Siri kuu za CHADEMA hizi hapa...

Siri kuu za CHADEMA hizi hapa...

CHADEMA sasa ni zaidi ya chama kikuu cha upinzani nchini. Bungeni ikiwa na Wabunge 48 ambao ni sawa na asilimia 13.445 ya Wabunge wote 357,inafanya mambo makubwa. Inabuni,inahoji,inajenga hoja na kuomba miongozo ya Spika mambo yanapokwenda mrama. Nje ya Bunge ndio usiseme. Mikutano ya kueleza ukweli na ya kujadili mstakabali wa taifa inafanyika kwa ubunifu,ufanisi na mafanikio makubwa. Sasa imejijengea heshima na uaminifu mkubwa kwa wananchi. Inasubiriwa kutwaa dola. Siri ya mambo haya ni tatu. Kwanza,imesimama yenyewe. Inapambana na yeyote anayeweza kupambana nayo kisiasa. Haiogopi. Pili,inatumia kila nafasi ijitokezayo ipasavyo. Si nje wala ndani ya Bunge. Pia,ina uongozi bora uliojaa ubunifu,busara na uwezo.Natamani na kutumai kujiunga nayo nikijiunga siasani...

Mkuu unazungumzia chadema ipi? Maana sifa ulizozitoa ni kinyume na mwenendo wa chama husika.

Hao viongozi wenye ubunifu, busara na uwezo unaowazungumzia ndio hawa kina Mbowe, Dr. Slaa, Lema, Mch. Msigwa, Marando, Mbilinyi, Lissu etc?

Pole kijana, ingawa bado naamini una nafasi ya kujifunza zaidi haya mambo kama ukiwa tayari.

Katika viongozi ninaowajua ndani ya chadema, ni Mh. Mnyika mwenye sifa ulizotaja hapo juu so far...kidogo na comrade Zitto ingawa naye ana udhaifu wake wa kupenda utukufu binafsi.

Seriously speaking, Mnyika is so far a good leader ila yuko kwenye chama ambacho si sahihi (kwa mwenendo wa sasa wa chama chake). Huwezi compare Mnyika na kina Mbowe au Lema, Mnyika is more composed and looks far better matured.
 
Unajidanganya..Yupo sahihi kabisa!Mungu hubariki chenye haki,Mungu huchukia udhalimu,alimuumba mwanadamu na ajitambue umuhimu wa uwepo wake duniani,istoshe Vyote vijazavyo ulimwenguni ni mali ya Mungu ikiwamo siasa.kwakukusaidia tu ni kwamba Jeshi la haki halijawahi shindwa tangu Dunia kuumbwa.ukitaka kufahamu zaidi kamuulize Farao na majeshi yake.

A lie has speed,but truth has endurance
Sasa magaidi wanaokamatwa ma video wakipanga kutesa watu wana haki gani?????? Magaidi wanaotembea na sumu wana baraka gani???? Wauwaji wanaovamia walemavu na kutaka kuwaiwa kwa pistol wana uhalali gani?????
 
Ni dhahiri kina Serukamba na Lusinde wakisikia japo jina CHADEMA wanatukana mioyoni mwao.Uwepo wa CHADEMA ni mpango wa Mungu, wanaopambana kukiuka wataishia kudharauliwa!
 
chadema inafukuwa sana jamani,hata chini ya magogo ya zamani ili kuangalia kama kuna nyoka amejificha ili akatwe kichwa.WABUNGE wote wa ccm wamemezwa na CHADEMA.
 
Mnyika tu ni zaidi ya wabunge 150 akiwemo nchemba jumlisha mawaziri 10 jumlisha katibu mkuu wa magamba jumlisha wakuu wa mikoa wote na wale wa wilaya wa bara na visiwani jumlisha mabalozi wote jumlisha yule wa uenezi mnape jumlisha rais vasco da gama JUMLISHA USALAMA WA CCM. Endelea kujumlisha ili uone ubora wa mbunge mmoja wa CDM, UKICHUKUA KATIBU MKUU WA CDM NDO USISEME.
Mnyika yupi??? Kama huyu form six aliye disco na kushindwa kumaliza degree halafu ndio mumuone shujaa wenu basi huo ni msiba wa kitaifa
 
Ni dhahiri kina Serukamba na Lusinde wakisikia japo jina CHADEMA wanatukana mioyoni mwao.Uwepo wa CHADEMA ni mpango wa Mungu, wanaopambana kukiuka wataishia kudharauliwa!
Nakuomba ukome kuhusisha mungu na magaidi wauwaji na wavamia watu na bastola...jiheshimu tafadhali
 
Hakiwezi kushika dola kwa mwenendo huu kwakweli tusidanganyane tuliowengi ni mashabiki na sio wanachama wala sio wapiga kura!!!

