa udini kwa kuruhusu mijadala ya kihuni ya udini nchini mwetu. Leo hii suala la kadhi lipite ama lisipite bungeni litaleta mpasuko ambao haukuwahi kutokea nchini mwetu. Eeeh mwenyezi Mungu tuepushie mbali na hii dhamb ya kubaguana inayotunyelemea ikiwa inashupaliwa na viongozi tuliowapa dhamana" ni hayo tu.

Bakeza,
Suala la udini lina historia ndefu.

Kuna historia ya udini yaani vita dhidi ya Uislam wakati wa ukoloni.
Kuna historia ya udini baada ya uhuru kuanzia mwaka 1961.

Na ikiwa utapenda kuna historia ya kusisimua sana ya tatizo la udini katika
TANU wakati wa kudai uhuru.

Huwezi kuyajua na ukachangia vizuri tatizo hili ikiwa huijui historia hii.
 
hizo shule waislam hawasomi?
hivo vyuo waislam.hawaspmi?
hizo hospitali hazitibu waislami?
je mahakama ha kadhi itahudumia na wakristu?

Ilan Ramon,
Itapendeza sana kama huduma hizo zikitolewa na serikali kuliko kutoa fedha
katika hazina ya umma kwenda katika makanisa kwa kisingizio kuwa wana
shule na hospitali.

Nakumbuka nimewahi kukupa jibu la hoja hii mahali pengine.
Sijui kwa nini umeirudia tena huku.
 
Nyie waislamu mlaumu aliyewadanganya muoe wake wanne. Ona sasa matatizo ya ndoa lukuki na kutuzalishia watoto wengi wa mitaani. Dini yenu imelaaniwa
 
Back
Top Bottom