Mother house kumlengesha dada wa kazi kwa mumeo ni kujitakia.

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Habari za mida wanajamvi.

Leo tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye hoja.Wanawake walio wengi wamesikika wakilalama waume zao kutoka na dada wa kazi.Jambo hili ukiangalia kwa upande mmoja baba aweza laumiwa ila upande wa pili wa shilingi 98% zinamwangukia Mama.Hii inatokana na hali ya wanawake walio wengi kujitia uboss na kumwachia majukumu dada hata yaliyokuwa yanawahusu wao(wa/mama) kwa waume zao.
-------------------------------------------------------
Unakuta mwanamke anamruhusu dada wa kazi kudeki
chumba anacholala na mumewe na pia kutandika kitanda (Hilo hufanyika hata mume akiwa ndani faragha na dada wa kazi huku mama yupo sebuleni anafacebuka)
----------------------------------------------------------
Mwanamke anampa kazi dada ya kufua nguo za mumewe Hadi za ndani.
-----------------------------------------------------------
Mwanamke anamruhusu dada wa kazi kumpelekea mumewe maji ya kuoga bafuni.

Mwanamke anampa dada jukumu la kumnyooshea mume wake nguo na kuzipanga vizuri chumbani(anazipanga huku baba akiwa amepumzika ndani kutokana na uchovu wa hapa na pale)
Mwisho wa siku mzee wa watu anaikubali huduma ya dada kuwa ni bora kuliko ya mama.

SASA HAPO WAUNGWANA ZIGO LIMWANGUKIE NANI?
 
Aliyesimamisha mkwajungoma.Unaona unategeka,kwa nini usikemee pepo na kumuonya mke aache kumtuma kijakazi kazi zisomuhusu?
 
Hiyo hai justify ulale na Subordinate wako. Mbona wengine tupo hivyo na tunawachukulia Beki tatu kama Watoto wetu wa kuwazaa
 
Back
Top Bottom