Allency
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 13,729
- 13,099
Yaani reference yangu iwe ni jiwe?Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?
Yaani reference yangu iwe ni jiwe?Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?
Bwashe maendeleo ya Kigoma hayakuanza ktk nyakati ya uwaziri wa viti maalum ya Mpango, wacha kupotosha. Kigoma ilikuwepo na maendeleo yake toka enzi na enziTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Zitto ni muongo sanaTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Huwezi kutenganisha maendeleo ya mkoa wa Kigoma na ubunge wa Zitto Zuberi Kabwe. Panga pangua Zitto amekuwa kiungo muhimu cha kutetea na kupigania maslahi ya mkoa wa Kigoma kuliko mbunge yoyote wa mkoa huoUkweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Kwa maendeleo ya Kigoma Zitto ana-desrve creditUnapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Unahisi rahisi atasema zitto ndio kiungunishi Kwa kipindi hikiTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Nimefika bwashee kwa kupitia Kahama, Bukombe, Nyakanazi, Kibondo, Kasulu hadi Ujiji!Ushafika kigoma mzee
Ova
Bhagabo; huku kwetu ukisema Kigoma unamsema Zitto na ukisema Zitto unaosema Kigoma. Hivyo Magufuli leo kamtaja Zitto tangu mwanzo wa kampeni mpaka mwisho! Maendeleo yote unayoyaona Kigoma ni ya Zitto na kwa taarifa yako Zitto keshashinda ubunge!! Hizi siasa anazofanya Pogba ni ujinga mtupu!Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Umeongea utopolo. Kipato Cha ndani cha manispaa, jiji au halmashauri kinasimamiwa na Baraza la madiwani huku meya au mwenyekiti wa Baraza akiwa responsible. Mbunge ni sehemu tu ya Baraza na Hana maamuzi yoyote isipokuwa ushawishi. Tena kwa kipindi hiki Cha magu mapato y ndani ya halmashauri kwa 75% yalipelekwa hazina na kupangiwa kutoka huko. Na mtekelezaji mkuu wa mipango ya bajeti ya halmashauri ni mkurugenzi wa halmashauri husika ambao NI wanatumikia serikali ya ccm, haya niambie hapo mbunge zito anatia pua yake wapi hapo. KWAFAIDA YAKO, HAKUNA MBUNGE ATAKAYEJINASIBU AMELETA AU ATALETA MAENDELEO JIMBONI KWANI MBUNGE HABA BAJETI WALA MAAMUZI. MAENDELEO YANALETWA NA SERIKALI BAADA YA KURIDHIA MPANGO WA HALMASHAURI HUSIKA.Wewe unaejielewa hujui kuelewa na pengine unashangaa inakuwaje...wale wana halmashauri...lakini nikusaidie tu hebu waulize nduguzo hiyo miundombinu imejengwa kwa fedha za nani? Pengine itakusaidia kujifunza na kujielimisha.
Sio kila kitu kinatoka kwa kodi yako.
Ukijua chanzo cha fedha, njoo tuelimishane sasa kuwa nani alikuwa kuwadi kwenye hilo.
Rami mpka maweni, acha kabisa.Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Zitto anaunganisha nini na nini?. JPM tano tena.Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Maendeleo ni process bwashee!Sasa mbona Ndalichako analalamika wananchi wa Kigoma wanakunywa waji ya matope??
Ni maendeleo gani hayo?
Pumba Kama hizzi zinakera nakiudhi kwa hiyo Hakuna mipàngo ya Maendeleo ya Kigoma bila Dk Mpango....eti siri?!Ujuha mkubwa!Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
tangu 1961 CCM bado mko kwenye process ya kuwaletea maji safi watu wa Kigoma?Maendeleo ni process bwashee!
Hapo machame hakuna visima!tangu 1961 CCM bado mko kwenye process ya kuwaletea maji safi watu wa Kigoma?
mataga hapa tayari umeshapanic 🤣Hapo machame hakuna visima!