Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.
Njoo kwa Yesu aliyekufa kwa ajili yetu.... Soma Mathayo 11:28-30

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ninamchukia sana shetani. Amekutesa na kukunyanyasa sasa anakuweka paleee halafu anakufanya kichekesho. Hiyo ndio kazi yake kubwa, wala usijali.
Huenda ulifanyiwa ubaya utotoni, yaweza kuwa mzazi, mlezi au ndugu yako. Haya hayana budi pindi huna tegemeo jingine. Sasa, fika mahali useme, nakufa kiume, sichezewi tena.
Ondoka hapo ulipo, nenda mbali usikojulikana. Anza maisha mapya kabisa. Fanya shughuli itakayo kupatia hata kama ni mlo tu wa siku ila ukila leo kesho funga weka akiba. Muda si mrefu utajipatia kamtaji na kwa baraka zake Mola, utatoka tu.
Usiniiye makuu. Kidogo kidogo utainuka tu mkuu. Ukikaa ulipo, mwisho wa ulimwengu ni hicho chumba unacho lala ndo maana hata ukiumizwa huwa unakimbilia humo badala ya kukimbilia barabarani upotee
 
Dah, pole sana ndugu yangu, ila elewa challenges makes us strong, hakuna kitu rahisi kwenye Dunia ya sasa,
Kujiua sio suluhisho Bali ndo unazidi kujiongezea mzigo,

Share matatizo yako na watu tofauti hata ukishea huku Jf napo ni salama pia waweza pata relief ya kuishi

Kama wewe ni K karibu pm kwa ushauri

spend less, save more
 
Usijiue, ukijiua utakuwa umepoteza kitu muhimu sana katika maisha yako
 
Wanaosema jiue hawakaipitia magumu. Ndugu ga jishughulishe zaidi na ibada utasau yote. Nilishawahi kaga tamaa mpk kuona kifo ni shortcut ya kupunguza matatizo. Lakini nilimkimbilia mungu, hakika yy ni faraja ya kweli.

Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app
 
Njia za kuondokana na mawazo ya kujiua.

1. Tambua kuwa kuna watu wako hospital wanamajaribu makubwa kuzidi ya kwako.

2. Kuna watu wanakula majalalani lakini Mungu anawalinda na hawana mawazo ya kujuliua.

3. Tambua umeumbwa kwa kusudi maalumu. Tafuta kusudi la wewe kuzaliwa ulivyo na kwanini upitie yote hayo.

4. Tambua kuna maisha baada ya kifo, je ukijiua unajua adhabu yake?

5. Swali au Sali. Kaa karibu na viongozi wa kiroho.

Kubwa kuliko yote, share matatizo yako na watu wanaokuzunguka. Hata wasipokupatia msaada wa vitu, lakini jinsi unavyojielezea inakupunguzia mzigo ndani yako na kukupa relief.
6.matatizo ni kama mawingu yanakuja na kupotea and vice versa be patient

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.


Dear Sister, God is with you, around you and in you. Mambo yatakuwa mazuri baadaye, don't lose hope. God Bless you.
 
Ingekua kila mtu ana matatizo anajiua tungeisha duniani. Watu tuna matatizo chungu nzima kuliko ata yako na bado tunadai ad sasa hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele ad kieleweke
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Kuna dhambi nyingi unazifanya ila umeona la kujiuwa tu kisa utakosa kuendeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu kujiua ndugu yangu. Nina miezi miwili inaelekea mitatu dada yangu alichukua maamuzi hayo na kutuacha katika majonzi na maswali mengi. Kwa kifupi tumeumbwa na ipo siku tutakufa ila si kwakujinyonga.

Sukumaland
Huyu hana nia ya kujiuwa wenye nia tunapewa habari tu hatuoni mda wanaojiuwa, huyu anataka ushauri ila we jiuwe tutakuzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana usifikirie hivyo katika maisha kuna changamoto sana jipe moyo utashida tu! Remember failure is not an option! Tunakupenda sana mungu akutie nguvu! Uhai wako ni kitu muhimu kuliko vyote!
 
Anza kua mda wa ibada, soma neno la Mungu, sali/omba/swali kadri unavyopata mda kaa karbu na watu wanaopenda kufanya ivyo...acha kujiringanisha na wengine hasa wenye uwezo zaid yako achana na tamaa au anasa za dunia.....
N.B:kila mtu ana matatizo dunia yako unaona makubwa kwa kua ujapata nafasi ya kusimuliwa ya mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Usiwaze hilo wazo, hilo wazo lisipite tena katika ufahamu wako... may be u tried everthing u thought was a solution now just TRY God i mean trust God completely, usizitegemee akili zako. Mungu anawalipa waliokuumiza, omba maisha marefu utaona mwenyewe utajilaumu kwa nini ulitaka kujidhulumu.
Kitu chema ulichonacho ndio chanzo cha wewe kupigwa vita, kama uko hai mpk sasa bado kuna tumaini songa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado liko tumaini dada yangu usikate tamaa karibu pm kwa maombi na ushauri zaidi ninaye Yesu ambaye atakusaidia mpaka utashangaa mwenyewe
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.

Pole sana mkuu matatizo ni sehemu ya maisha asiye na matatizo ni mfu tu ila kikubwa mwamini Mungu atakupa tumaini na sababu ya kuishi soma biblia na kuomba Mungu atakusaidia

Kwa matatizo yakifedha kama upo dsm jitahidi nitakupa msaada
 
Usijaribu kujiua ndugu yangu. Nina miezi miwili inaelekea mitatu dada yangu alichukua maamuzi hayo na kutuacha katika majonzi na maswali mengi. Kwa kifupi tumeumbwa na ipo siku tutakufa ila si kwakujinyonga.

Sukumaland
Poleni kwa matatizo mkuu
 
be strong my dr ungejua wenzako tulivyo na majanga mpka tunaambiwa tumelogwa lakini tunaamua kujiweka upande wa positivity tu maisha lazima yaendelee tupa shida chini rusha mikono hewani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom