kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,874
- 4,161
- Thread starter
- #121
Sawa mkuu,lakini kwangu mimi sitaweza kumruhusu.Ndiyo rafiki na wajukuu juuu. Huwezi kumbana mwenzi wako halafu uutangazie umma kuwa ni mwaminifu sana! Mwache ajichanganye lakini aushinde uovu! Usiogope ukimbana sana akiingia kwa njia za panya atafanya kile unachofikiria