Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Hongera naibu katibu mkuu na mjumbe wa kamati kuu,umenena vema ila chukuwa tahadhari kwani hawa jamaa(ccm)wanaweza kutumia maneno hayo wanayoyanadi kila sku na vibaraka wao,wakatengeneza wangwe sityle wakidhani kuwa ndyo turufu yao kisiasa 2015,naamini kul-nafsi-idhaa-ikatrumaut lakini sio kila kifo anapanga yeye kuna vingine anapanga mwanadamu.
Umenikumbusha mbali sana,RIP Mama Salome
 
huyu huyu zitto kabwe mnemwita masalia leo mmegeuka amekuwa shujaa wa chama...du!
 
Mh Zitto amesema, nanukuu; "Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi" mwisho wa kunukuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Samahani, lakini kumfananisha Zitto na Ben ni kumshushia heshima Zitto. Ben maishani mwake anaota kuwa siku moja akutane na Zitto ili ajisikie na yeye yumo! Hawa ni watu wa caliber tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha capillary na aorta.

huu ndio unafiki anaouzungumzia mh. Zitto, magamba wanajifanya wanam-support zitto eti ili kujenga chuki na wanachadema wenzake, kweli you magamba your so technique! Sasa watu wenye ufahamu na zitto ameshasema hataki sympath yenu kwa sababu ameshawashtukia!

Hii haina tofauti na wakat six alivyomsifu slaa bila kuchelewa slaa akamlipua! Nafikiri wale masalia sasa watakosa pa kujishikia, hongera zitto na cdm hata sisi tusiokuwa na vyama we are impressed by not only by your policy but also how you managed to jump and fight against these inhuman acts done by your opponents and publicly tried to associate them with you, keep it up! You are about to win our votes if you continue with this kind of harmony and not to prefer to be sympathized! Zitto i think 2020.

you will be matured enough to contest for presidency but for now build your part with your fellow!
 
Heshima ya Upande mmoja! Hapa Zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' SLAA. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!
Zitto amekujibu
Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.
 
Jadilini yote, Toeni pongezi zote lakin hii tamko la Zitto halitakuwa na maana endapo tu hataitisha press conference ili jamii ya nje ambayo idadi kubwa iweze kujua ukweli huu, Pia Zitto uache lugha tata katika maelezo yako kwan unazidi kuchanganya watu na kuwapa binamu zako wa damu CCM cha kupigia propaganda mfano unaposema sijui "malengo ya mtu mmoja yasifanywe kuwa ni ya taasisi"

Pia cha mwisho uache vita yako kwa Ben Saanane kwan unajishushia hadhi mwenyewe kwan Ben si mjinga kama unavyofikiri ww, kwani unapotumia masalia kumchafua usifikiri taarifa hazimfikii,

All in all Bravo Zitto kwa kuonesha uthubutu.
 
Last edited by a moderator:
HOngera Zitoo kwa kutoa ukweli. Mulugo (Naiobu Waziri mwenye shutuma ya vyeti na majina bandia aige kutoka kwako.
....................Gazeti la Mtanzania ni wazushi na wazandiki na huu ni mwanzo .....chunga sana

Gazeti la NIPASHE wanaandika upotoshaji wa hali ya juu sana. Jana, kama sikosei juzi, waliandika habari "Wanafunzi waliokata rufaa wamefeli zaidi". Habari ambayo hata mimi nilimshangaa huyo mwandishi, kwa kuwa kwa karibu asilimia 99.8 ya matokeo yaliyotolewa na NECTA hayaonyeshi mabadiliko makubwa.
Hawa waandishi wa magazeti, naamini ikiwamo Mtanzania, hukaa chini ya mti na kujiandia wanachotaka; hujiandikia ndoto walizoota usiku..
Je kuna mamlaka za kuwawajibisha waandishi na wanahabari klanjanja kweli?.
 
Karibu sana Kamanda tujenge Chama, majungu yalikuwepo, yapo na yatakuwepo, dawa ni kuchapa kazi na kuonyesha nia halisi. Waabaaya wetu hawakosi la kusema ila tutashangaza watu wapenda mabadiloko kama tutayaona majungu yao fimbo ya kuturudisha nyuma tulikodhamiria kutorudi. Saafi sana
 
Zitto kawapiga bonge ya chenga Juliana(sio ile juliana ya Bukoba miaka ile), Stella Mwampamba,Mwigulu Chemba na Nepi Nauye. Hapa anasonga mbele kuelekea 2015. Ila amechelewa sana kuwapa za uso kiasi imani kwake ilianza kupungua miongoni mwa wenzake. Tusonge mbele sasa.

attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1364387835.693502.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1364387835.693502.jpg
    33.8 KB · Views: 179
Braza niPM namba yako ya Mpesa, najua baada ya kukaa kambini siku nyingi utakuwa na KIU. Sio mbaya nikikupa hata tu-Heinneken tu3 upoze koo baada ya kazi ngumu jeshini na maneno yenye busara.

Umekitendea haki chama chako braza...
 
Zitto amewakana watu kama wewe aliposema
Mkuu nadhani unafurahia sana utengano, Kamanda kesha sema na inaeleweka sasa wewe hukatazwi kutoa maoni lakini siyo ya kuendeleza utengano, after all mwenyewe ndio kasema hivyo na hatakiwi kulazimishwa kusema tunavyofikiri.
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Dah kumbe Chadema chama cha waongo, wafitini na wazandiki waliobobea. Kazi kweli kweli.
 
..mi huwa najiuliza kila siku....kwanini haya magazeti ya kizushi nyie viongozi wa chadema hamyachukulii hatua za kisheria yanapowachafua????....kama wanavyofanya serikali wanapoona wamechafuliwa na baadhi ya magazeti....mngekuwa mnachukua hatua za kisheria dhidi ya aina hizi za mazeti au vyombo vya habari...kusingekuwa na kuchafuana huku...mpaka watu kuzushiana tuhuma za kuuana!!....chukulieni hatu ahawa majamaa....
 
Kwakeli ile habari nimeisoma ikanisikitisha sana na sikuamini rafiki yangu Bashe imekua je akairuhusu itoke kwenye front pg ya gazeti lake. Ni habari nzito sana na nadhani Kibanda angekuwepo hangeiruhusu itoke kwenye gazeti lake.

Mtanzania mmekuwa wadaku sikuhizi.
 
Back
Top Bottom