Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Kuna watu wanachokazaga2 wenzao halafu wakitukanwa wanaanza kumind bora2 ninyamaze Jf bado naipenda sitak ban
 
Roho mbaya...kwani ulizaliwa ukiwa mtu mzima? Si ulipitia utoto?
 
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.

Sipendi kelele, watoto wote wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awataka wanaogopa, hata nikiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alafu naondoka sipendi hata kidogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia.

Hii normal au nina pepo?
Duh we una tatizo si bure maana watoto wa kike wengi wanapenda watoto.
Mimi ni wa kiume ila ninavyopenda watoto kiasi kwamba enzi nimemaliza chuo nlikuwa hadi naomba mtoto wa jirani yetu nnashinda naye nazurura naye nilipoanza kazi akawa analala kwangu.
Ila kwa hali ilivyo sasa sishauri mtu amruhusu mwanae azoeane sana na mtu wa nje maana watu siku hizi wanaharibu watoto wa wenzao cases zimekuwa nyingi.
 
Aisee sio kawaida
yan mm napenda watoto sana sana awe mchafu,awe msafi sichagui. napenda kuwabeba, kuchezanao pamoja na kuwafundisha. MUNGU nijalie watoto wengi
 
Hiyo kali. Mimi nilikuwa naogopa watoto wachanga. Wale ambao hawajaota meno hata moja. Hata kumshika nilikiwa siwezi. Wife alipojifungua ilibidi nitunge safari na excuses mbali mbali ilimradi tuu nisibebeshwe mtoto ingawaje alijua tokea awali kuwa nina phobia na vichanga. Ila alipokomaa kidogo, hadi raha. Natamani muda wote nicheze nae na kumbeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee una pepo baya sana ebu jitahidi kama ni mkristo kwenda sana kanisani ili uombewe na ujaribu kuikataa hiyo roho ya kutopenda watoto mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom