BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Kwani Dar kuna nini cha ajabu mbona watu wanaishi maisha ya tabu kuliko hata mikoani au ndo ule ushamba wa kitoto. Mikoani hakuna foleni, hakuna shida ya maji, hakuna joto, hakuna kubanana hata kama ni kutembea unatembea freely kama samaki ndani ya bahari. What else will you be looking for?
hujui joto na foleni ndo starehe za mjini?