BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,928
How old are you Mkuu? Children are blessing from God, please don't hate them.
Mkuu naona Leo unatubless na mavideo media za YouTube tu
How old are you Mkuu? Children are blessing from God, please don't hate them.
Hahahahah... hiki kizazi! Ndo mana anachukia watoto.nliweah kuwa n arafiki ambaye hapend watoto kbs tukiwa chuo!huenda umelelewa kwa mateso makubwa! duh 17yrs unaingia jf?/kweli kizaz hiki majanga!
ndio mapepo hayotime nyngine najaribu kuwapenda nashindwa wakianza kulia napata hasira
Ndio shida ya kuwa mgumba.spend watoto nawaona km kero kwng nkiwa sehem kna watoto nakua bored, km kukiwa amna watu nawafinya hta km ajanifanya ktu. mtoto akilia natamani nmchukue nimtupie nje spendi kelele watoto wte wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awatak wanaogopa hta nkiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alaf naondoka spendi hta kdogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia hii normal au nna pepo?
Basi ndiyo maana ukikuwa utaacha, mm mwenye nikiw na miaka kumi na 5 kushuka chini nilikuwa sipendi watotooo, unipe MTT wako mchafu, kajikojokea/kajinyea,, anamakamsi Analia lia ovyo simshiki namuweka hpo chini na akileta ujinga nilikuwa na mkong'orii.....lol 17 oct natimiza miaka 17 siwaonei wivu cuz kuolewa na kuzaa bado sna
Kuna siku nilibeba mtoto mchanga, akanicheulia usoni toka siku hiyo nikasema sibebi mtoto huu ni mwaka wa 4.
Ahahahahaha wewe noma.
Mie watoto wadogo wadogo wana napenda sana, kuna siku kwenye daladala mtoto kanililia nikambeba....siwajuhi...
Akani kojolea asee ila nilishtukia nilipo shuka.
Sema nili chukulia poa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app