Nimependa saana hii... Maana hapa karibuni ilikuwa kila anaye weza anasema ajualo na aaminilo bila kujalisha ni kitu gani na kimetoka wapi. That is to say Zitto alikuwa na wasemaji hadi baaas! Bora umekuja na umeonyesha wazi msimamo wako!
Chadema ilipo sasa inahitaji kujipangua palipo jipanga ovyo kwa kujipanga vilivyo maeneo panguliwa. Na hiyo inawezekana tu pale Viongozi wa juu wapo karibu kwa mshikamano na niya thabiti ya kujenga chama na kuacha ubinafsi pembeni.
Kwa hili nakupongeza sana Mkuu Zitto, habari za Dr. Slaa kutaka kukupa sumu via Ben zipo too low na kutamka kwako inaonyesha wazi kuwa kuna watu ambao furaha yao ni kutokuwepo na maelewano mazuri kati yako na Viongozi wenzako hasa wa juu.
Nimependa pia suala la kuonyesha msimamo wako juu ya wale ambao wametoka Chadema! Inawezekana wanakukubali genuinely but it is high time washikamane na vyama vyao na waache kabisa masuala ya Chadema na viongozi wake kwani haviwahusu tena.
Hongera sana.
Kauli kama hii ilishawahi kusemwa na JK "...simfahamu na wala sijawahi kumuona mmiliki wa DOWANS" wakati DOWANS ndo kaiangusha serikali yake nzma na cha ajabu aliye mahakamani kuishtaki serikali yake juu ya mkataba wa DOWANS ni yulyule aliyemuweka madarakani kwa hela za KAGODA - Rostam".
Hata kama ni kweli Rais alitaka kutuaminisha kuwa hajui kama DOWANS ni mali ya Rostam lakini kitendo cha kuiangusha serikali yake kilitosha kumpa interest ya kumtafuta na kumjua.
Leo Zitto anatuambia hanjui Ben Saanane. Hata kama kweli alikuwa hamjui mwanzoni, lakini kitendo cha Ben kuangusha serikali yake ya masalia ingempa interest ya kuonana na Ben na kumfahamu. Ikumbukwe kuwa Zitto hawezi kuwakimbia masalia akina Shonza na Stella Mwampamba. Zitto hajawahi kuwakana kiuwazi masalia wenzake wote. amekuwa akisema kwa kumeza maneno tu. angalia thread yake ya kuomba radhi mwishoni mwa mwaka jana hayupo specific, anaomba radhi kiujumlajumla tu. Leo pia anasema WALIOHAMA sio WALIOFUKUZWA kama akina Shonza na Mtella. Kwa nini anaongea kiujanjaujanja, Ataje majina ya anaotaka waache kuizungumzia CDM, mbona wao wako wazi sana? wanamtaja mbaya wao Dr Slaa waziwazi, wanamtaja Mbowe waziwazi. (HAWAJAWAHI KUMTAJA ZITTO KWA UBAYA - Hili linathibitisha alichokisema Ben kuwa Zitto ndo alikuwa prezo wao). Zitto come out! ongea kwa kufungua kinywa vizuri na sio kumung'unyamung'unya maneno.
gazeti yawezekana limemnukuu ndivyosivyo.kumbuka story za mwanzo za hawa mnawaita masalia ilikua ni kwamba zito akimkwepa ben na hawakuwahi kutana.
Na kwamba siku mwapamba anakamata kipakiti kile cha ungaunga HAWAKUWA NA ZITO.walikua ni kina mwapamba na ben.
Kwanza according to mtanzania,anaandika wakati ben akitoa pesa kulipa bili yote ndo kipakiti kikadondoka.hapa kama zito alikuwepo haingii akilini ben ndo awe wa kuclear bill.
Hilo liredio hua linabugi kila kukichwa, sijui la nani? Mapamba na Mavyonza kwisha kazi yao.Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.
Kuna mahali niliandika hayo kuonyesha kuwa at least one of them must be a liarAnamtaja mtu aliyetumwa kumuua Zitto kuwa ni Ben Saanane, ambaye aliangusha karatasi ya nailoni iliyokuwa na ungaunga unaosadikiwa kuwa sumu na kuonekana kwa watu waliokuwa eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe pamoja na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Bavicha, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.Haya hapa angalieni uongo wa walau mmoja wa wahusika wa stori. Gazeti la Mtanzania linasema Ben Saanane aliangusha sumu na ikaonekana na watu waliokuwepo eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe. Zitto anasema hajawahi kukutana na Ben Saanane na hata wakikutana hatamjua. Sasa nani mkweli na nani muongo, Gazeti Mtanzania/Shonza au Zitto au wote hawa?Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye
Wakati unaandika hapo juu ulikuwa unakunya.. Naona umetandaza hapo kinyesi!Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
Kuna uwezekano mkubwa watu wanaokuchukia wakatumia jina la Dr Slaa kukutishia maisha na hii ni ndani na nje ya chadema.
Mie binafsi sijawhi kukutana nawe ila tumeongea mara nyingi kwenye simu na ningekupa ushauri tu
Kila unalolisikia litilie maanani, kwa sababu tayari mtu kapakwa tope basi mwingine anaweza kuja kukumaliza halafu wakasema si mnakumbuka ilivyoandikwa before? Yale yalee ya afande mshutiii!
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
Mmeona mafunzo ya JKT yalivyo na manufaa?
Kijana fresh from JKT huyo...
Wewe unawashwa na nini? Nenda JKT, kwa kujitolea.Heshima ya Upande mmoja! Hapa Zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' SLAA. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!
Hiyo Picha yako umekenua meno ama umecheka?
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
Kwani Ludovick ni kiongozi wa CHADEMA?.
Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘SIRI YA KUUWAWA ZITTO YAFICHUKA' na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini' dk. Slaa atajwa kumtuma Saanane kummaliza'.
Napenda kusema yafuatayo:
Pili, Siamini kamwe kuwa Katibu Mkuu wa chama changu anaweza kupanga kuniua maana hana sababu ya kufanya hivyo.
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Tena chang'aaa.Wakati unaandika hapo juu ulikuwa unakunya.. Naona umetandaza hapo kinyesi!
By Zitto![]()
![]()
..........Angalieni, wanaozungumzia sana usaliti waweza kuta ndio wasaliti wakubwa. wanazungumzia usaliti kama 'defensive mechanism'.
Tuacheni ujinga huu. Tufanye kazi. Kazi tu ndio kipimo cha ukamanda na sio kurambaramba visigino vya watu.
Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.