Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Ipe nafasi siku inayofuata,pengine muujiza wako uko katika siku hiyo.Kila siku ipe nafasi siku inayofuata wakati huo ukitafakari kiini cha matatizo yake pia usisahau kubuni suluhu mbalimbali.Unaweza ukawa unawalaumu watu pasipo kujua wewe ni kiini cha matatizo yako, pia kuna uwezekano wengine wakawa kiini cha matatizo yako
Wengi tumepitia magumu na tutapitia magumu,tumewahi kuwa na mawazo kama yako lakini tukawa tunazipa nafasi siku zijazo pengine suluhu itapatikana.Je kama wewe unaona tatizo lako ni kubwa je vipi kuhusu yule mfungwa aliyevalishwa jezi ya blue(jezi ya waliohukumiwa kufa) yeye anaionaje dunia?