Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Ikiwa mtu atajibu kwa ghadhabu anaweza kuishia kukutukana sana lkn me nahc una tatizo na unahitaji msaada. Nenda kaonane na wana saikolojia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji ushauri nasaha yaani mimi nikiwa na mawazo watoto wadogo ndio faraja yangu nawapenda sana
 
Watoto!!!

Nahisi unataka tu "comments" na "likes"! Na bado natafakari zitakusaidia nini kwa kuonesha roho ya namna hii.
 
Watu wenye roho mbaya utawajua tu.mie hamna kitu napenda kama watoto,alafu na wao wananipenda balaa
 
Nikipita mtaani naweza kukusanya watoto wote wa mtaani
 
Umekulia mazingira gani? Ya kudharauliwa kuchukiwa na kutengwa?

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Ukizeeka lazima utakuwa mchawi
 
Watoto!!!

Nahisi unataka tu "comments" na "likes"! Na bado natafakari zitakusaidia nini kwa kuonesha roho ya namna hii.
Hapana, mi nilishawahi kuwa na mahusiano na msichana ambaye hataki hata kuona mtoto yani hapendi hata kuwaona..kuna watu wana matatizo haya...tembea uone..but its q more of psychology!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom