Baba Muyemba
New Member
- Mar 27, 2013
- 3
- 0
Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.QUOTE]
Kiukweli nikisoma maandiko au kusikiliza maneno ya hawa vijana watatu wa Chadema (Zitto Kabwe, John Mnyika na Tundu Lissu) huwa napatwa na imani sana na future ya CHADEMA na Tanzania kwa ujumla. Yeyote kati yao anapoongea au kuandika hupati tabu kujua kwamba anachoongea ndicho anachoomanisha. Lakini nasikitika sana watanzania wanawa-underutilize vijana hawa. Kimsingi hawa si wanasiasa ni wana taaluma ya ukombozi wa hali za watanzania. Nami napenda kuongezea hapo aliposema Zitto, sio tu si wakati wa kuleta fitna, uzandiki chuki nk. ndani ya Chadema, bali pia si wakati wake kuleta hayo hata ndani ya jamii ya Watanzania; Wana JF tuwe jukwaa la kutokomeza haya hususan sintofahama na kubezana kwa masuala ya kidini ambayo leo hii yanatumiwa sana humu JF kutugawanya watanzania.
Inatosha kwa JF moderators kutoa ban completely kwa yeyote atakayepost/ au kuchangia chochote ambacho kina ishara ya kukashifu au kui-under value dini nyingine.
Vinginevyo tutazidi kutoa nafasi kwa mchwa wazidi kuitafuna Nchi aisey, kwani kwao mifarakano ya watanzania wao ni furaha.
Kama uliwahi kumuamini pole sana, sitalajii mtu makini kama wewe mpaka leo hii ulikuwa unasikiliza porojo za kitchen party za Juliana Shonza na huyu Mwampamba.Chanzo cha habari hiyo kwenye gazeti la Mtanzania ni Juliana Shonza, ambaye amekuwa kipenzi cha wana CCM kwa maneno anayozungumza kuhusu chadema
Juliana Shonza: hatutakuamini tena uyasemayo.
Nilijuaga JF wote ni ma Great Thinker kumbe tuna vilaza kibao sijui tutawasaidiaje ili tuwe tunajadili mambo kwa uhuru. hapa hatuko kuchambua ID tuko kuchambua maada acha ubongolala kama huna point jaribu nyingine mnachosha sana, haya kuanzia sasa nitalikana jina langu kisa ukiliona unaweweseka KILAZA - MBURULA wewe
Heshima ya Upande mmoja! Hapa Zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' SLAA. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!
Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.l
Hizi sarakasi za sijui zitaisha lini hasa.......
Inaonekana kuna mambo mengi sana yamejificha nyuma ya pazia....
Hebu tujikumbushe japo kwa ufupi....
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-zitto-na-kundi-lake-kutoka-kwa-mamuya.html
Mara nyingi wanasiasa huwa hawaishii kukanusha tu,bali huiwasisitizia gazeti husika wakanushe la sivyo watawashitaki mahakamani.Mkuu sijui kama ni ya Lwakatare ama ya Ben! All in all ni kwamba Zitto ni mwanasiasa aliyeiva. Na mwanasiasa kama huyu tusingetegemea kwamba aseme ni kweli kilichoandikwa kwenye gazeti. Huyo angekuwa ni mwansiasa uchwara. Nadhani asilimia kubwa ya watu hatukumwelewa Zitto watu wamekimbilia tu katika kanusho
Chadema imetoa msaada wa wanasheria ili kuhakikisha kuwa anatendewa haki.Chama kilikuwa na muda wa kujiondoa kwenye matendo ya Lwakatare lakini kwa sasa ni vigumu kutofautisha kwa sababu CHADEMA kwa sasa kinatumia resources zake kumtetea mahakamani, kwa maana kuwa, matendo yake bila kujalisha kama mazuri au mabaya, yanaihusu CHADEMA.
