kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,874
- 4,161
- Thread starter
- #61
Hayupo mkuuHumu yupo pia?
Hayupo mkuuHumu yupo pia?
Kwangu mwenyeweIla muhimu kwa nani?
Bila shaka wewe ndiye mke wa jamaa [emoji16][emoji16]!!Kama hujali unafikiri sisi inatuhuhu.. pambana na mkeo huko huko mchepukaji wewe.. huna udume umejaa uoga.. usipoangalia utajimaliza kabla ya siku zako..
Shangazi eeeh.Ni kweli mitandao kama Jamiiforums si afya hasa kwa mtu asiye na msimamo
OKImeelezwa kuwa maisha ni mapambano mkuu,wacha tupambane.
Marhaba hujamboShangazi eeeh.
Shikamoo.
Siwezi kumnyang'anya,mwelevu akikatazwa anakatazika.Wewe mnyang'anye hiyo Techno yake
Siwezi kulima shamba miwa karibu na shule mkuu.Uko sahihi... Tatizo ni kwamba wenzetu ni rahisi kuyumba
Yani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii.
Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao.
Najua wapo watakaoniona natumia mfumo dume potelea mbali na wala sijali.
Umeoa mkuu?Je wewe mwenyewe uanapenda kuingia huko? unachokifanya sio chema ndio maan naogopa wenzio watakulia timing!! lakini kama ni honest usiogope
Imeandikwa kuwa mwanamke akimtii mume wake ndo sababu ya kupata ufalme wa milele. Unachotakiwa kufahamu na uweze kutofautisha ni mwanaume ameumbiwa na sifa za kiume,hali kadhalika mwanamke ameumbiwa sifa za kike. Na ndio maana anachokimudu mwanamke hata kiwe chepesi kiasi gani maadam kinaendana na maumbile ya mwanamke mwanaume hakimudu kitu hicho katu.
Tufafanulie
Bila shaka wewe ndiye mke wa jamaa [emoji16][emoji16]!!
InategemeaMfumo dume uliwahifadhi watu wa zamani katika ndoa zao, mfumo dume uliweka heshima katika ndoa kwa muda mrefu, mfumo dume ndo ambao tumeumbwa nao, mfumo dume ndo mfumo sahihi.... vinginevyo ndo unakuta mwanaume anatawaliwa katika ndoa na kisha hiyo ndoa yenyewe haidumu. Ni jambo zuri sana kumfanya mkeo awe utakavyo wewe mana wewe ndo kiongozi wake.
Sasa msimamo kwako ww mwenyewe una faida gani?Kwangu mwenyewe