Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,194
- 5,598
kuna wakati nisipoingia jamii forum naugu yani uzi wa jamaa nimecheka mpaka Basi ..wakati naingia Dar miaka hiyo, siku ya kwanza nikaenda mahali fulani kuchotan maji (ilikuwa shida sana enzi hizo maeneo ya Tabata) nilipofungua tu mdomo kuuliza madumu yale nilochota sh. ngapi...Mtu mmoja akwambia wenzake "wamkoani huyu" akasistiza katoka mkoani huyu...nilifili bad but now days nacheka tu nikisikia mtu akiambiwa hivyo.....Dar ndo kila kitu lol