I bet the movie has just began bro,you have given it out clearly to him....yetu macho na masikio.Zitto wewe sio mtu makini hata siku moja ,kwa uzi huu umekurupuka .Kila siku nasema Watanzania watakufahamu vyema kuwa wewe ni mtu wa aina gani . Sio kila tuhuma zinazokuhusu unatakiwa kuzijibu ,kukaa kimya pia ni busara . Usililolijua ni kama usiku wa giza ,bila kujua umeshajiingiza kwenye mtego wa malumbano na vijana walioaminika kuwa walikuwa wanashirikiana na wewe kwa mabaya ama mazuri pindi wakiwa CDM kabla hawajafukuzwa na kwenda CCM .
"Brother you're falling ",amini usiamini .Kuna uzi umeanzishwa humu muda si mrefu na Mwampamba (kama vile mods wameuondoa ) ila unazunguka kwa kasi twitter na Facebook .Hawa vijana wameanza kukuvua nguo jemedari ,chukua hatua stahiki . Kama ni kweli unayotuhumiwa ya kuihujumu CDM ni kweli rudi kwa Watanzania waombe radhi bado wanaimani kubwa sana na wewe . Ukiona wanakukingia kifua kwa kila baya unalorushiwa jua hawaamini wanaona kama vile ni chuki binafsi .Ila kama unajua na kuamini huna makosa endelea kupambana na kutunishiana misuli na hawa vijana .
Umeandika humfahamu Ben Saanane ,ila wameshaanza kukusuta kuhusu hilo .Huo ni mwanzo tutasikia mengi sana ,hao vijana kwa uzi huu wanaona kama vile unaanza kuwasaliti kwani wanajua wazi kuwa wameanguka ,hawatakubali waanguke peke yao .Utakuwa salama kama ni kweli hukushirikiana nao kwa jambo lolote lililopelekea kwa wao kufukuzwa CDM .Wanavidonda visivyotibika ,walichokiandika leo kupitia Mwampamba imenishangaza sana nanukuu "Ni maneno yanayoudhi na kutoka katika misingi ya kulindana" ,leo maneno yako yanawaudhi kwamba ugomvi wao sasa wanaugeuzia kwako na sio Dr.Slaa na Ben Saanane.Mbaya zaidi wanasema walikula kiapo kutokukuhusha na tuhuma zao iweje wewe unaanza kuwachokonoa ! Wanajitapa wanayo last card inayoweza kukupoteza "Blackmail "
Kila jambo lina mwanzo na mwisho ,baadhi ya mambo huishia pabaya .
Are you sure of this,Kama zote ni zake je?mimi sioni Kama ni issue this is a free forum for great thinkers she is so free to use any Id na kuchangia atakavyo mahusiano yake hayawezi kumkataza kuchangia kma watu wengine wanavyodai.Josephine Mushumbusi ID yake ni Josephine. Huyu Josephine03 ni mtu mwingine.
Ni KInyume kwa sababu siku zote walikuwa wakimsimamia Zitto hili la kuamua kuconfess mbele ya umma limeshammaliza Zitto ni gharama kubwa sana kwake ameipata kujisafisha na kukaa nao mbali ni hapa kwa verified ID na unverified amekuwa akiwatetea leo hawezi kuwakana ,hawezi kuchomoka ,mwisho wa fitina ni fitina wahenga hawakutunga methali toka hewani walijua kweli
Msalimie Mzee bwana sijui na mimi utanitukana manake ni salamu tu nimekuomba unifikishie
Du! mapenzi hatari! hayana cha kwa nini.piga, ua, garagaza.... kamanda na kiongozi wangu ni zitoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
heshima ya upande mmoja! Hapa zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' slaa. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!
Mh.zitto haya magazeti yetu na vyombo mbalimbali vya serekali vinaendeshwa na skendo/mawazo ya watu humu jamii forums
1)TCRA ilivifungia vyombo kadhaa vya habari baada ya thread kuanzishwa humu
2)gazeti hilo la mtanzania na magazeti mengine yanaendeshwa na habari wanazoziona huku
3)hata kukamatwa kwa lwakatare walipata hiyo clip hukuhuku jamii forums
Kwaiyo nadhani wasikupe shida sana na pili washauri wabadilike kama nchi inaendeshwa na mawazo ya watu hapa jf inasikitisha
Kikubwa mheshimiwa zitto nakushauri hama chadema na utengeneze chama chenye malengo ya kumkomboa mtanzania
Chadema imeshaoza sana .........Take this from me