Siri ya dada wa kazi na mume wa boss wake ni nzito

Imekuwa siri ya dada na Jeff aisee ni hatari, napiga picha siku Fanta akiijua hiyo siri atawafanya nn hao wawili najiuliza tu.
Dada alishachukua kiinua mgongo kutoka kwa Fanta na waliagana kwa amani. Fanta alisikitika dada kubeba mimba wakati alishapanga kumuendeleza watoto wakiwa chuo kikuu.
 
Dada alishachukua kiinua mgongo kutoka kwa Fanta na waliagana kwa amani. Fanta alisikitoka dada kubeba mimba wakati alishapanga kumuendeleza watoto wakiwa chuo kikuu.
Huyu dada natamani kumsaidia maana Jeff kamwandalia bomu siku likilipuka mweeeeh itakuwa balaa.

Hivi dada akee unaweza nipa contact za huyo dada ili nimsaidie?
 
Nilikuwa ninaunganisha dot nikidhani ni yule dada wa kazi wa yule aliyeuliwa na mume wake hukoDar...kumbe ni hadithi.

Basi sawa!
 
Ina mafunzo mengi;
1. Wanaume wengi wakikosa mtoto wa kiume kwenye ndoa watamtafuta nje ya ndoa.

2.Wanaume ni wachawi, binti aliyekuja kwako akiwa 15 unaweza kulala nae akiwa mkubwa?

3. Jalala la tajiri si sawa na la maskini. Mume wa Jeff aliwatoa wazazi wa dada kwenye umasikini ingawa uhusiano wao ulikuwa si halali.
Ndio mkome kuwa bize kazini na kutuacha home na mabinti wabichiiii wa kazi :cool:
 
Alipata kazi Umoja wa Taifa Tanzania au Marekani alikokua akisoma?
 
Back
Top Bottom