Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Kipipi kwanza hujambo? Cute umemuona huko? Mlete hapa basi
wala ucjal shostito! we tena. . .
Hivi Saint Ivuga wewe ndio Shibuda ?
nimebakiza kumwambia mtu mmoja tu nisamehe mwaya
Hivi Saint Ivuga wewe ndio Shibuda ?
nimebakiza kumwambia mtu mmoja tu nisamehe mwaya
hujafikia kiwango bado mana hujui ulitakalo bado unatangatanga sasa sijui na real life ndio ulivo kweli KAMA NDIVO BASI uko na haki ya kuachwa na MwaliMarry me basi cute
1+3=3+1
Kuna utofauti hapo?????? Acha kunipeperushia mke wangu wa future.
hujafikia kiwango bado mana hujui ulitakalo bado unatangatanga sasa sijui na real life ndio ulivo kweli KAMA NDIVO BASI uko na haki ya kuachwa na Mwali
kila mtu kwako ni marry me plzzzzzz kwann unabembelezea ndoa ivo au u have some chronic problems zinafanya wakukimbie u scared me boy
sorry kama nitakuboa ila huo ndio ukweli angalia tatizo liliko na sio kulalamika na kuhamahama mana hata wazazi wetu wangefanya ivo pengine na wewe usingekueko (HII NI KUTOKANA NA THREAD ZILIZOPITA)nimeflash back kidogo kwale wasomaji wa riwaya wanajua especially mwali ambaye ashasoma ile ya mwanakijiji
USILIKIMBIE TATIZO FACE IT LIKE A MAN
nashukuru umeiona na kama ww ni muumini mzuri basi roho wa bwana akakuongoze ktk kuielewa na kukusaidia kugundua tatizo liliko..ameeen!hongera kwa kuandika point
acha kumsumbua Mwali
Wengi tu huwa wanasemaga hivyo......lakini hawatekelezi!!
BTW; asante shostito langu, natumaini mambo yetu yatabaki kuwa behind the scene!!
poa mwaya, sa tutamit lini?
Mnataka mmiti ili mfanye nini?
Kwa staili hii yule mtoto hesabu umemkosa Arifu, labda kama hatembelei lile Jukwaa lililokupatia umaarufu humu Jei efu..
Wakusengenye!
Kaka lile jukwaa nimehama zamani sana kaka...kwema lakini?