Kila anayewaeleza ninyi analipwa Lumumba?mnakaririshana upuuzi.
huwezi ukaongea utumbo huu kama haupo kwenye malipo ya buku7
Kila anayewaeleza ninyi analipwa Lumumba?mnakaririshana upuuzi.
Hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo. Kwani kwa kusitisha hoja hiyo ni sawa na kuwaongezea umaarufu. Dawa ya mwongo ni kusema ukweliJiulize kwanini mchimbwa ooh sorry mchimbi na spika hawakutumia sheria za bunge kumtaka Rev Msigwa kusibitisha hicho nyie mlichokiita kuwa ni uongo
Napatwa na wakati mgumu wanaposema Chadema kushika dola,sio kazi rahisi kama kuingia bungeni na kutoa matusi na kupokea posho yako, ni kazi ngumu kuongoza nchi kaka usijidanganye bado wanahitaji muda mwingi kujipanga.
Msigwa ni kama prof feki kahigi tu. hakuna ajuavyo. Anawaaibisha bure wafuasi wake. Ya kaisari..........Muulize Dk Nchimbi,ilibidi atafutiwe DESA na kilaza Mtela Mwampamba ili kumkabili Mchungaji Msigwa,lakini waapi leo magazeti yooote yawabana kama kawaida.
mungu gani anabariki vurugu, fujo na kung'oa watu kucha? Labla mungu wa CHADEMA huyo sio mungu wa mbingu na ardhi.
Kama rais anachaguliwa kupitia jf tu sawa.Kaka hayo maoni yako lakini sisi wananchi ndio wenye maamuzi peleka salamu
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
Mkuu, kama wewe upo kimaslahi zaidi, wenzako wanatumwa na uzalendo zaidihuwezi ukaongea utumbo huu kama haupo kwenye malipo ya buku7
Mmekaliwa kooniLUMBUMBA PROJECT speaking!
Nchemba na lusinde wanatisha kweli. Ndo maana kila wakisimama kuongea akina lissu na mnyika hukimbilia kuomba miongozo ya spika ili kudisturb flow yao
kabisaaaaa!mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 50 wa ccm.
mi nashangaa hii tabia ipo sana hum ndani, usimlazmishe mtu akufate ww hili jukwaa ebo
CHADEMA sasa ni zaidi ya chama kikuu cha upinzani nchini. Bungeni ikiwa na Wabunge 48 ambao ni sawa na asilimia 13.445 ya Wabunge wote 357,inafanya mambo makubwa. Inabuni,inahoji,inajenga hoja na kuomba miongozo ya Spika mambo yanapokwenda mrama. Nje ya Bunge ndio usiseme. Mikutano ya kueleza ukweli na ya kujadili mstakabali wa taifa inafanyika kwa ubunifu,ufanisi na mafanikio makubwa. Sasa imejijengea heshima na uaminifu mkubwa kwa wananchi. Inasubiriwa kutwaa dola. Siri ya mambo haya ni tatu. Kwanza,imesimama yenyewe. Inapambana na yeyote anayeweza kupambana nayo kisiasa. Haiogopi. Pili,inatumia kila nafasi ijitokezayo ipasavyo. Si nje wala ndani ya Bunge. Pia,ina uongozi bora uliojaa ubunifu,busara na uwezo.Natamani na kutumai kujiunga nayo nikijiunga siasani...
Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM.
Ni bora kuwe na restriction JF wale wote wanaopinga chama chetu wapigwe BAN
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kama huna cha kucomment nenda kakojoe ulale
Lissu pekee anawabeba 120 wa chama chetu.
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
Hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo. Kwani kwa kusitisha hoja hiyo ni sawa na kuwaongezea umaarufu. Dawa ya mwongo ni kusema ukweli