Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.
Njia za kuondokana na mawazo ya kujiua.

1. Tambua kuwa kuna watu wako hospital wanamajaribu makubwa kuzidi ya kwako.

2. Kuna watu wanakula majalalani lakini Mungu anawalinda na hawana mawazo ya kujuliua.

3. Tambua umeumbwa kwa kusudi maalumu. Tafuta kusudi la wewe kuzaliwa ulivyo na kwanini upitie yote hayo.

4. Tambua kuna maisha baada ya kifo, je ukijiua unajua adhabu yake?

5. Swali au Sali. Kaa karibu na viongozi wa kiroho.

Kubwa kuliko yote, share matatizo yako na watu wanaokuzunguka. Hata wasipokupatia msaada wa vitu, lakini jinsi unavyojielezea inakupunguzia mzigo ndani yako na kukupa relief.
Absolutely!
 
huna mtoto? nakushauri kama hauna mtoto jaribu kuzaa uwe na kafamilia, ukishakua na mtoto atakupa furaha,utajua upo duniani kwa sababu zipi,na utapata akili ya kupambana kwa ajili ya huyo mtoto wako ,na cha ajabu akiumwa tu kidogo unaweza ukapata mawazo mengine tofauti.,ndo utajua uchungu wa kifo,nna imani ukiwa na mtoto hayo mawazo yako yakijinga yataisha

Mmh! Wewe unataka kumwahisha dada wa watu kaburini. Kwanza unajua matatizo yake? Amani haijawahi kupatikana kwa vitu vya nje. Kama yeye mwenyewe hajui kwa nini anaishi ataweza kumlea mtoto atoke huko kitu cha kueleweka? Na akimfanya mtoto awe ndo sababu ya kuishi vipi huyo mtoto akifa au akazaliwa na ulemavu mkubwa? Si atamtupa? Ajue tumeumbiwa shida kwa nia njema zitusaidie kunoa akili na roho zetu lakini tukichagua kuziogopa zitatushinda na kuwaza kujiua. Huyu hajapata shida kuliko mtu yoyote hapa duniani. Atembee aone au asome ajue. Aende Muhimbili akawaone clinical psychologists au atafute watu waliokaa vizuri kiroho wamsaidie maana ameshaishiwa nguvu.
 
Tatzo n nn mkuu mpk ufkie uamuz huo? Naomba unieleze km hutojali, nkupe ushauri ambao hutojutia kunpm, ukimuamn Mungu hlf ukaws na ratba na misimamo ambayo mtu hawez kukuyumbisha, ukawa mchapa kaz hayo mawazo ya kujiua hutakua nayo kabsaa.
Mungu akutie nguvu mkuu ila nmeona wengne wanakejeli kwan hawajawai kutwa na matatzo ila cku yakiwakuta nao watafkia hatua km yako.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Asking for advice to somebody who believe can solve ur problems hata kam unafear Kuwa hao ndo wamesababisha uwe katika such situation...!!.

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi niona anayetamka mara kwa mar swala la kujiua mwisho wake huwa hivyo

Kinywa huwa kinaumba mkuu hakuna binadamu asiye na changamoto kikubwa ni namna ya kukabiliana na changamoto hizo usikubali hata siku moja kuweka wazo hilo ndani ya kichwa ama kinywa chako maadam umeona ni dhambi potezea pambana

Kuna wengine hapa ukijua ama kusikia changamoto walizopitia unaweza kuona ya kwako madogo sana mkuu shukuru kwa kila jambo hilo ni jaribu nalo litapita

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Humu kuna wataalam wa saikologia wanaoweza kutoa ushauri wa kuondokana na msongo wa mawazo.Eleza una tatizo gani tukusaidie mkuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
acha mawazo yakishetani, ebu jichaganye na wenzio,funguka utapata msaada! cheki na wanasaikolojia pia watakushauri! ukitaka kujua uhai ni kitu cha dhamani nenda pale muhimbili uone watu wanavyohangaika kuishi, alafu uje utupe mrejesho
 
Pole hauko peke yako, kifo sio kitu chakutamani Muombe Mungu akupe amani nenda makanisani na kwenye maombi utaona utasikia changamoto nyingi Za watu mbalimbali zitakazokufanya uone ulionayo ni yakawaida hakuna tatizo lisilokua na suluhu au na mwisho jipe moyo kijana utashinda.
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
 
Hakuna 7bu inayofanya m2 ajiue,kama ugumu wa lyf co peke yako,kama umeachwa sio wewe wa kwanza,kwa kifupi hakuna reason yeyote ya kujiua, Pambana funguka watz ni wakarimu watakusaidia.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
That depressions nenda hospital utapatiwa msaada wa dawa ha hiyo suicidal ideation itatoka kabisa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
asante kwa ushauri mzuri..but sharing my problens na watu...no!
imetossha.nobody cares
No body cares aliyekuleta duniani ni Mungu si watu ,Duniani tumeletwa kupambana waoga ndo mnawaza kujiua mnadhani watu watakuinua si kweli

Wewe jitambue fight utatoboza ila ukisubiria ndugu au rafiki hautatoboza

Nenda kanisani utapata msaada baadae uende kanisani uombewe yaani uokoke nayo mapepo yote ytakutoka

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
akinywa sumu,watamuwahi kumpeleka hosirali apone,akiwa mzima hawamsaidii,akiwaomba watadai hawana,akifa watamfukia asiwanukie..huwezi kupata logic ya matendo ya watu,usiombe ukafikia kukata tamaa
Na ukipona unashtakiwa kwa kutaka kujiua, watu ni nouma asee!

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji274]
 
Bado tu hujakufa? Kama bado, unasubiri nini? Ila kumbuka tu ukijinyonga lazima nnya ikutoke, utawapa tabu watu kukuosha

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
You must fight. Binadamu tuna uwezo mkubwa wa Ku overcome tatizo lolote.Cha kufanya nikuamua kuanza upya na kupambana hadi kieleweke. Mungu awe nawe.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
heee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Achana na huyu kama hamjui Yesu basi akubali kuokoka walokole ndo watamueleza vizuri habari za Yesu na uhusiano wake na Mungu yeye pia ni Mungu na ni maana wa Mungu. King of Kings

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Usijaribu kujiua ndugu yangu. Nina miezi miwili inaelekea mitatu dada yangu alichukua maamuzi hayo na kutuacha katika majonzi na maswali mengi. Kwa kifupi tumeumbwa na ipo siku tutakufa ila si kwakujinyonga.

Sukumaland
Pole sana mkuu



Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom