Sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii

2.uvunje ndoa kisa mitandao zama hizi za teknolojia?..
Mfano mimi mke wa mtu niko mitandaoni saivi
Je yatosha kuvunja ndoa?.
Kila dola na taratibu zake. Pia inawezekana ikawa mume wako si muwazi sana kwako mpaka inapelekea ikawa anashindwa kuweka misimamo migumu migumu kwako hata kama anaumia na anatamani afanye hivyo lakini anashindwa.
 
Sasa mkuu kuachana na mchepuko unaona kama vile ni kitu cha wewe kutaka kusifiwa kweli? Sikia kutumia mitandao ya kijamii siyo kosa na ni haki ya kila mtu ila kuchepuka ni kosa na siyo haki ya mtu yeyote!

Hivyo yeye kuacha kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili yako ndiyo kafanya jambo la maana ila wewe kuacha kuchepuka kwa ajili yake siyo jambo la kusema eti usifiwe maana haukutakiwa kuchepuka kabisa tangu mwanzo
Eeh ndio naacha,kama nilivyoachana na mchepuko wangu kwa ajili ya kutunza heshima yake. Nimeacha tabia ya kurudi usiku sana nyumbani. Nimeacha yote hayo kwasababu alikuwa hapendi.
 
Punguza uoga. Mpe uhuru wa kuamua vitu anavyopenda. Nyie ndio wale wanaume mnawazuia wanawake zenu kuvaa hata nguo ya kumshika au suruali kwa kuhofia atatongozwa. Hamjui hata akivaa dera kama anataka kuchepuka atachepuka tu.
 
Nyuki huvutiwa kwanza na muonekano wa ua lenyewe kabla ya lengo alilonalo. Kuwa tu mkweli from the inner part of your heart,hivi unasumbuliwa zaidi na wanaume wenye uchu pale unapovaa mavazi ya kusitiri vizuri mwili au yale yakubana na kuonesha maungo?
Mimi mbona hiyo avatar tu tayari umeshanivuruga akili.
 
Sasa mkuu kuachana na mchepuko unaona kama vile ni kitu cha wewe kutaka kusifiwa kweli? Sikia kutumia mitandao ya kijamii siyo kosa na ni haki ya kila mtu ila kuchepuka ni kosa na siyo haki ya mtu yeyote!

Hivyo yeye kuacha kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili yako ndiyo kafanya jambo la maana ila wewe kuacha kuchepuka kwa ajili yake siyo jambo la kusema eti usifiwe maana haukutakiwa kuchepuka kabisa tangu mwanzo
Asiponisifia hapo atakuwa hana shukrani tu. Halafu uliniuliza iwapo kama atanikataza kitu nitaacha?Ndo nikakujibu hivyo.
 
Nyuki huvutiwa kwanza na muonekano wa ua lenyewe kabla ya lengo alilonalo. Kuwa tu mkweli from the inner part of your heart,hivi unasumbuliwa zaidi na wanaume wenye uchu pale unapovaa mavazi ya kusitiri vizuri mwili au yale yakubana na kuonesha maungo?
Mimi mbona hiyo avatar tu tayari umeshanivuruga akili.
Hata nivae shuka mwili mzima. Wanaume watanisumbua. Wanaume siku zote mna tamaa cha msingi ni msimamo gani anao mwanamke wako. Period..
 
Back
Top Bottom