inaonyesha ww unatumika,uchaguzi wote mnasema ooh uwingi wawatu kwenye mikutano ya cdm niwasindikizaji umeona magamba
 
chadema inafukuwa sana jamani,hata chini ya magogo ya zamani ili kuangalia kama kuna nyoka amejificha ili akatwe kichwa.WABUNGE wote wa ccm wamemezwa na CHADEMA.
Inafukua kwa sumu na kwa kuteka na kutesa kama tulivoona kwenye video ya lwakatare
 
yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe ndo adui? Unalazimisha mawazo yako yawe mawazo ya wote?
We wa wapi?? uko Vizuri kweli Upstairs, au Mawingu yanakuzingua, Kamanda ndomyana amejaribu kueleza kitu ambacho kila siku tunakieleza hapa.
Vijana wa Lumumba shukuruni sana Mijadala yetu hapa JF, Kila Mkiona Post ya CDM mna Jump, Mnahaha kama mi wild Dog vile ...Maana ndo inawawezesheni Kupata Mkate wenu wa Kila siku Pale Lumumba, What an Employment Opportunity !!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hakiwezi kushika dola kwa mwenendo huu kwakweli tusidanganyane tuliowengi ni mashabiki na sio wanachama wala sio wapiga kura!!!

inaonyesha ww unatumika,uchaguzi wote mnasema ooh uwingi wawatu kwenye mikutano ya cdm niwasindikizaji umeona magamba wanavyo pigwa chalii?kwenye uchaguzi!
 
Jiunge leo CDM , usisubiri giza , maana huko Mbele Milango Itafungwa .
 
We wa wapi?? uko Vizuri kweli Upstairs, au Mawingu yanakuzingua, Kamanda ndomyana amejaribu kueleza kitu ambacho kila siku tunakieleza hapa.
Vijana wa Lumumba shukuruni sana Mijadala yetu hapa JF, Kila Mkiona Post ya CDM mna Jump, Mnahaha kama mi wild Dog vile ...Maana ndo inawawezesheni Kupata Mkate wenu wa Kila siku Pale Lumumba, What an Employment Opportunity !!!!!!!!!

mbona linakutoka povu mkuu? Kwa lipi?
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
ha ha haa ilikuwa sijacheka siku nzima asante mzee umenifurahisha,utakuwa umepunguza hasira zako
 
Mkuu unazungumzia chadema ipi? Maana sifa ulizozitoa ni kinyume na mwenendo wa chama husika.

Hao viongozi wenye ubunifu, busara na uwezo unaowazungumzia ndio hawa kina Mbowe, Dr. Slaa, Lema, Mch. Msigwa, Marando, Mbilinyi, Lissu etc?

Pole kijana, ingawa bado naamini una nafasi ya kujifunza zaidi haya mambo kama ukiwa tayari.

Katika viongozi ninaowajua ndani ya chadema, ni Mh. Mnyika mwenye sifa ulizotaja hapo juu so far...kidogo na comrade Zitto ingawa naye ana udhaifu wake wa kupenda utukufu binafsi.

Seriously speaking, Mnyika is so far a good leader ila yuko kwenye chama ambacho si sahihi (kwa mwenendo wa sasa wa chama chake). Huwezi compare Mnyika na kina Mbowe au Lema, Mnyika is more composed and looks far better matured.

Natajie viongozi walau watano tu wa CCM ambao ni makini kuliko wa CDM!!!!
 
Mnahaha kumsafisha fisadi. Watanzania hatudanganywi hiki ni kizazi kipya. Tunahitaji mikataba 19 iliyo sainiwa within a day. Tunataka tuelezwe hiyo bandari ya bagamoyo mkataba wake ukoje hivi vyote ni haki yetu sisi watanzania kwa nini tunafichwa? Wanyama wetu hasa tembo wanawawa kila siku kinana at work hela zetu swiss na kwingineko jamani ama kweli ccm wametufanya tukawa masikini wa kutupwa Mungu njoo haraka.
Mkuu, jana waziri nchimbi kawabomoa sana. Sijui kama watakuwa na pa kutokea
 
Sasa magaidi wanaokamatwa ma video wakipanga kutesa watu wana haki gani?????? Magaidi wanaotembea na sumu wana baraka gani???? Wauwaji wanaovamia walemavu na kutaka kuwaiwa kwa pistol wana uhalali gani?????

Sitaki kuamini kwamba hamna uelewa,kwanza hujakubali wala kukataa,moyoni mwako upande wa haki unakusuta kwa hiki unachokisema,tafsiri ya neno gaidi unaijua?hizo sinema ulizozitaja hapo actors ni ninyi,directors ni ninyi,ili kukudhihirishia ni Mungu gani tunaye muabudu yaani Elishadah(UNLIMITED SUPPLIER)utaona kitakachojiri mwisho wa kesi ya Lwakatare.

A lie has speed,but truth has endurance
 
Back
Top Bottom