Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,516
- 125,781
Sio lazima ujueSasa msimamo kwako ww mwenyewe una faida gani?
Sio lazima ujueSasa msimamo kwako ww mwenyewe una faida gani?
Sasa kama haikuwa lazima nijue imekuaje ututangazie msimamo wako hadharani humu wakati ulijua ni kwa faida yako tu, au unatujaribu?Sio lazima ujue
Kwenye komenti yangu ya kwanza uliyoniquote kuna mahali nimesema nina msimamo? Au kiherehere chako tuSasa kama haikuwa lazima nijue imekuaje ututangazie msimamo wako hadharani humu wakati ulijua ni kwa faida yako tu, au unatujaribu?
1.Unahofia nini?..Yani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii.
Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao.
Najua wapo watakaoniona natumia mfumo dume potelea mbali na wala sijali.
Mmhh umemtoa kijijini?Hakuna kilichonisibu mkuu. Ila wife anatamani sana na avutiwa mno na mtandao wa facebook. Nimemkataza asijiunge amenielewa lakini kama namuona amekuwa mnyonge baada ya kumkataza.
Kuna vitu nadhani unaweza mzuia mtu ila kuna vitu naona kama ngumuMfumo dume uliwahifadhi watu wa zamani katika ndoa zao, mfumo dume uliweka heshima katika ndoa kwa muda mrefu, mfumo dume ndo ambao tumeumbwa nao, mfumo dume ndo mfumo sahihi.... vinginevyo ndo unakuta mwanaume anatawaliwa katika ndoa na kisha hiyo ndoa yenyewe haidumu. Ni jambo zuri sana kumfanya mkeo awe utakavyo wewe mana wewe ndo kiongozi wake.
Uliposema anakuwa hana msimamo ulikuwa na maana gani?Kwenye komenti yangu ya kwanza uliyoniquote kuna mahali nimesema nina msimamo? Au kiherehere chako tu
Anaweza kua anatumia kwa siri kutokana na katazo ulilotoa...anapata hamu kujua hivi fb kuna nini hadi nakatazwa?.Hatumii mtandao wowote mkuu.
Watu wengi sana PMUliposema anakuwa hana msimamo ulikuwa na maana gani?
Kwa hiyo nikisema mtandao si mzuri kwa wasio na msimamo maana yake nimesema mimi nina msimamo, thread hii inanizungumzia mimi kwani? Si nimechangia kwa vile ninavyojua?Uliposema anakuwa hana msimamo ulikuwa na maana gani?
Kwenye komenti yangu ya kwanza uliyoniquote kuna mahali nimesema nina msimamo? Au kiherehere chako tu
Hakuna kilichonisibu mkuu. Ila wife anatamani sana na avutiwa mno na mtandao wa facebook. Nimemkataza asijiunge amenielewa lakini kama namuona amekuwa mnyonge baada ya kumkataza.
Ndiyo rafiki na wajukuu juuu. Huwezi kumbana mwenzi wako halafu uutangazie umma kuwa ni mwaminifu sana! Mwache ajichanganye lakini aushinde uovu! Usiogope ukimbana sana akiingia kwa njia za panya atafanya kile unachofikiriaUmeoa mkuu?
Yani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii.
Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao.
Najua wapo watakaoniona natumia mfumo dume potelea mbali na wala sijali.
Acha kuyumba na mm ndo maana nilikuuliza ww una msimamo gani? Ungejibu tu kutusaidizia tujue msimamo ulionaoKwa hiyo nikisema mtandao si mzuri kwa wasio na msimamo maana yake nimesema mimi nina msimamo, thread hii inanizungumzia mimi kwani? Si nimechangia kwa vile ninavyojua?
Majitu????? DaaaaaaahKuna majitu yanakera jamani
Msimamo wangu haukuhusu komaa na huohuo wa kwakoAcha kuyumba na mm ndo maana nilikuuliza ww una msimamo gani? Ungejibu tu kutusaidizia tujue msimamo ulionao
Umeongea ukweli kabisaKuna mada huwa zinawashinda wana jf kudiscuss vzr, mada hizo ni kama hii
Lengo si kutaka kusaidika, cha msingi ni kujua tu msimamo wako ulio naoMsimamo wangu haukuhusu komaa na huohuo wa kwako