Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

pumbavu zako acha majungu kujihami na ugaidi mloufanya Igunga,pumbavu kabisa mnajihami kwa upuuzi mnaofanya shenzi kabisa

pumbavu zako wewe,unayetegemea mahisha yako ccm,dume zima ndiyo maana mtaani kwako wanakuita shoga.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
Ubinadamu kazi kweli kwa hiyo hii na wewe umeona bonge la ishu usichezee akili zetu.
 
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.
Duh! binti umejuaje yote haya wakati kesi haijaanza? au ndivyo mlivyopanga iwe.
 
pumbavu zako acha majungu kujihami na ugaidi mloufanya Igunga,pumbavu kabisa mnajihami kwa upuuzi mnaofanya shenzi kabisa
...Hasira za kufumaniwa hizo. Marando alishawaonya kuwa CHADEMA ni chama kikubwa - kina watu CCM, polisi, TISS hadi ikulu. Mbinu zenu zote zinashtukiwa mnabaki kuhangaikahangaika tu. Na sasa nawasikitikia kwa sababu watanzania wameshajua mnavyotapatapa - hakuna atakayewaamini tena na mbinu zenu zote chafu hata mkinunua baadhi ya wanachadema hamtaweza kupambana na nguvu ya Mungu wa watanzania.
 
Toa upuuzi wako hapa wewe kauzu, ungekuwa na akili ungekwenda na mtoto kwenye mikutano ya Chadema, umeishawahi kumuona mtoto wa Mbowe au Lissu kwenye mikutano ya Chadema? Endelea kutumika tu.
Mbona unafuka povu bro shusha pesha.
 
pumbavu zako acha majungu kujihami na ugaidi mloufanya Igunga,pumbavu kabisa mnajihami kwa upuuzi mnaofanya shenzi kabisa
Mbona hukuwa mkali hivyo siku Chagonja aliposema Marehemu Mwangosi alipigwa na kitu kizito/chenye ncha kali?
 
Ninachoamin siku zote udhalimu wowote mbele ya Mwenyezi Mungu hauna nafasi, kila lililo baya litajulikana tu.
 
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.

we mdada you are playing a badcard, unajitambua kweli?
 
Mbinu ya kizamani au mpya, Henry Kileo aipata fresh.
Hata Mzee Nelson Mandela aliipata fresh lakini leo hii ni Baba wa Taifa la Africa Kusini na ana heshima kubwa tofauti na waliomfunga jela.
 
Mbinu ya kizamani au mpya, Henry Kileo aipata fresh.

wewe ni binadamu au nyani?? Nauliza hivi kwa sababu binadamu halisi huwezi kufurahia binadamu mwezio kuteswa bila kosa! Tukikufanyia gene pool analysis bado utakuwa na gene nyingi zinazoku relate na nyani kuliko binadamu wa kawaida!!
 
Si wawakamate Lema, Mbowe na Dr ili tukinukisha...
Wanatishia nyau!
Wamekamatwa mara ngapi na mmekinukisha wapi? hamuwezi kitu kwa kuwa mnajua mnafanya siasa za kubahatisha na wenzenu wanalijua hilo na wasipowamalizeni mida hii mtasumbua bure bila sababu; upinzani upo CUF sio nyie wababaishaji matamko kila siku huo mkanda wa Arusha kama mnao si muukabidhi The Hague mahakama ya kimataifa au mumpe Ban Ki moon acheni hizo jama mnaleta za kuleta tuuu wala hamfanyi siasa; shauri yenu mtamalizika tatizo mnawaponza na wengine wafata mkumbo halafu nyie mnasepa haooooo.
 
Mnatapata kama kuku mwenye kideli. Go to hell cdm.
 
Huo ni mwanzo mzuri, tunasubiri kesi za waliomteka Dr.Ulimboka na Kibanda, waliomuua Mwangosi na waliowawekea sumu mawaziri
...Hizo hawahangaiki nazo kwa kuwa hazina faida kwa Magamba. Mwakyembe, Mwangosi na ulimboka ushahidi wote upo wazi kabisa na wanajua watanzania wanajua kila kitu hivyo sio rahisi kuwadanganya kwa kutunga ushahidi na mashahidi wa uongo. Tumuombee yule kijana aliyemwagiwa tindikali asimame katika kweli ya mwenyezi Mungu ili asisaliti watanzania kwa vijisenti vya mafisadi ataishia kuteseka duniani na mbinguni pia.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
Naona kitendo cha kukamatwa kwa kileo kimewachanganya sana. Acheni polisi wafanye kazi yao nanyi endeleeni kuimba kile kibwagizo cha serikali ya jk ni dhaifu
 
Kila siku mnalalamika kuwa hamna ajira wakati vipaji vya kuwa Actors na waandishi wa tamthilia mmejaliwa.

Ni bora vipaji hivi mvipeleke kule kunakohitajika nchini kuliko kuendelea kuvitumia hapa JF kwa malipo kidogo kutoka bavicha mtaa wa Togo, Kinondoni.

Sheria ni msumemo na hizi ajenda zenu za kudai kusingiziwa zitafika mwisho tu.

You Can't fight TRUTH with a LIE.
..Subiri CHADEMA itakapoingia madarakani ndipo sheria itakuwa msumeno. Mwakyembe alimkabidhi Mwema kila ushahidi - akamwachia kukamata tu. yako wapi? Kikwete akampa uwaziri tu yakaisha. Mwanahalisi walitoa ushahidi wote kuhusu Dr Ulimboka, huo msumeno uko wapi? zaidi ya kulifungia gazeti ati linachochea jeshi kuasi! aibu tupu. Haya ndiyo yanatushangaza kuwa hivi akina Mwanadiwani mnajua kuwa kuna Mungu kweli? hivi Ibilisi anawapa nini kusimama upande wake?
 
Back
Top Bottom