Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

lol 17 oct natimiza miaka 17 siwaonei wivu cuz kuolewa na kuzaa bado sna
utakuwa tu ngoja ufike miaka 18 utaanza kuwatafuta kwa nguvu uwalee ili upate faraja
soma hii ya mwenzako

Haki ya Mungu yaani natamani siku zirudi nyuma nizunguke na wanaume kama wafanyavyo wengine. Hukukujitunza kwangu kunanifanya nilie kila siku na kuomba Mungu usiku kucha kisa nilimtunzia mtu bikira. Jamii inayonizunguka itanitia wazimu maana swali la unaolewa lini limenichosha kabisa. Basi kama siolewi hata mtoto tu ni shida kumpata.
Kwasasa ninashida na mtoto kuliko maelezo na niendako nadhani nitawehuka. Msaada wenu tafadhalini sana.
 
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.

Sipendi kelele, watoto wote wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awataka wanaogopa, hata nikiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alafu naondoka sipendi hata kidogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia.

Hii normal au nina pepo?
Hiyo siyo normal, itakuwa hiyo ya pili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana ulitendewa vibaya ulipokuwa mdogo na ikakuathiri kisaikolojia sasa unaonyesha matokeo yake

Ila ukifanya hayo mbele zangu kwa namna ambavyo sipendi kuona mtoto akionewa tutagawana majengo ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.

Sipendi kelele, watoto wote wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awataka wanaogopa, hata nikiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alafu naondoka sipendi hata kidogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia.

Hii normal au nina pepo?
MH MAMA HUNA KIZAZI NINI MWANANGUUU
 
Aisee nilijua mimi tu kumbe I got some dope fiend out there? Mkuu ni PM we seem to share same Red Aura.

Nimefurahi sana aise kwamba I am not alone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe na wasi wasi endelea hivyo hivyo maana umebakisha semester moja tu kua mwanga/mchawi kamili
 
Wewe ni girlfriend wa shetani kabisa. Tena nadhan sasa amekuchumbia. Ni mchawi ni na una mahusiano ya kimapenzi na shetani.

Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.

Sipendi kelele, watoto wote wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awataka wanaogopa, hata nikiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alafu naondoka sipendi hata kidogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia.

Hii normal au nina pepo?
 
Binti

Unaendeleaje na maisha? Canada kunasemaje? Wazazi wako hawajambo? Ulishaanza kumuheshimu baba yako? Na yule boyfi wako ulijiunga na dini yake? Kwa bibi ulirudishwa kuishi nae hapa TZ?

Ila nakumbuka ulianza kuwehuka kuwa na kiburi, natumaini uliacha. Hii ya kufinya watoto.. usije tu kuwa unawafinya wadogo zako. Kupotea kwako ilikuwa kusoma au ulipigwa kibano cha dharau na tabia mbaya ulidai unayo?

Ila ulitusumulia mengi humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom