Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Kasome tena gazeti,limemnukuu Juliana akisema alikuawa na ZZK kwenye hiyo bar,
gazeti yawezekana limemnukuu ndivyosivyo.kumbuka story za mwanzo za hawa mnawaita masalia ilikua ni kwamba zito akimkwepa ben na hawakuwahi kutana.

Na kwamba siku mwapamba anakamata kipakiti kile cha ungaunga HAWAKUWA NA ZITO.walikua ni kina mwapamba na ben.
Kwanza according to mtanzania,anaandika wakati ben akitoa pesa kulipa bili yote ndo kipakiti kikadondoka.hapa kama zito alikuwepo haingii akilini ben ndo awe wa kuclear bill.
 
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu
Naona kijinga cha moto kimewatoa nyoka pangoni mwao.

Aibu imewakumba nyote mliokuwa mnashabikia upuuzi wa masalia.
 
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,

Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.

Si umesikia kuna mpango wa USALAMA wa TAIFA (a.k.a CCM) kuisambaratisha CHADEMA kwa kupandikiza tuhuma za uongo za MAUAJI na UTEKAJI
 
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.

Kukaa kote ULAYA haya ndio mawazo yako?
 
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
We mlamba miguu wa Nape hujambo?
 
Matendo ya mtu mmoja yasigeuzwe propaganda ya taasisi.
Ben saanane na slaa huwa mnafanya unyama kwa manufaa ya nani???
Chadema?
Josephine?
Urais?
Hizi ndio akili za Mwandishi wa Mtanzania, actually ndo akili za waandishi wengi.
Kanjanja tu, Tasnia ya Habari haina tofauti na jeshi la polisi na walimu. Ni product ya failed education system.
 
Kwa wale wenye akili finyu, hawataielewa hii statement ya mh. Zitto. Watabaki kushabikie kwa upofu wa maino yao.

It's powerful statement ambayo ameielekeza kwa wanaCHADEMA na viongozi wake

Wabaya wake hawatakuwa happy at all kwa hii statement.

Statement inaonyesha kuna migawanyiko ndani ya CHADEMA na kwa maana hiyo, kama wanataka CHADEMA ikabidhiwe nche, hiyo migawanyiko lazima imalizike.

Nani wa kuimaliza iwapo hata 'First Lady' naye ameishayavulia maji nguo na kilichobakia ni kuyaoga?.

Hebu tutafsirie basi hiyo "statement" maana, kitu kiko wazi lakini magamba mmeamua kuitafsiri kimagamba!
 
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
Kuna uwezekano mkubwa watu wanaokuchukia wakatumia jina la Dr Slaa kukutishia maisha na hii ni ndani na nje ya chadema.
Mie binafsi sijawhi kukutana nawe ila tumeongea mara nyingi kwenye simu na ningekupa ushauri tu
Kila unalolisikia litilie maanani, kwa sababu tayari mtu kapakwa tope basi mwingine anaweza kuja kukumaliza halafu wakasema si mnakumbuka ilivyoandikwa before? Yale yalee ya afande mshutiii!
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.

Mbona hawakukutafuna wewe ULIYENONA?
 
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.

Lol.. Watu wazima wameumbuliwa lol, hii ni dose tosha...lol
 
Nadhani ni jambo la msingi zitto afanye press watu wajue..second point viongozi wajuu wa cdm wawaandikie clauds radio barua ya onyo waache kukifedhehesha chama mara moja,,mimi nina imaani wanakula cha juu kwa ajili ya hayo wanayofanya..tatu viongozi wa cdm walishitaki gazeti husika kwa kuwa linatumiwa kwa njia ya kuidhofisha chama...peoples..........................powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
 
Back
Top Bottom