Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.
NAKUSHAURI KAMA NI KWELI UNAONA NI BORA KUPOTEZA UHAI WAKO BASI KIMBIA MARA MOJA KAONANE NA MADAKTARI WA AKILI.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Usijiue,.hii dunia haijaanza leo,kuna watu wana matatzo am sure kukuzid wew but they still have hope,..unamjua dada m1 anaitwa wakonta,amepooza,mfwatilie uone kua therez still hop.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Uisjaribu ujinga huo ndugu yangu, kila mtu ana matatizo wengine tukiandika hapa waweza kuona ya kwako yana afadhali, ila unamshukuru Mungu hata kwa hii pumzi anayokupatia mengine wamwachia yeye basi
 
Pole sana ndg,

Mungu anasababu ya kukuweka hai

Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
 
huna mtoto? nakushauri kama hauna mtoto jaribu kuzaa uwe na kafamilia, ukishakua na mtoto atakupa furaha,utajua upo duniani kwa sababu zipi,na utapata akili ya kupambana kwa ajili ya huyo mtoto wako ,na cha ajabu akiumwa tu kidogo unaweza ukapata mawazo mengine tofauti.,ndo utajua uchungu wa kifo,nna imani ukiwa na mtoto hayo mawazo yako yataisha
 
Angalia huyo alivyoamua kujiua kwa kujiangusha hapo.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

Usijiue,.hii dunia haijaanza leo,kuna watu wana matatzo am sure kukuzid wew but they still have hope,..unamjua dada m1 anaitwa wakonta,amepooza,mfwatilie uone kua therez still hop.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
sawa..lakini wakonta anexist sababu ya kuzungukwa na watu wanaompa furaha na ansahau yalompata.wanamuinyesha upendo bila kulalama.
im sure kama angekua anaishi na mtu wa kumsaudia lakini huyo mtu analalmika...anafoka..anaonesha kusumbuka..lazima yule angekonda kwa mawazo analia mda wote
imagine mswaki anapigishwa,chooni anapelekwa,chakula analishwa ka mtoto..anaogeshwa..na mengineyo
yote ni sababu ana mihimili yake..wazazi na wanaonesha upendo kwa kila hali.
 
huna mtoto? nakushauri kama hauna mtoto jaribu kuzaa uwe na kafamilia, ukishakua na mtoto atakupa furaha,utajua upo duniani kwa sababu zipi,na utapata akili ya kupambana kwa ajili ya huyo mtoto wako ,na cha ajabu akiumwa tu kidogo unaweza ukapata mawazo mengine tofauti.,ndo utajua uchungu wa kifo,nna imani ukiwa na mtoto hayo mawazo yako yakijinga yataisha
sawa...ila siwez zaa ntoto bila baba.
mi mhanga wa hilo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom