Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Sipendi watoto nikiwa nao nawafinya

Binti

Unaendeleaje na maisha? Canada kunasemaje? Wazazi wako hawajambo? Ulishaanza kumuheshimu baba yako? Na yule boyfi wako ulijiunga na dini yake? Kwa bibi ulirudishwa kuishi nae hapa TZ?

Ila nakumbuka ulianza kuwehuka kuwa na kiburi, natumaini uliacha. Hii ya kufinya watoto.. usije tu kuwa unawafinya wadogo zako. Kupotea kwako ilikuwa kusoma au ulipigwa kibano cha dharau na tabia mbaya ulidai unayo?

Ila ulitusumulia mengi humu
Ndo na mi nimemkumbuka?
Ah alijua kutushughulisha huyu mtoto!
 
inaonyesha ulivyokuwa mtoto ulinyanyaswa au kuna kitu ulikikosa kama mtoto katika ukuaji wako. pole sana mkuu onana na wanasaikolojia utapona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom