Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,696
Unahitaji msaada mkubwa. Wewe hutegemei kupata mtoto katika maisha yako?sure
Unahitaji msaada mkubwa. Wewe hutegemei kupata mtoto katika maisha yako?sure
[emoji2] [emoji2] [emoji2] we noma akilia unatamani umbebe umtupe duh upo kama terminatorspend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?
Ulishajaribu kuwaza kwamba je, na wewe ungekuwa unafanyiwa hayo ulipokuwa mtoto mdogo ungeona ni sawa tu? Ungejisikiaje? Tafadhali tafuta tiba ya huo ugonjwa wako kabla hujachelewa.spend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?
Sipendi kusikia kile kilio cha mtoto haijaishi awe mchanga au la yan ntakua na amani atakaponyamazishwa biadam tunatofautiana sana malaika wamekosa nnuna mapepo.
Mini hata mtoto akilia nakua concerned. sipendi kumuona mtoto analia wala yuko hana furaha
Basi utakuwa na roho mbaya tu,jaribu kubadilika mkuulol 17 oct natimiza miaka 17 siwaonei wivu cuz kuolewa na kuzaa bado sna
Seriously miaka 17 unaingia jf?wewe umekosa malezi mazurilol 17 oct natimiza miaka 17 siwaonei wivu cuz kuolewa na kuzaa bado sna
time nyngine najaribu kuwapenda nashindwa wakianza kulia napata hasiraNawapendaa sana watoto na wananipenda piaa....Kila ntakapokuwa marafiki zangu ni watoto wadogo sana...sipendi kuwaona wakinyanyasikaa...huwa nawaza ningekuwa housegirl anayeleaa mtoto mwenye mtoto angefurahii sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki ijayo ukienda shule muulize Mwalim wako wa kiswahili atakupa jibu si umesema unamiaka 17tasa ni nini?
Una mtoto ?una mapepo.
Mini hata mtoto akilia nakua concerned. sipendi kumuona mtoto analia wala yuko hana furaha
Una mapepo dada, nenda kaombewe.spend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?
Usisingizie pepo, una shida ya kisaikolojia, kamuone daktari wa masuala ya saikolojia atakusaidia vyema. Shida hizo zipo sana wengine hawapendi kuwaona wanawake wengine hawapendi mikusanyiko, wengine hawapendi wazee. Ni psychological problemspend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?
spend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?