kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,874
- 4,161
- Thread starter
- #21
Poa tu.Mfumo dume
Poa tu.Mfumo dume
Wewe una msimamo gani?Ni kweli mitandao kama Jamiiforums si afya hasa kwa mtu asiye na msimamo
Mmmmh sio unamkuta mtoto wawatu mitandao yote ya kijamii anaijua harafu kumuoa tu uanza kumpiga stop we thubutuYani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii. Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao. Najua wapo watakaoniona natumia mfumo dume potelea mbali na wala sijali.
Wewe una msimamo gani?
Bro huo ni mfumo dume, ila kwa ninacho kiona kwenye mitandao ya kijamii ni bora tu ukubali kusemwa kuwa unatumia mfumo dume au kama vipi uache kuoa,Juzi kuna jamaa kakuta mkewe katuma picha za uchi kwa mshikaji wa fb.
Bora umeliona..Ni kweli mitandao kama Jamiiforums si afya hasa kwa mtu asiye na msimamo
Unaogopa nini?
Atatakiwa achague kati ya ndoa na mitandao ya kijamii.